Malezi Bora ya Watoto Nchini Tanzania: Kuleta Mabadiliko Chanya
Utangulizi
Malezi bora ya watoto ni suala muhimu katika kujenga jamii imara na yenye maendeleo. Nchini Tanzania, kuna umuhimu mkubwa wa kuwekeza katika malezi ili kuwapa watoto msingi thabiti wa kuwa raia wema na wenye mchango...
Wazazi wa kitanzania hawajibiki kwenye malezi ya watoto ambao sio wa kwake mfano: mtoto anaweza kuwa anafanya kosa aisha wanapigana na kuna watu wazima wanawaona na wasiwajaripie kwa kua sio watoto wao.
Huu sio uwajibikaji kwenye malezi Kila mwana jamii natakiwa kuhusika moja kwa moja kwenye...
Naamini kila binadamu amezaliwa na kipaji ila ukija kwenye uhalisia inakuwa tofauti,
1. Watoto waliolelewa malezi bora(baba na mama) wanakosa muda wa kuangalia vipaji vyao kwa kubanwa pande zote mbali. huwa na vipaji vya elimu? wenyewe wanakwambia wana vipaji vya kusoma japo wengine wananunua...
Wakuu,
Wewe unayeitwa baba, uwe mlezi au mzazi, mtoto wako yuko huru kuongea na wewe kuhusu jambo lolote ikiwa anahitaji kusikilizwa na wewe? Au ndio wawe wale wazazi wakali mpaka mtoto akueleze kitu inabidi atume barua ya maombi kwanza?
Mbali na kuwa na uangalizi wa mama, kusikilizwa na...
Uwajibikaji na utawala bora ni mambo muhimu sana katika kuhakikisha maendeleo ya nchi yetu. Hata hivyo, umomonyoko wa maadili na malezi duni umekuwa ukisababisha changamoto kubwa katika kufanikisha uwajibikaji na utawala bora.
Kwanza kabisa, tunapaswa kuwalaumu wazazi kwa kushindwa kuwalea...
Habari wana jukwaa Leo ningependa nizungumuzie mada tajwa apo juu.
(Photo)www.ipp media. com
Malezi ni jukumu la kumuandaa mtoto jinsi gani aweze kuishi Katika Jamii ,hii inaambatana na namna ya kuvaa, kula , kuongea, kufanya kazi, kutatua changamoto na kushirikiana na...
UTANGULIZI.
Licha ya jitihada mbalimbali zinazofanywa na serikali, wazazi, jamii, Asasi za kiraia, wadau wa Elimu, na taasisi za kidini katika kuhakikisha suala la malezi linakuwa jukumu la kila mtu katika jamii, suala hili la malezi ya watoto bado limekuwa na changamoto kubwa sana kutokana na...
Salaam watanzania wenzangu. Nimepata shauku ya kuandika juu ya swala la malezi bora kwa watoto wetu kama msingi mzuri wa jamii bora ya kesho na baadae.
MABADILIKO YANAYO WEZA KULETWA NA MAUDHUI YALIYO KATIKA ANDIKO HILI;
Ni matumaini yangu kuwa, andiko hili litakuwa chachu katika kuleta...
MUOMBE MUNGU SANA TAFUTA PESA KWA BIDII:
ayo mengine ACHANA nayo kwanza. Maisha yamebadilika Sana, nakumbuka wakati na kua, nyumbani kwetu, kulikua na desturi kuwa siku ya juma pili huwezi kwenda kwa mkristo ukamkuta anafanya kazi ngumu kama vile kulima, kukata majani ya ng'ombe pia hata...
Na Norberth Saimoni
Chanzo:NSPCC
Usawa wa kijinsia ni agenda ya nchi nyingi ulimwenguni ambayo inajumuisha hatua na jitihada mbalimbali zinazolenga kuhakikisha kunakuwa na ulinganifu baina ya mwanaume na mwanamke katika nyanja zote kijamii,kisiasa,kiuchumi na kitamaduni. Jitihada hizi...
