Hapo mwanamke atahitajika kuthibitisha kama mmeishi kwa huo muda kwaiyo notakua na nafasi ya kupiga bao la mkono mahakamani ila kile cheti cha ndoa mwanamke akikiweka tu mezani mwanaume hutoki.
Kuna miaka kadhaa ukisha ishi nae sheria inamtambua ni mkeo
 
Ndoa zilikuwepo, zipo na zitaendelea kuwepo. Ambao hamtaki kuingia ndoani msiingie, hamlazimishwi.
 
NDOA NI UTAPELI: HUYO MWANAMKE ULIYEMUOA SIO KWAMBA ANAKUPENDA

Mwanamke anaweza kumpenda sana mwanaume fulani, lakini kama mwanaume huyo hayupo tayari au anasuasua kumuoa ataolewa na mwanaume aliye tayari kumuoa.

Wazungu wanasema women marry the available men. When it comes to women, they settle for who's ready not who they love.

Huyo mwanamke uliyemuoa sio kwamba anakupenda ni wewe tu ulikuwa na kimbelembele cha kumuoa ulikuwa available man.

Love and marriage is two big gap when it comes to women

Mwanamke kuwa tayari kuolewa nawe sio kwamba anakupenda ni utapeli tu.

Yule mwanaume aliyempenda lakini hakuolewa naye atakuchapia sana mkeo.
 
Sawa tu kwani nani kasema ina makombo....mnavoongeaga ivo mjue mna Mama zenu
 
Back
Top Bottom