SoC03 Malezi bora kwa watoto

Stories of Change - 2023 Competition
Jun 11, 2023
9
56
Habari wana jukwaa Leo ningependa nizungumuzie mada tajwa apo juu.
images (2).jpeg

(Photo)www.ipp media. com
Malezi ni jukumu la kumuandaa mtoto jinsi gani aweze kuishi Katika Jamii ,hii inaambatana na namna ya kuvaa, kula , kuongea, kufanya kazi, kutatua changamoto na kushirikiana na watu Katika jamii. Mtoto anapozaliwa anakuwa Hana Chochote anachokijua Katika akili yake hivyo mengi hujifunza kutoka Kwa wazazi au walezi wanaomzunguka. Hii ndio sababu ya kuwepo na utofauti wa tabia kati ya wanajamii.

Kwanini Malezi Bora Kwa watoto ?
Hudumumisha Upendo Kwa Wazazi ; malezi Bora yanaambatana na uwepo wa ukaribu kati ya wazazi na mtoto , ni vigumu sana kumfunza mtoto tabia njema akiwa mbali (Fimbo ya mbali haiui nyoka) . Hivyo mtoto anapokua karibu na wazazi na kujifinza njinsi wanavyoishi Kwa kushirikiana na kutatua changamoto zao hii umefanya mtoto kuwa na mapenzi na wazazi wake hivyo upelekea Upendo Katika familia .

Huimarisha tabia njema; mfano kusalimia watu walio mzidi umri, mtoto aliyepata malezi Bora sikuzote kusalimia wakubwa ni jadi yake . Salamu njia Moja ya kuonesha nidhamu mbele ya watu wanaomzunguka . Hivyo hudumisha undugu na kufanya upokelewe kama mwanajamii na hata likitokea tatizo Jamii inakuwa tayari kumusaidia .

Huleta ushirikiano mzuri na wanajamii; mtoto aliye pata malezi Bora ana uwezo wa kufahamu lipi ni baya na hili ni jema , faida na hasara za kufanya jambo Fulani, . Kuna tabia ambazo haziwapendezi wanajamii mfano; tabia ya wizi . Hivyo mtoto aliyepata malezi mazuri anaweza kuepuka tabia kama hizi ambapo zingeweza kuvunja mahusiano yake mema Katika Jamii lakini kwakuwa ameziepuka Kwa kupata malezi Bora anabaki Katika sehemu salama .
Hupunguza uwezekanao wa vitendo vya uhalifu uko mbeleni; (mtoto umuleavyo ndivyo Akuwavyo) kama mtoto atapata malezi mazuri ambayo yatamkinga na tabia mbaya basi uyo mtoto atakua mwema na chachu ya maendeleo kwenye Jamii, lakini kama akikosa malezi Bora anaweza kujifinza tabia zisizofaa uko nje kama wizi na udanganyifu ambazo baadaye zitamfanya awe muhalifu na kumsababishia madhara ( mtoto umuleavyo ndivyo Akuwavyo) .

Je nini Chanzo Cha watoto kukosa malezi Bora?

Ndoa za utotoni ; Katika Jamii yetu ya kitanzania swala la ndoa za utotoni limekua likichukua Kasi sana Kwa sababu ya ukosefu wa elimu na tamaa ya Mali. Mtoto anapoolewa akiwa mdogo na ikitokea akapata ujauzito Katika umri mdogo mfano miaka 12, inakua ni vigumu sana kwa yeye kumpatia mtoto atakaemzaa malezi Bora kwasababu Katika kipindi hicho hata na yeye pia Bado ni mtoto anahitaji kulelewa na kujifinza .

Utayari wa wazazi kumpokea Mtoto ; vijana wengi wanapata ujauzito Katika kipindi ambacho hawajawa tayari kulea , Hivyo unakuta mzigo wa kulea watoto unabaki Kwa Jamii na mtoto unakuta anajifunza vitu mbalimbali ambavyo vingine sio vyema Kupitia watu mbalimbali anaokutana nao na kumfanya aingie kwenye mmonyoko wa maadili .

