Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 9,324
- 12,575
ukata wa fedha, sera na mikakati mibovu isiyo na tija ya kuwaunganisha wanachama wao imekua ni chanzo cha kuzorota kwa hamasa katika harakati zao mitandaoni na mtaani.
maandamano yamekosa mvuto kabisa, chaguzi za ndani ya vyama vya kisiasa hata haijulikani zipo, zimeisha au bado zinaendelea....
madai na malalamiko ya upinzani kuhusu mathalani, katiba mpya, tume huru ya uchaguzi na ugumu wa maisha yamezoeleka sana na waTanzania walio wengi hawajavutiwa na hoja hizo. Uelewa na ufahamu wa waTanzania ni mkubwa na kwamba bidii katika kufanya kazi ni msingi wa kuondokana na ugumu wa maisha na sio stori na porojo au vinginevyo..
Na kazi nzuri sana na kubwa mno inayofanywa na serikali chini ya DR Samia Suluhu Hassan, katika kushughulika na mambo hayo imeleta pumzi, ishara, matumaini na matarajio mapya kwa wanainchi..
Hali hiyo imefanya uelekeo wa pamoja upinzani kua shakani. Na sasa hivi hawakosoani tena kupitia vikao vya ndani, bali majukwaa ya kisiasa ndio platform ya kuelezana mistakes na blunders za nyuma na za sasa, za kisiasa ndani ya vyama....
kuna hatari ya upinzani kubomoka na kusambaratika zaidi endapo ungwana, hekima na busara, miongoni mwao hasa viongozi wa andamizi isipochukua nafasi yake, tunapoelekea chaguzi zijazo...
Tz Requires Vibrant Opposition 🐒