tuachane

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MIKAEL MTANZANIA

    SoC04 Tuachane na matumizi ya vocha, tulipie intanert kama ambavyo tunalipia bili nyingine mwisho wa mwezi

    Kwa mkono wa Mikael Mtanzania Tanzania ni moja ya nchi yenye gharama ndogo sana ya vifurushi vya internet kwani Gb 1 ambayo ni MB 1000 ya internet unaipata kwa elfu tatu ukweli ni jambo zuri na tunaweza kujipongeza kwa upungufu wa gharama hii. lakini ukweli ni kwamba bado tunayoshida ya...
  2. D

    Nimeamini Arusha ni ngome ya CHADEMA. CCM tuachane nayo!

    Matukio mawili yametokea jijini Arusha ambayo yalitosha kusambaratisha maandamano ya Chadema. Mosi ni ajali iliyoua watu 25 wakiwemo watoto sita (6). Ni simannzi nzito sana. Pili ni mvua kubwa iliyoandamana na upepo mkali na radi iliyosambaratisha jukwaa la viongozi. Cha ajabu viongozi...
  3. Chizi Maarifa

    Alitaka leo tuachane nimemkatalia katakata

    Huyu demu toka nimeacha kumpa pesa ameanza ujinga. Jan ghafla tu anasema tuachane. Nimemwambia aache huo upuuzi kabisa. Alipaswa anipange siyo ghafla tu utadhani anadondosha glass au jiwe. Mimi sikujiandaa kwa jambo hilo. So ni bora angeanza taratibu kuniandaa siyo tu unaamka unasema tuachane...
  4. Wadiz

    Kuna mwanamke amepanga kuniroga ili uume wangu usifanye kazi baada ya kumwambia nataka tuachane, naomba msaada nimdhibiti.

    Habari wajameni, Kwa unyenyekevu kabisa wapendwa, jokes aside please, nakuja mbele yenu kinyonge na kuomba msaada. Kuna mdada mmoja wa kimag'hati niko nae kwenye mahusiano miezi kama mitatu. Huyu manzi yuko Bomba sana yaani bonge la pisi kali na shoo anaweza sana. Tatizo lake limetokea hivi...
  5. E

    Bandari ya Dar tuachane na Dubai tuwape Wachina

    Ukitazama kitu ambacho Dubai wanafanya ni mtego ambao umbumbu wa waafrika tunashindwa kukiona. Hoja siyo kuleta mwekezaji bali umlete nani na kwa maslahi gani yanayotoka wai. Dubai wamekamata bandari zote kwenye ukanda wa mashariki mwa Afrika, kuanzia embe ya Afrika huko Djibout maka kusini...
  6. Kiboko ya Jiwe

    Kwenye mahusiano lazima uwe na msimamo ili usiumizwe kihisia

    Nashangaa sana kijana au binti anapelekeshwa na mapenzi kama gari bovu, lazima uwe na msimamo. Unapenda sawa lakini usikubali akili zote ukahamishia kwa mtu. Unamtongoza mtu akisema hapana au subiri nitakupa jibu unamchana kabisa kuwa basi nimeghairi. Mtu anayekupenda tangu kitambo hana muda wa...
  7. Stephano Mgendanyi

    Tuachane na Utalii wa Mazoea Twende na Utalii wa Kimkakati

    MHE. ZAYTUN SWAI ASISITIZA KUACHANA NA UTALII WA KIMAZOEA, TWENDE NA UTALII WA KIMKAKATI "Sekta ya Maliasili na Utalii ni ya muhimu sana kwa kutuingizia fedha za kigeni, tumeona zaidi ya asilimia 25 ya fedha za kigeni inatokana na Sekta ya Maliasili na Utalii, pia asilimia 17 ya pato la Taifa...
  8. Kikwava

    Tutaendelea kuwakataa kwenye sanduku la kura

    Toka 1992 mpaka Sasa Hakuna mlichokifanya tukakiona Miaka ya sasa eti upinzani wanasimama wanajisifu kuzaja watu, wanajisifu kutua na chopa, wamekaa miaka 10 majimboni walishindwa hata kujenga ofisi zao wenyewe Kama wabunge, na kwenye mikutano virambo vilipitishwa. Ndugu Watanzania tuwakatae...
  9. Chizi Maarifa

    Tuachane na yote. Hili suala ni la muhimu sana kujiuliza.

