Search results

  1. M

    KWELI Mashindano ya CAF Super League kuzinduliwa nchini Tanzania kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa

    Nimekutana na hii babari kwamba Rais wa CAF bwana Dr.Motsepe anasema wanatarajia kuzindua Mashindano Mapya barani Africa yatakayojulikana kama Super League mwezi wa Agasti Nchini Tanzania.. Mashindano hayo yatakuwa na zawadi ya dola mil.100 sawa na zaidi ya bil.220 za Tanzania.
  2. M

    UZUSHI Magari yote ya kubeba maiti yatakiwa kulipa Tsh milioni

    Kila siku Serikali kupitia vitengo vyake mbalimbali wanabuni njia za kuongeza mapato. Tozo mpya ya shilingi milioni moja kwa magari yanayokodishwa kwa ajili ya shughuli mbalimbali ikiwemo ya kubeba miili ya marehemu inatazamiwa kupitishwa na kuanza kutumika, kumbuka tozo hiyo inayosimamiwa na...
  3. M

    UZUSHI Mwonekano wa uwanja wa ndege terminal 3 JKNIA

    Picha hii inasambaa kwenye mitandao ya kijamii ikibainisha kuwa huu ni uwanja wa ndege ya Kimataifa wa Mwalimu JK Nyerere, Dar es Salaam. Jamii Check tusaidieni kufuatilia hili. Picha inayodaiwa kuonesha Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere
  4. M

    UZUSHI Mkuu wa Wilaya ya Hai amepora ofisi ya Mbunge wa Hai

    Katibu wa Mbunge wa Hai Irine Lema amekanusha uzushi unaozunguka kwenye mitandao kuwa mkuu wa wilaya ya Hai amemnyanganya ofisi mbunge wa hai Mhe. Freeman Mbowe amesema kuwa ofisi ipo Bomang'ombe na imejengwa kwa garama za Mbunge na haiko halmashauri kama inavyopotoshwa Huu ni Mwonekano wa...
  5. M

    UZUSHI Shirika la Afya Duniani(WHO) lawatahadharisha mikate ya kuoka kuwa inasambaza COVID-19

    Hivi karibu kumekuwepo na taarifa ya kuwataka watu kutokula vitafunwa kama vile mikate n.k kwa ajili ya kuepuka maambukizi ya CoronaVirus Taarifa hiyo ili kupewa uhalali wake, iliambatanishwa na nembo ya Shirika la Afya la Umoja wa Mataifa(WHO) imesambaa kwenye Mitandao ya Kijamii ikidai watu...
  6. M

    UZUSHI Mayai ya Kuku kutoka nje ya Tanzania, yalisababisha kushuka kwa bei ya Mayai

    Juni 14, 2021 mitandao mbali mbali ya kijamii ilirindima kwa uvumi kuwa kuna mayai ya kuku kutoka nje ya Tanzania ambayo yamefanya mayai nchini yauzwe kwa Tsh. 4000 kwa trei la mayai 30, hali iliyoleta taharuki kwa wafugaji wa kuku nchini.
  7. M

    UZUSHI Treni ya Mwendokasi kuanza safari Juni 21, 2022 kutoka Dar kwenda Morogoro

    Kanusho la taarifa ya kuanza kwa huduma za safari za treni za kisasa Dar es Salaam - Morogoro.
  8. M

    KWELI Ugonjwa wa U.T.I unaweza kusababishwa na Kutokuwa msafi (Uchafu)

    Mdau wa JamiiForums.com ameelezea wasiwasi wake juu ya kuongezeka kwa maambukizi ya ugonjwa wa UTI kwa wanawake. Anahoji inakuwaje sababu kubwa inayotajwa kuwa ni uchafu ipate mashiko kwa nyakati hizi, kwani wanawake wa zamani ndio walikuwa wasafi zaidi kuliko hawa wa sasa? Mdau huyu anashauri...
  9. M

    KWELI Hali ya hewa hupelekea watu kuugua

    Habari zenu wakuu Hivi nmekua nikijiuliza sana ni hali ya hewa ndio inapelekea watu kuumwa sana sasahivi au ni nini?? Maana nmekua nikishuhudia watu wangi wakikohoa sana ambapo hali hii yakukohoa wengi wamekua wakieleza kua huwakuta sana ifikapo mida ya saa 12 jioni ambayo huwafanya hata...
  10. M

    KWELI Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli alifariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Joseph Magufuli amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 61 Taarifa rasmi iliyotolewa kwa umma na Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan kupitia Televisheni ya Taifa (TBC) leo usiku Machi 17, 2021 saa 5 usiku imeeleza kuwa Rais Magufuli amefariki...
  11. M

