Mabibo is an administrative ward in the Kinondoni district of the Dar es Salaam Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 73,978.
hii hali sio nzuri na haipendezi kabisa hapo mabibo ni mjini kabisa ila mvua kidogo tu hali uwa kama hivi hapo tunahatarisha maisha ya watu wengi sana maana hilo soko linategemewa karibu na dar zima..
SMS-marketing ni zana muhimu sana katika mazingira ya biashara ya leo, na hata katika shughuli za kijamii kama vile sherehe.
Kipindi hiki cha utandawazi kinahitaji njia za mawasiliano ambazo ni haraka, za moja kwa moja na zenye ufanisi, na hakuna zana bora kuliko SMS katika kufikia lengo hili...
Hali ya Soko la Ndizi Mabibo ni mbaya mamlaka ziwajibike kwa kufumbia macho kero ya Wananchi.
Hali Soko la Mabibo maarufu kama soko la ndizi inasikitisha hasa kipindi hiki ambacho mvua inaendelea kunyesha kwa mfululizo, karibia kila kona kwenye soko hilo ni tope tope, katika hali ya kushangaza...
Maeneo tajwa hayana maji kwa zaidi ya siku tano sasa, Wahusika wako kimyaaa, jana nimewaona Watendaji WA Dawasco wako kwenye Bajaj wanazunguka Tu. Hii Hali ni hatari, kipindupindu kiko nje nje, mahotel mengi Sana hapa Manzese hayana maji.
Umeme NAO unakatwa kwa zaidi ya masaa SITA Hadi 12 kwa...
Kuna vitu vinaumiza na kukera sana kwenye jiji la Dar es Salaam. Hali ya Masoko yake ni mbaya mno, ni ajabu sana kuamini Masoko haya yapo Dar es Salaam, sehemu inayoongoza kwa makusanyo nchi nzima.
Hebu angalia uchafu uliotapakaa kwenye masoko haya. Haileweki kipi Chakula kisafi kipi kichafu...
Hellow habari nahitaji anayeuza maharage ya jano mazuri ya jumla jumla anicheki kupitia 0788768480,ni vizuri kama hutatokea mikoa jirani kama Morogoro na Mbeya itakuwa poa sana napatikana dar es salaam
Habari Wakuu,
Nina kijana wangu amejiunga NIT ngazi ya cheti(HR). Naomba chumba cha kupanga (single room) ndani ya kata ya mabibo au maeneo jirani.
Piga 0713 039 875.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Albert Chalamila leo August 17, 2023 amevunja uongozi wa Soko la Mabibo na kukabidhi soko hilo kwa Manispaa ya Ubungo.
Soko hilo lililokuwa likimilikiwa na kikundi cha watu wachache nakupelekea kuwepo kwa changamoto mbalimbali ambazo Mkuu wa Wilaya Mhe. Hashim...
Nyumba inauzwa
Frem 4
Nyumba 3, Ndani
Bei: 750milioni
Document: Mirathi
Sqm: 818
Mtaa: Kibangu
Kata: Makuburi
Manispaa: Ubungo kwa sasa!
Eneo linafaa kwa matumizi yote.
Main road: mita 8
Piga simu 0712347749
Tufanye biashara....
Enzi zetu tukiwa Mabibo Hostel kuna mama alikuwa maarufu sana eneo lile alokuwa ana.mgahawa wake maeneo yale ambao ulikuwepo njia ya kuelekea geti la Hostel za mabibo alikuwa anaitwa mama mwarabu kwenye mgahawa wake hakuna kitafunwa ambacho kilikuwa kinakosekana pale yeye alikuwa hauzi ubwabwa...
Akielezea hali ya mazingira yalivyo katika Juma Idris Chombo ambaye ni Makamu Mwenyekiti Soko la Mabibo Dar es Salaam anaelezea:
Makusanyo ya Tozo tunayokusanya hapa ni shilingi miamia, tunakusanya kwa ajili ya huduma tu kama vile usafi na ulinzi, kwa kiwango hicho hatuwezi kujenga soko la...
Wakuu mimi ni ngosha nimeingia daisalama nimeona mengi sana, nimeona barabara imejengwa juu ya barabara.
Tuachane na hayo, nataka kwenda kwenye hiyo ofisi, nafikaje? Napanda magari ya wapi nashukia wapi.
Amakweli ngosha aliijenga daisalama.
Nategemea kuhamia mabibo katika harakati zangu za kutafute mkate wa kila siku.
Naomba kujuzwa kama kuna shule nzuri ya primary (English Medium) kwa ajili ya kusoma kinda wangu. Iwe mabibo au kuna shule yenye school bus yanayopita maeneo hayo
Usiku wa jana kuamkia leo 7/10 saa nane, wakazi wa Mabibo mtaa wa Jitegemee walivamiwa na panya road, bado hakuna taarifa rasmi kwa upotevu wa mali na majeruhi.
Baada ya taarifa kuwa polisi wanawashugulikia panya road na baadhi wakionekana kukamtwa, imekuaje wakaibuka tena?
*RC MAKALLA AFANYA MAAMUZI MAGUMU, AAGIZA MABORESHO YA KWANZA SOKO LA SIMU 2000 NA SOKO LA MABIBO
- Asema hoja Za Wafanyabiashara zina uzito hivyo waboreshewe kwanza kisha kamati ya soko Na serikali wakae kupendekeza vibanda uniform rafiki kwa wafanyabiashara.
- Wafanyabiashara wapongeza...
Hili soko ni Maarufu kama Mahakama ya ndizi , liko Mabibo , Mkoa wa Dar es Salaam , Ushuru unaopatikana kwenye soko hili kwa mwaka ni zaidi ya hela ya madafu Bil 1.2
Toa maoni yako .
================================
WADAU WALALAMIKIA MIUNDOMBINU NA USAFI WA SOKO LA MABIBO
Soko la Mabibo...
Kama ni mpitaji au mkazi wa maeneo ya Mabibo jeshini, hivi karibuni shughuli za kibiashara zimekuwa zikichipuka kila siku, pembezoni mwa barabara upande wa kambi ya jeshi. Nini kimetokea au kubadilika siku za hivi karibuni? Yale maeneo yanauzwa au kukodishwa au ni biashara za jeshi?
Mwenye...
Kuna vijana wako watatu, WP wawili na mwanaume mmoja mwembamba. Wako hapa TipTop barabara ya kuelekea Mabibo. Wanakusanya rushwa kwenye daladala na bajaji kama vile konda anavyokusanya nauli kwenye daladala.
WP kazi yao ni kusimamisha halafu konda wa kukusanya ni huyo mwanaume.
Nilikuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.