Mahali, Mahle, Mahili are an ethnic group in India, Nepal and Bangladesh. The Mahali are local peoples to the states of Jharkhand, West Bengal and Odisha. They mostly reside in areas of West Bengal and Odisha near the Santhal Pargana division of Jharkhand. Mahali people form a different tribe which is sometimes grouped together with the Munda tribe. They speak the Mahali language, which is considered a dialect of Santali. The language only had around 33,000 speakers in 2007.
Saludo senora y senor
Wakuu sio kwamba naongea kujisifu au kuwalinganishia? Hapana la hasha nataka niwamotivate vijana wa ki leo au wa kisasa kuhusu suala la kuoa wakuu!
Kwanza nishukuru hili jukwaa hili la MMU kuweza kupata mke wangu kipenzi miss A kiukweli wakuu kwa hapa nilipofikia hauwezi...
Habarini wana jamvi,
Ninaomba mnisaidieni kwa yoyote anayefahamu sehemu ya kupata movie ya Vuta N'Kuvute au Tug of War anifahamishe au kama ana link anisaidie maana nimeitafuta sana lakini sijaipata.
Habari wangu.
Kuna ishu naomba msaada, sijuwi ndio mambo yamebadili siku hizi kwenye whatsApp.
Nilisitisha mahusiano na aliekuwa mpenzi wangu. Nilifuta namba yake na picha zake zote. Lakini ajabu bado nikiweka status anaona na jina inajitokeza lile alioandika kwenye whatsaap yake. Imetokea...
Peace be with you all,
Wakuu kumekua na mitindo au style nyingi za pikipiki zikija na madoido ya mahali tofauti tofauti pa ufungwaji wa plate numbe kama nyuma, mbele, juu ya carry bar kwa piki piki kubwa kama baja, XL na XLR.
Sasa kuna piki piki ameagiza jamaa yangu yenyewe haina sehemu ya...
Kuna vitu tunapishana:
1. Ukweli wa alichokisema Bashiru
2. Dhamira ya Bashiru katika kuema alichokisema
1. Namba moja hapo juu ni kuwa Bashiru kasema ukweli mtupu, tena mkali kweli kweli. Lakini Je, twende namba mbili
2. Je ana dhamira from the innermost chamber of his heart kuwatetea...
Sitaki unafiki, ntampa rafiki konekshen ya kazi kwa masharti mawil tu:
1. Nikisikia kuna nafasi ndani ya sehemu nayofanya kazi ila haiingiliani na ofisi ama kitengo changu ninatoa koneksheni, mfano mimi nipo ofisi ya ufundi kuna nafasi ya ufagiaji ama udaktari nitasaidia, nafasi hizi...
Tanzania na baadhi ya Nchi za kiafrika viongozi wetu hawana utamaduni wa kuwajibika pale ambapo wameboronga.
Na Sisi wananchi tunabaki kulalamika tu huku watu wakiendekea kufanya madudu.
Nawakubali sana waarabu wanamsimamo na wamesonga mbele. Wao huwa ni ambushi mwamzo mwisho wasipomtaka...
Naomba kufahamishwa masoko maarufu hapa Dar es salaam ambayo yana utajiri mkubwa wa matunda yanayouzwa kwa bei ya jumla na rafiki. Hii ni kwa lengo la kufungua biashara hii hapo baadaye. Itapendeza kama utaweka bei za matunda hayo hapa.
Ziada:
Mahali nitakapopata brenda ya kutotumia umeme kwa...
SERIKALI imetoa Sh bilioni 160 kwa ajili ya ujenzi wa vyumba vya madarasa 8,000 vitakavyopokea ziada ya wanafunzi zaidi ya 400,000 wa Kidato cha Kwanza mwakani ambao ni zao la elimumsingi bila ada.
Aidha, Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais-Tamisemi, Dk Charles Msonde ameelekezwa kufanyia kazi...
Habari zenu ndugu wana JamiiForums, nimeona kama kawaida yangu na hili niwashirikishe kuna ndugu wa karibu mwenye jinsia ya kike umri wake kwa sasa anaweza kufikia miaka 52 amekuwa na tabia ambayo kidogo inanichanganya.
