mila na desturi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MK254

    Waislamu wasiotaka kuendana na mila na desturi za bara Uropa wahamie kwingine, asema waziri wa Ujerumani

    Mnakimbia mataifa yenu, mnagoma kukimbilia mataifa ya waislamu na kuchagua kwenda bara Uropa kule ambako mnazaliana, ila mnataka hao huko Uropa wabadilishe mila na desturi zao ziendane na matambiko yenu......mumeagizwa mtafute kuhamia kwingine. ======================== Muslim refugees heading...
  2. mchawi wa kusini

    Kuna makabila yana mila na desturi ngumu sana

    Kabila la Hamer na desturi ngumu Kabila la hamer linalopatikana kusini mwa nchi ya Ethiopia ndilo kabila linalosifika kudumisha mila na desturi ya kuthibitisha uwezo wa mwanamke kuvumilia magumu kwenye ndoa! Inasemekana mwanaume kabla hajatoa mahari inabidi ampime mwanamke anayetaka kumuoa...
  3. Tlaatlaah

    Demokrasia ni zao la mila na desturi ya kuvumiliana, subra na ushupavu

    Ili kuishi comfortably kwenye mazingira ya kidemokrasia, ni sharti uwe mwenye uelewa na ufahamu wa kutosha kuhusu maana halisi ya demokrasia yenyewe. Zaidi sana yafaa, ufanye mazoezi ya mara kwa mara na ya kutosha, ya kushinda ama kushindwa si tu uchaguzi pekeyake, bali pia hata yale yenye...
  4. Robert Heriel Mtibeli

    Unafiki unaoletwa kwenye Mambo ya Mila na Desturi

    UNAFIKI UNAOLETWA KWENYE MAMBO YA MILA NA DESTURI. Anaandika, Robert Heriel. Mtibeli. Kwa kweli wengine unafiki ulitupita pembeni. Leo nitauelezea unafiki uliopo katika jamii yetu unaosemwa Kwa Wakubwa na wadogo. Sitamung'unya maneno. Hivyo kama unajiona una Roho nyepesi ingefaa upuuzie andiko...
  5. Lycaon pictus

    Kitabu: Maisha, mila na desturi za Wanyamwezi

    Muandishi: N. D. Yongolo, 1953 Unaweza kukisoma ndani ya maktaba app. TuPm Kuungwa. 1 WATOTO 2 MICHEZO NA DESTURI ZA WATOTO 3 NDOA 4 DINI NA IMANI YA WANYAMWEZI 5 SHERIA NA HAKI KATIKA NCHI 6 UCHAWI 417 MATUMIZI YA DAWA 8 HOFU NA MIIKO YA VIFO 9 MAMBO YA POMBE 6510 MAMBO YA URITHI 11 JINSI...
  6. julaibibi

    Serikali iwape motisha waandaaji wa maudhui waandae vitabu vyenye maudhui ya Kitanzania

    Baada ya kushuhudia vitabu vilivyopigwa marufuku kwa kweli ipo haja ya serikali kuanzisha kampeni kuwapa motisha wasanii hawa, vijana wa IT watutengenezee katuni za Kitanzania na pia magazine nzuri za rangi rangi kama miaka ile magezeti ya Sani. Ili kupambana na vitabu hivi ni lazima kuingiza...
  7. Wakili wa shetani

    Ndoa za kizaramo kulingana na mila na desturi zao

    Desturi ya kuoana kwao. Wazaramu wakitaka mke, kwanza huenda kwa mjomba wa yule mwanamke, akampa khabari—ya kama: "Mimi namtaka mpwa wako kumwoa." Na yule mjomba humjibu: "Vema, lakini nataka mkalio wangu wa maneno, ndipo nikujue kama wewe mkwe wangu." Basi yule mume hutoa reale moja au mbili...
  8. Gill Rugo