Mtazamo wa jamii kwenye malezi ya watoto; ni jukumu la Jamii nzima kulea watoto wote bila kujali huyu ni wangu au sio wangu . Jamii inapomuona mtoto amefanya jambo lisilo jema ni jukumu la wanajamii kumwadhibu Ili siku nyingine ajifunze lakini Jamii inapoona mtoto anafanya vitendo viovu Mfano, kutukana na Jamii ikakaa kimya inamfanya mtoto uyu aendeleze tabia hiyo isiyo jema maana hakuna wa kumkanya

Utegano wa mzazi na mtoto; Kuna wakati inaradhimu mzazi kutegana na mtoto mfano ; mtoto anapoenda kusoma shule za Bweni mzazi anakua hayuko karibu naye . Hivyo anapokua uko anajifunza tabia mbalimbali . Ndo maana kuna tofaut kati ya watoto walio soma shule za bweni na shule za kutwa kuanzia kuonesha adabu mbele za watu mpka kwenye kuwasaidia wazazi .

Utegano kati ya wazazi ; malezi ya baba na mama ni muhimu sana kwa mtoto kuna vitu mtoto anapaswa ajifunze kutoka kwa mama na vingine kutoka kwa baba . Inapotokea mfano mtoto amezaliwa wa kiume alfu baba haelewani tena na mama , yule mtoto anakosa pa kujifunza hivyo anatafuta mtu ambae atamuona kama baba ake na atajifunza toka kwake na wakati mwingine watu hao wanaweza wasiwe wema.

Umasikini ; umesababisha wazazi wengi kuzitelekeza familia zao kwasababu wanahisi watakosa mahitaji muhimu hivyo kupelekea watoto kujichanganya mtaani wakiwa wanatafuta ridhiki ya uku na uku na kujifunza tabia zisizo njema

Je nini kifanyike ili kuimalisha malezi Bora kwa watoto?

1. Jamii tunatakiwa tushirikiane kupeana elimu na kupinga vikali ndoa za utotoni ili kuepuka maelezi mabaya kwa watoto

2. Vijana wanatakiwa kuwa na malengo na kujikinga na mimba zisizotarajiwa , hii itaambatana na utumiaji wa kinga au kutokujiingiza kabisa katika mahusiano pindi hawapo tayari.

3. Wazazi wanatakiwa kuwaweka watoto wao karibu kama kuna uwezekano , ili watoto wao wajifunze kutoka kwao na sio kwingine ambapo kuna uwezekano wa kujifunza tabia zisizo njema

4. Jamii inatakiwa ishirikiane Na wazazi kulea watoto hawa na kuwakanya vikali wanapokosea hii itawasaidia watoto kujua lipi jema na lipi baya.

5.Wazazi wanatakiwa wawe na jadi ya kuwafikisha watoto wao katika nyumba za ibada ambapo watafundisha kufata mema na kuziacha njia ovu . Hii itasaidia kupunguza uhalifu katika siku za mbeleni

6.Serikali na asasi za kijamii zishirikiane kutoa elimu kuhusu umuhimu wa malezi bora kwa watoto na kukemea vikali utekelezwaji wa watoto.

7.Wazazi na walezi Tunatakiwa tufanye kazi kwa bidii ili tuweze kuwalea watoto wetu na kuwapatia mahitaji ya kila siku kama chakula, mavazi , elimu na afya

Screenshot_20230612-011444~2.png

(Picha) www.ippmedia.com

Shime watanzania , watoto ni Jukumu letu Sote
Mungu ibariki Tanzania, Mungu kibariki kizazi kijacho
 
Habari wanajamvi, Leo ningependa nizungumuzie mada taja apo juu.
View attachment 2654399
( Photo) www.malezi.sematanzania.com
Malezi ni jukumu la kumuandaa mtoto njisi gani aweze kuishi Katika Jamii ,hii inaambatana na namna ya kuvaa, kula , kuongea, kufanya kazi, kutatua changamoto na kushirikiana na watu Katika jamii. Mtoto anapizaliwa anakuwa Hana Chochote anachokijua Katika akili yake hivyo mengi hujifunza kutoka Kwa wazazi au walezi wanaomzunguka. Hii ndio sababu ya kiwepo na utofauti wa tabia kati ya wanajamii.