(1) Akikuta naongea na mwanamke kwa mahaba uso wake...
Hi Great Thinkers
Kuna mambo yanaendelea saa nyingine yanasikitisha Sana.
Ivi ni Kwa nini umeme wetu siyo wa uhakika.
Yaani umeme unaenda viwandani lakini ni tia maji tia maji. Saa nyingine tunahisi kuna mtu anahujumu hii shirika.
TANESCO Temeke line ya kipawa au chang'omba ni kichefuchefu...
Ndugu zangu Sote tunafahamu kuwa secta ya kilimo katika nchi hii imeajiri na kubeba kundi kubwa Sana la watanzania, Ni secta ambayo ndio pumzi ya familia na Kaya nyingi, Ni secta inayotegemewa na watanzania wengi Kama shughuli kuu ya kiuchumi, Ni kimbilio la wengi, Ni ngazi ya wengi, Ni njia...
IFIKE MAHALA WANAKWAYA NA WATOA HUDUMA KANISANI WALIPWE MISHAHARA KWA MWEZI!
Anaandika, Robert Heriel
Kuhani katika Hekalu Jeusi.
Hii ni mara ya tatu nazungumzia Jambo hili. Mara ya Kwanza nililizungumza mwaka 2012, mara ya pili 2020, Kutokana na Unyeti wa Jambo lenyewe.
Mambo ya Huduma za...
Wakuu Kwema?
Mwezi uliopita niliona tangazo kutoka Waziri wa Ardhi, Mheshimiwa Angelina Mabula kua kama unadaiwa kodi ya Ardhi yenye malimbikizo ya riba juu yake basi ukilipa hiyo kodi utakua umesamehewa ile riba.
Mimi nina Kiwanja mkoa wa Kilimanjaro, na Kiwanja hiki kilitathminiwa kama cha...
Mwandishi Efrahim Mabena
mawasilino:0745323576
mahali: Makambako_Njombe
Kundi la watalii walikuwa wakitembelea bwawa la ziwa na walikuwa kwenye jengo linaloelea katikati ya ziwa la mamba.
Mmiliki wa bwawa hilo alipiga kelele: "Yeyote anayeruka ndani ya maji na kuogelea hadi kutoka, atapata...
Kama namna fulani ya kuwajibu Wachina, Marekani kwenda kupitisha vyombo hayo maeneo ya bahari karibu na Taiwan na kufanya yao ikiwemo mazoezi ya kutunisha misuli....
A senior US official said Friday the US was set to conduct "freedom of navigation" operations in the Taiwan Strait during the...
Unakuta mdada mnatoka naye out kwenye date labda mmeenda johari rotana, mnakula na kunywa ila mwisho ikija bills anakukazia jicho kweli ili ulipe wewe bill.
Bado unakuta asubuhi ukiwa unaondoka nyumbani anataka kodi ya meza wakati kiuhalisia alitakiwa akupe pocket money ya kutumia.
Nadhani ni...
Kila mmoja anajua figisu figisu kuhusiana na wabunge hawa 19 almaarufu kama wabunge wa covid 19.
Ni fedheha sana kuona jinsi sheria na kanuni zikipindishwa ili tu kuoneshana ubabe juu ya jambo ambalo liko wazi!
Hii fedheha kwa serikali, bunge na inaelekea pia mahakama huenda ikashiriki...
Uwepo wa miundombinu ya usafi wa mazingira kama vile vyoo unachochea afya kwa sababu vinaruhusu watu kutupa taka zao ipasavyo, kuzuia uchafuzi wa mazingira yao na kupunguza hatari kwao wenyewe na majirani zao. Duniani kote, watu wengi hawana huduma za vyoo, na hivyo kusababisha utupaji usiofaa...
Kiswahili chetu huwenda kuna maneno yumkini hayako sawa katika kuleta uwiano wa maneno na au kiko sawa Ila kuna maneno yakitamkwa huonekana ni kama yako sawa na ukija kwenye kuutafuta ukweli, mtu unajikuta neno hilo linalokataza kitu Fulani kisifanyike, basi pia neno hilo hilo linamkataza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.