Mimi kama Fundi ujenzi na umeme pokea ushauri wangu.
Watu wengi sana wanaamini choo cha kukaa ni bora zaidi. Ukweli ni kwamba choo cha kukaa kilibuniwa kwa mara ya kwanza ili kukidhi mahitaji ya walemavu na wazee wasioweza kuchuchumaa.
Maumbile ya mwanadamu hususani mwafrika yanafunguka vizuri...
Dada Yangu,
Ni kweli wewe ni mzuri sana wa sura, tumekubali.
Ni kweli mwonekano wako na shepu lako linaweza kumvutia kila mwanaume rijali, hili pia tumekubali.
Ni kweli umesoma sana, elimu nzuri na sasa kimtindo kama umejipata hivi!! Aisee!! tumekubali.
Ni kweli umetoka kwenye familia bora...
Unapopata pesa nawazungumzia vijana wa Leo hakikisha unakaa nyumbani , hakikisha pesa inageuka Akiba ya kudumu usikubali kutumia pesa yako kununua Magonjwa ili baadae uishi kwa mateso.
Wewe ndio Mwalimu wa Maisha yako wewe ndo daktari wa Maisha yako yaani wewe ndo kila kitu.
Hizi hadithi za...
Kama unachangamoto / shida ya umeme au vifaa vya umeme nyumbani kwako unaweza pata msaada hapa au tufanye kazi na fundi umeme hapa <<dar , ubungo>>
Kama unaswali uliza au maoni changia
Kwa wanaume wenzangu habari za muda huu, naomba niende moja kwa moja kwenye mada husika kama nilivyoitambulisha hapo juu. Ikiwa una familia au unaishi bachelor tafadhali zingatia hili linakihusu.
Nyumbani kwako hakikisha mwanaume hukosi essential tools kadhaa kwa ajili ya kupunguza changamoto...
Usiku Kipindi cha mawingu ambako nyota na mbalamwezi hazionekani ni hatari sana kwa usalama wa maisha. Na pia sa nyingine huwa ni bahati sana katika maisha yako.
Umeshawahi kujiuliza ni kwanini unaota ndoto usiku unakImbizwa lakini huna mbio? Pia ushawahi jiuliza kwanini unaota unakula chakula...
Anaandika, Robert Heriel
Kuhani katika Hekalu Jeusi.
Andiko hili lamfaa kila mtu. Lugha iliyotumika ni laini. Sio Kali kama nilivyozoea Kwa mada zangu nyingi.
Kisayansi Miti ni moja ya viumbe hai muhimu katika Ecosystem (kutegemeana Kwa viumbe hai n mfu ili kufanya Maisha yaendelee katika...
Mahitaji:
Maziwa fresh 1lt, limao na sukari kidogo tu.
Anza kwa kuchemsha maziwa katika moto mdogo yapate moto ila yasichemke kabisa.
Kisha chukua limao kamulia ndani ya maziwa hakikisha yamekua mgando.
Halafu kusanya ule ugando ugando ambao ndio cheese 🧀 yenyewe uchuje vizuri kabisa kisha...
Jambo hili nimekuwa nikiulizwa sana na watu wengi iwapo mtu anaweza kufuga Nyuki wanaoudunga mwiba, (wengi wamezowea kusema Nyuki wanaouma) nyumbani, jibu lake ni ndiyo inawezekana.
Kivipi, hapa ndipo inabidi nikupe shule maana Nyuki ni hatari sana wanaweza kusababisha madhara makubwa kwa watu...
Kwa mahitaji ya huduma ya Masomo ziada majumbani (Home tuitions) ndani ya Mkoa wa Dar es Salaam wasiliana na walimu mahiri kupitia namba zifuatazo:
0716600198 au 0758120535.
Masomo ni kama ifuatavyo:
SEKONDARI: Physics and Mathematics
MSINGI: Science, Mathematics, English and Social studies...
Huwa nashangaa sana wakifika majumbani wana pelekwa moja kwa moja vyumbani bila ukaguzi, hii ni hatari.
Hakikisha siku ya kwanza house girl wako anapofika tu, step ya kwanza inabidi apekuliwe begi kujua kama kuna kitu chochote kitachohatarisha usalama wenu, Hapa akikataa ni heri mumlipie lodge...
Je unahitaji kuimarisha ulinzi wa nyumbani kwako kwa kuweka alarm lakini
changamoto ni hela?
Kama una madirisha ya aluminium, Je umewahi kuibiwa simu kupitia
dirishani wakati wa usiku
Je unajua wezi ni rahisi kwao kufungua madirisha ya aluminium au kuvunja
vitasa na kuingia kupitia mlangoni na...
Habari wanajamii,
Napenda kuchukua fursa hii kuwapa darasa huru jinsi ya kujiangalia mwenyewe kama umerogwa.
1. Chukua mkaa usagesage uwe kama unga changanya na ubani wowote uusage vizuri kisha ufunge kwenye karatasi na uuweke kwenye mto wako unaolalia.
2. Usiku wa kuamkia alkhamis weka dawa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.