Kwanini Malezi Bora Kwa watoto ?
Hudumumisha Upendo Kwa Wazazi ; malezi Bora yanaambatana na uwepo wa ukaribu kati ya wazazi na mtoto , ni vigumu sana kumfunza mtoto tabia njema akiwa mbali (Fimbo ya mbali haiui nyoka) . Hivyo mtoto anapokua karibu na wazazi na kujifinza njinsi wanavyoishi Kwa kushirikiana na kutatua changamoto zao hii umefanya mtoto kuwa na mapenzi na wazazi wake hivyo upelekea Upendo Katika familia .

Huimarisha tabia njema; mfano kusalimia watu walio mzidi umri, mtoto aliyepata malezi Bora sikuzote kusalimia wakubwa ni jadi yake . Salamu njia Moja ya kuonesha nidhamu mbele ya watu wanaomzunguka . Hivyo hudumisha undugu na kufanya upokelewe kama mwanajamii na hata likitokea tatizo Jamii inakuwa tayari kumusaidia .

Huleta ushirikiano mzuri na wanajamii; mtoto aliye pata malezi Bora ana uwezo wa kufahamu lipi ni baya na hili ni jema , faida na hasara za kufanya jambo Fulani, . Kuna tabia ambazo haziwapendezi wanajamii mfano; tabia ya wizi . Hivyo mtoto aliyepata malezi Bora anaweza kuepuka tabia kama hizi ambapo zingeweza kuvunja mahusiano yake mazur Katika Jamii lakini kwakuwa ameziepuka Kwa kupata malezi Bora anabaki Katika sehemu salama .
Hupunguza uwezekanao wa vitendo vya uhalifu uko mbeleni; (mtoto umuleavyo ndivyo Akuwavyo) kama mtoto atapata malezi mazuri ambayo yatamkinga na tabia mbaya basi uyo mtoto atakua mwema na chachu ya maendeleo kwenye Jamii, lakini kama akikosa malezi Bora anaweza kujifinza tabia zisizofaa uko nje kama wizi na udanganyifu ambazo baadaye zitamfanya awe muhalifu na kumsababishia madharau ( mtoto umuleavyo ndivyo Akuwavyo) .

Je nini Chanzo Cha watoto kukosa malezi Bora?

Ndoa za utotoni ; Katika Jamii yetu ya kitanzania swala la ndoa za utotoni limekua likichukua Kasi sana Kwa sababu ya ukosefu wa elimu na tamaa ya Mali. Mtoto anapoolewa akiwa mdogo na ikitokea akapata ujauzito Katika umri mdogo mfano miaka 12, inakua ni vigumu sana kwa yeye kumpatia mtoto atakaemzaa malezi Bora kwasababu Katika kipindi hicho hata na yeye pia Bado ni mtoto anahitaji kulelewa na kujifinza .

Utayari wa wazazi kumpokea Mtoto ; vijana wengi wanapata ujauzito Katika kipindi ambacho hawajawa tayari kulea , Hvyo unakuta mzigo wa kulea watoto unabaki Kwa Jamii na mtoto unakuta anajifunza vitu mbalimbali ambavyo vingine sio vyema Kupitia watu mbalimbali anaokutana nao na kumfanya aingie kwenye mmonyoko wa maadili .