    Tuachane na issues nyingine nk. Nakuuliza mdada wa JF. Kama nawe umewahi tuliza makalio yako ukapata muda wa kutafakari jambo hili. Kwa mfano Usipoolewa. Umejipangaje?
  10. DR HAYA LAND

    Nyie ambao mmeacha kuzagamua wake za watu mmewezaje? Tupeni mbinu ili na sisi tuachane

    Kwa mliofanikiwa kuacha kuzagamua wake za watu mliwezaje wakuu? I know cheap is expensive I need to get rid of such behavior NB: Wake za watu ndio wameharibu hii taasisi ya ndoa kwa kiwango kikubwa maana kila ukimjaribu mke wa mtu imo na wengi hawatuambii kuwa wameolewa.
  11. J

    Tuachane na matokeo, Camera za CAF Champions League mbona ni mbovu kiasi hiki?

    Kwa mlioangalia mechi za Simba na Yanga kwenye Champions league mliona jinsi picha za mchezo ule zilivyokuwa za hovyo, mara nyingi mpira ulikuwa hauonekani. Yaani hata Camera za Azam kwenye mechi za kwa Mkapa zinakuwa na quality kuliko za CAF. Utafikiri wanatumia camera za simu za Tecno
  12. matunduizi

    Nimependa Vladmir Putin alivyooiita nchi yake "Fatherland". Nashauri na Tanzania tuachane na kauli za "Mama Tanzania"

    Kulifananisha taifa na mama ni mbinu za kisaikolijia kulivunja morali. Sijui chanzo cha sisi Watanzania kujiita MAMA TANZANIA au MOTHER LAND BADALA YA FATHER LAND Tumuige Putin kuiita nchi yetu BABA TANZANIA. AU TUTUMIE NENO FATHERLAND BADALA YA MOTHERLAND. SABABU ZANGU 1: Mama ni...
  13. M

    Waislam tuachane na adhana tutumie alarm za simu zetu

    Unakijua king'ora? Sio kile cha zimamoto au msafara wa wakubwa. Nikiwa mdogo pale bandarini ikifika asubuhi nuda wa kazi kinapigwa mji mzima wa mzizima mnakisikia., Mchana pia lunch break kitapigwa. Na alasiri jumaliza kazi kitaoigwa Mwaka jana nikiwa unguja nilikisikia,tena chao kikali...
  14. R

    Leo tuachane na siasa, tujifunze magari yetu yanafanyaje kazi

    majority humu mnaendesha magari. Je, engine yako inafanyaje kazi? C&P
  15. E

    Tujenge shule za michezo kila mkoa tuachane na kuandaa AFCON

    Nawashauri Watanzania tuwekeze katika kujenga shule za michezo kila mkoa. Kila tunapofanya mashindano yale ya shule za msingi tunawachukua wale best students katika kila mchezo na kuwahamishia katika shule hizi za mikoa za michezo. Hapo wawekewe facilities zote, na walimu. Kila mwaka shule...
  16. Roving Journalist

    Profesa Makubi: Tuachane na mila na desturi potofu kuhusu hedhi

    Katibu Mkuu Wizara Ya Afya Prof. Abel Makubi Ametoa Wito Kwa Wananchi Kuachana Na Mila Na Desturi Potofu Kuhusu Hedhi Na Kusisitiza Juu Ya Upatikanaji Wa Huduma Na Vifaa Vya Kujihifadhi Hasa Taulo Za Kike Sehemu Zote Kwa Makundi Yote Kwa Bei Nafuu Katika Jamii. Prof. Makubi Amesema Hayo Leo Mei...
  17. K

    Tuachane na maswali ya nyongeza Bungeni

    Katika kila kikao cha Bunge kuna muda wa maswali yanayotakiwa kujibiwa na Mawaziri au Manaibu Mawaziri wa Wizara mbalimbali na baadaye kama Mhe. Mbunge hakuridhika anaruhusiwa kuuliza swali au maswali ya nyongeza. Binafsi majibu ya maswali ya nyongeza hayani tija na wajibu maswali aidha...
  18. FaizaFoxy

    Tanzania tuachane mfumo wa kupandishia watu mishahara bila kuwa na vigezo vya utendaji (performance)

    Tanzania tuachane kabisa na mfumo wa kuwapandishia watu mishahara au vyeo bila kuwa na vigezo na vipimo vya "performance" zao. Nashauri kwanza viwekwe vigezo na vipimo vya "performance" kazini ndivyo vitumike kuwapandisha watu vyeo na mishahara. Ni wepesi sana kupanga vigezo vya ubora wa...
  19. BigTall

    Nape Nnauye: Tuachane na hii habari ya "Sisi Wanyonge", kauli hiyo inatulemaza

    Hii ni sehemu ya nukuu ya Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye akizungumzia marekebisho ya Kanuni ya Maudhui ya Mitandao ya Mwaka 2020, leo Machi 14, 2022. Msome kisha uniambie tuitafakari hii kauli ya WANYONGE. Watanzania wameanza kuwa wanaongea barabarani...
Back
Top Bottom