    KWELI Polisi yakiri watu 45 wafariki Dar wakati wa kumuaga hayati Magufuli

    Chanzo cha habari gazeti la the The Citizen la leo Machi 30, 2021. Dunia ina mambo mengi sana na vichekesho vingi sana, Hawa Jamaa Polisi mara ya kwanza waliogopa kutangaza. Hongereni Polisi kwa kutoa ukweli ingawa mmechelewa mlikuwa mnasoma upepo.
  12. M

    KWELI Samia Suluhu Hassan: Rais Magufuli anawasalimia, anasema tuchape kazi tulete tija kwa Taifa letu

    Leo, Machi 15, 2021 Samia Suluhu Hassan, Makamu wa Rais wa Tanzania ameanza ziara mkoani Tanga na akiwa kwenye kiwanda kimojawapo alichozindua kinachoshughulika na matunda wilayani Korogwe, alipata nafasi ya kusalimu wananchi baada ya kuombwa na mkuu wa mkoa wa Tanga ambapo alianza na salamu...
  13. M

    KWELI Malori yakwama bandarini Dar, madereva walalamikia ukiritimba

    Mwananchi Digital imeripoti kuwa katika bandari ya Dar es Salaam kuna malori (magari makubwa ya mizigo) yamekwama kwa siku kadhaa hivyo kusababisha madereva wa maroli kulala na kuamka hapo hadi kufikia siku nne, madereva hao wamedai kulala na kula kwenye magari yao na kuomba kujisadia katika...
  14. M

    KWELI TRA Wakanusha suala la Mtandao wao kusumbua nchi nzima

    TRA Wamekanusha Taarifa zilizoandikwa JamiiForums zilizodai Mtandao wao kusumbua. Wamesema ni taarifa ya Uongo na Uzushi. Kwani imelenga kupotosha na kuleta taharuki miongoni mwa Walipa Kodi pamoja na kuidhalilisha taasisi na Watumishi wake. Katika kipindi cha mwezi mzima, TRA haikuwa na...
  15. M

    UZUSHI Chupa za Chai zina vidonge vyenye Sumu ambayo ni hatari kwa Afya

    Wakuu hasa wale Wataalamu Wa Chemical na Hata Physics Kwa Ujumla nataka kupata Ufafanuzi hapa Kidogo! Chupa zetu za Kuhifadhi Joto La Vinywaji au Vimiminika Kama Chai, Kahawa au Maji Moto Ndani Imegundulika Kuna Vidonge!! Naam Ni vidonge! Video hii inasambaa Mtandaoni Kuhusu Hili Jambo!! TFDA...
  16. M

    UZUSHI Deusdedit Kakokonwa TPA akamatwa nyumbani na begi lenye USD 1,625,800

    Kuna madai kuwa Takukuru wameingia nyumbani kwa Kakoko leo ghafla na kumkuta na begi lenye $1,625,800 taslimu baada ya kusimamishwa kazi jana! Haijulikani hizo alizichota lini, lakini kama ni kweli inawezekana alikuwa akizichota pole pole kwa muda mrefu kidogo na huenda sasa hivi ana...
  17. M

    UZUSHI ATCL imefuta safari za Ndege kuelekea Chato Geita

    Inasemekana kuwa ATCL imefuta safari zake kuelekea Chato kutokana na ukosefu wa Abiria wa Kutosha.
  18. M

    KWELI Msanii Rayvanny rasmi aondoka Wasafi

    Hayawi Hayawi sasa yamekuwa, ilianza kama kamchezo kakuigiza kutokupeana support za kupostiana kati ya Rayvan na wasanii wenzake wawasafi lakini utetezi ukawa mwingi, Ikafuata mama yake Boss wa Rayvan kumkatia Behewa Rayvan huko Instagram yaan Mama Dangote kumunfollow Rayvan. Zikaja Event zote...
  19. M

    UZUSHI Rais wa Urusi, Vladimir Putin alifanya kazi Nchini Tanzania

    Picha ambayo baadhi ya watu wanadai kuwa inamuonyesha raisi wa Urusi Vladimir Putin akitoa mafunzo kwa wapigania uhuru kusini mwa Afrika ilisambaa na kutumiwa na baadhi ya watu kuhalalisha kuwa nchi za kiafrika zinapaswa kuunga mkono Urusi katika vita vya Ukraine. Picha hiyo ilisambazwa sana...
Back
Top Bottom