View attachment 2654470

vizuri sana rafiki ake Lau
 
Vema sana best ake Lau
Ila Mimi naona ukae uisome chapisho lako Kuna marekebisho madogo mfano neno la kwanza mada taja apo juu badala ya mada tajwa pia neno jinsi unasema njisi soma vzur Kuna option ya kuedit ufanye hivyo All in all ujumbe mzuri kwa wazazi
 
Hongera umejitahid ipitie tu kaz yako kwenye typing errors urekebishe ww na Lau ni washindi
 
SoC03​

Habari wanajamvi, Leo ningependa nizungumuzie mada tajwa apo juu.
View attachment 2654399
( Photo) www.malezi.sematanzania.com
Malezi ni jukumu la kumuandaa mtoto jinsi gani aweze kuishi Katika Jamii ,hii inaambatana na namna ya kuvaa, kula , kuongea, kufanya kazi, kutatua changamoto na kushirikiana na watu Katika jamii. Mtoto anapizaliwa anakuwa Hana Chochote anachokijua Katika akili yake hivyo mengi hujifunza kutoka Kwa wazazi au walezi wanaomzunguka. Hii ndio sababu ya kiwepo na utofauti wa tabia kati ya wanajamii.

Kwanini Malezi Bora Kwa watoto ?
Hudumumisha Upendo Kwa Wazazi ; malezi Bora yanaambatana na uwepo wa ukaribu kati ya wazazi na mtoto , ni vigumu sana kumfunza mtoto tabia njema akiwa mbali (Fimbo ya mbali haiui nyoka) . Hivyo mtoto anapokua karibu na wazazi na kujifinza njinsi wanavyoishi Kwa kushirikiana na kutatua changamoto zao hii umefanya mtoto kuwa na mapenzi na wazazi wake hivyo upelekea Upendo Katika familia .

Huimarisha tabia njema; mfano kusalimia watu walio mzidi umri, mtoto aliyepata malezi Bora sikuzote kusalimia wakubwa ni jadi yake . Salamu njia Moja ya kuonesha nidhamu mbele ya watu wanaomzunguka . Hivyo hudumisha undugu na kufanya upokelewe kama mwanajamii na hata likitokea tatizo Jamii inakuwa tayari kumusaidia .

Huleta ushirikiano mzuri na wanajamii; mtoto aliye pata malezi Bora ana uwezo wa kufahamu lipi ni baya na hili ni jema , faida na hasara za kufanya jambo Fulani, . Kuna tabia ambazo haziwapendezi wanajamii mfano; tabia ya wizi . Hivyo mtoto aliyepata malezi Bora anaweza kuepuka tabia kama hizi ambapo zingeweza kuvunja mahusiano yake mazur Katika Jamii lakini kwakuwa ameziepuka Kwa kupata malezi Bora anabaki Katika sehemu salama .
Hupunguza uwezekanao wa vitendo vya uhalifu uko mbeleni; (mtoto umuleavyo ndivyo Akuwavyo) kama mtoto atapata malezi mazuri ambayo yatamkinga na tabia mbaya basi uyo mtoto atakua mwema na chachu ya maendeleo kwenye Jamii, lakini kama akikosa malezi Bora anaweza kujifinza tabia zisizofaa uko nje kama wizi na udanganyifu ambazo baadaye zitamfanya awe muhalifu na kumsababishia madharau ( mtoto umuleavyo ndivyo Akuwavyo) .

Je nini Chanzo Cha watoto kukosa malezi Bora?

Ndoa za utotoni ; Katika Jamii yetu ya kitanzania swala la ndoa za utotoni limekua likichukua Kasi sana Kwa sababu ya ukosefu wa elimu na tamaa ya Mali. Mtoto anapoolewa akiwa mdogo na ikitokea akapata ujauzito Katika umri mdogo mfano miaka 12, inakua ni vigumu sana kwa yeye kumpatia mtoto atakaemzaa malezi Bora kwasababu Katika kipindi hicho hata na yeye pia Bado ni mtoto anahitaji kulelewa na kujifinza .