Salam Wakuu,
Katika malezi ni muhimu sana mtoto ajihisi kupendwa na wazazi wake ama na yoyote anayemlea. Ni ngumu kwa mzazi/mlezi kuwapenda watoto wote sawa, lakini ni muhimu kwa watoto wote kujihisi wanapendwa na kujaliwa na wazazi/walezi wao.
Mtoto anayepata mapenzi na upendo kutoka wa...
Hello JF,
👇👇👇
Naomba nichokoze kidogo kuhusu eneo la maarifa, matokeo ya utandawazi kwenye tabia na hulka za jamii aidha kuendeleza ama kasi ya ongezeko.
Ni kwa namna gani ongezeko la watu wanaopata elimu, anguko la malezi na matumizi ya simu janja yanachochea ufuska kwenye jamii zetu hapa...
Walengwa ni watoto ambao wazazi wao walifunga ndoa,
Ukweli familia nyingi za kiislamu watoto kukua na mama bila baba kuwa karibu ni kawaida sana
Nilianza kuyaona haya nilipofika darasa la tano, nakumbuka nikiwa naenda kwenye nyumba ya rafiki yangu wa kiislam kwenda kucheza game namkuta mama...
Hellow african
Wiki iliopita nilikuwa arusha uko nazulula nilipofikia kulikuwa na mtoto mdogo wa miaka minne mtoto anapenda simu hatari akaomba simu yangu nikamwambia no watot amchezei simu nenda kamwambie mama akupe chakula ule ulale kesho shule
Duh mama yake akaja mpe achezee ataanza...
Ni ndoto yakila mtu kuwa na mahali ambapo patampatia ujira ambao utaweza kuyamudu maisha yake, mara nyingi tunapozungumzia neno ajira huwa tunazungumzia watu waliopata elimu juu ya jambo fulani inaweza kuwa ni udaktari, Ualimu, Uanajeshi na taaluma nyinginezo ijapo ajira huwa zinalenga watu wa...
Malezi ni suala muhimu sana katika maendeleo ya kiuchumi na kijamii ya nchi yetu. Malezi bora ya watoto na vijana ni muhimu sana katika kuhakikisha kuwa tunakuza kizazi chenye uwezo wa kufanya maamuzi sahihi, kufikia malengo yao, na kuwa raia wema na wenye mchango katika jamii. Hata hivyo...
Mambo yanabadilika kila kukicha kuhusu malezi, mpaka malezi kubadilika kuna sababu.
..Kipindi cha nyuma malezi yalikuwa bora tena sana japo watoto watukutu hawakukosekana.
👇
Lakini ukichunguza vizuri hao watoto watukutu wanatokea familia za aina gani ? utagundua familia hizo ni za walevi au...
Operation imepamba moto, vijana wanahimizana kukataa ndoa kwa kutokuoa ila hakuna anayepinga kuhusu suala la kujaza ulimwengu. Mizagamuano na misuguano inaleta sio tu raha na burudani kwa wafanyaji bali pia inaleta watoto kwenye dunia. Wakishakuja sasa wapenzi wanaanza kukimbiana na wengine...
Je, unafahamu kuwa Kumbukumbu ya Matukio Mabaya (Trauma) ya Utotoni huweza kuathiri Afya ya Akili ya Wahusika?
Tafiti zimeonesha kuwa Watoto wanaopitia changamoto kama Unyanyasaji, Kutelekezwa au Kuishi katika Mazingira magumu wana uwezekano mkubwa wa kupata na kuishi na changamoto za afya ya...
Mambo yanabadilika kila kukicha kuhusu malezi, mpaka malezi kubadilika kuna sababu. Kipindi cha nyuma malezi yalikuwa bora tena sana japo watoto watukutu hawakukosekana, lakini ukichunguza vizuri hao watoto watukutu walitokea familia za aina gani?
Utagundua familia hizo ni za walevi au baba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.