    SoC02 Tusasishe mila na desturi zetu

    Naikumbuka bayana siku hiyo. Hususani ule mlio, mkubwa kuliko kumbukumbu yenyewe. Nilikua mdogo sana lakini nakumbuka dhahiri kila kitu. Ni moja kati yale matukio unayobeba akilini mpaka kifo. Yale matukio tambuzi yanayoathiri mustakabali wa maisha yako. Na ndio maana sielewi! Sielewi kwanini...
  9. Roving Journalist

    Profesa Makubi: Tuachane na mila na desturi potofu kuhusu hedhi

    Katibu Mkuu Wizara Ya Afya Prof. Abel Makubi Ametoa Wito Kwa Wananchi Kuachana Na Mila Na Desturi Potofu Kuhusu Hedhi Na Kusisitiza Juu Ya Upatikanaji Wa Huduma Na Vifaa Vya Kujihifadhi Hasa Taulo Za Kike Sehemu Zote Kwa Makundi Yote Kwa Bei Nafuu Katika Jamii. Prof. Makubi Amesema Hayo Leo Mei...
  10. Elius W Ndabila

    Ndugai alivunja mila na desturi za CCM, siyo katiba ya nchi

    MHE NDUGA, SPIKA MSTAAFU ALIVUNJA MILA NA DESTURI ZA CCM NDIYO MAANA WENGINE IMEWACHUKUA MDA KUELEWA. Na Elius Ndabila. 0768239284 Kwanza nianze kwa kumpongeza Mhe Ndugai kwa kujiuzulu nafasi ya Uspika. Ametimiza moja ya nguzo mhimu kiongozi bora kuwa anapokosea anapaswa kuwajibika...
  11. Mjamaa1

    Wazazi: Tuwafundishe watoto wetu mila na desturi njema za wazee

    Salamu, Heri kwa siku kuu ya Krisimasi. Ndugu zangu ,leo tunaadhimisha Dominika ya Familia Takatifu. Katika muktadha huo, nimependa tujadiliane juu ya malezi ya watoto wetu hasa kuwafundisha mila na desturi njema za wazee wetu. Wazazi tunawajibu huo kwasababu wengi wetu tumeacha kuwafundisha...
  12. Suley2019

    Magu, Mwanza: Rais Samia ashiriki Tamasha la Utamaduni, Mila na Desturi za Tanzania, atawazwa kuwa Chifu wa Machifu

    Rais Samia Suluhu Hassan leo Septemba 8, 2021 atashiriki Tamasha la Utamaduni, Mila na Desturi za Tanzania lililoandaliwa na Umoja wa Machifu Tanzania (UMT) katika Viwanja vya Redcross - Magu, mkoani Mwanza. UPDATES - Katika Viwanja vya Redcross - Magu tukio linaendelea huku Machifu...
  13. mathsjery

    Nitoe kishika uchumba, then mahali the uchumba kisha ndoa, eti enhee!

    Wajuvi wa mambo inakuwaje kuwe na mlolongo wa aina hii. Je ni sheria? Ama mila na desturi zinazoweza achwa. Mantiki yangu: Kuna umuhimu wa kupitia hatua zote hizo na si kupotezana muda labda mniambie why? Natoa kishika uchumba cha nini au kina maana gani? Natoa mahali ndo nitangaziwe uchumba...
  14. Itovanilo

    Vijana oeni kulingana na mazingira, mila na desturi

    Hello Jamiiforum, moja kwa moja kwenye mada. Neno ndoa linachukuliwa kirahisi sana kwa sasa, na hii inachangiwa sana na Mambo yafuatayo. Mwanamme kuishi na mwanamke pasipo kuoana, almaarufu Kama sogea tukae.kwa ieleweke mwanaume huwezi kupewa heshima inayostahili kwakuwa wewe si mume kamili...
  15. Mboka man

    Ushauri: Nakwenda kutambulishwa kama mchumba ukweni

    Baada ya mgogoro na kelele za muda mrefu za lini utakuja kwetu kujitambulisha mara nyumbani hawanielewi kila siku wananiuliza lini utakuja, mara unavyozidi kuchelewa unaniweka katika wakati mgumu sana haya ni maneno ya mtoto wa kike aliokuwa akiniimbia takribani miaka miwili tangu tuanzishe...
Back
Top Bottom