Utayari wa wazazi kumpokea Mtoto ; vijana wengi wanapata ujauzito Katika kipindi ambacho hawajawa tayari kulea , Hvyo unakuta mzigo wa kulea watoto unabaki Kwa Jamii na mtoto unakuta anajifunza vitu mbalimbali ambavyo vingine sio vyema Kupitia watu mbalimbali anaokutana nao na kumfanya aingie kwenye mmonyoko wa maadili .

Mtazamo wa jamii kwenye malezi ya watoto; ni jukumu la Jamii nzima kulea watoto wote bila kujali huyu ni wangu au sio wangu . Jamii inapomuona mtoto amefanya jambo lisilo jema ni jukumu la wanajamii kumwadhibu Ili siku nyingine ajifunze lakini Jamii inapoona mtoto anafanya vitendo viovu Mfano, kutukana na Jamii ikakaa kimya inamfanya mtoto uyu aendeleze tabia hiyo isiyo jema maana hakuna wa kumkanya

Utegano wa mzazi na mtoto; Kuna wakati inaradhimu mzazi kutegana na mtoto mfano ; mtoto anapoenda kusoma shule za Bweni mzazi anakua hayuko karibu naye . Hivyo anapokua uko anajifunza tabia mbalimbali . Ndo maana kuna tofaut kati ya watoto walio soma shule za bweni na shule za kutwa kuanzia kuonesha adabu mbele za watu mpka kwenye kuwasaidia wazazi .

Utegano kati ya wazazi ; malezi ya baba na mama ni muhimu sana kwa mtoto kuna vitu mtoto anapaswa ajifunze kutoka kwa mama na vingine kutoka kwa baba . Inapotokea mfano mtoto amezaliwa wa kiume alfu baba haelewani tena na mama , yule mtoto anakosa pa kujifunza hivyo anatafuta mtu ambae atamuona kama baba ake na atajifunza toka kwake na wakati mwingine watu hao wanaweza wasiwe wema.

Umasikini ; umesababisha wazazi wengi kuzitelekeza familia zao kwasababu wanahisi watakosa mahitaji muhimu hivyo kupelekea watoto kujichanganya mtaani wakiwa wanatafuta ridhiki ya uku na uku na kujifunza tabia zisizo njema

Je nini kifanyike ili kuimalisha malezi Bora kwa watoto?

1. Jamii tunatakiwa tushirikiane kupeana elimu na kupinga vikali ndoa za utotoni ili kuepuka maelezi mabaya kwa watoto

2. Vijana wanatakiwa kuwa na malengo na kujikinga na mimba zisizotarajiwa , hii itaambatana na utumiaji wa kinga au kutokujiingiza kabisa katika mahusiano pindi hawapo tayari.

3. Wazazi wanatakiwa kuwaweka watoto wao karibu kama kuna uwezekano , ili watoto wao wajifunze kutoka kwao na sio kwingine ambapo kuna uwezekano wa kujifunza tabia zisizo njema

4. Jamii inatakiwa ishirikiane Na wazazi kulea watoto hawa na kuwakanya vikali wanapokosea hii itawasaidia watoto kujua lipi jema na lipi baya.

5.Wazazi wanatakiwa wawe na jadi ya kuwafikisha watoto wao katika nyumba za ibada ambapo watafundisha kufata mema na kuziacha njia ovu . Hii itasaidia kupunguza uhalifu katika siku za mbeleni

6.Serikali na asasi za kijamii zishirikiane kutoa elimu kuhusu umuhimu wa malezi bora kwa watoto na kukemea vikali utekelezwaji wa watoto.

7.Wazazi na walezi Tunatakiwa tufanye kazi kwa bidii ili tuweze kuwalea watoto wetu na kuwapatia mahitaji ya kila siku kama chakula, mavazi , elimu na afya

View attachment 2654470
(Picha) www.ippmedia.com

Shime watanzania , watoto ni Jukumu letu Sote
Mungu ibariki Tanzania, Mungu kibariki kizazi kijacho
This is dope
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom