Search results

  1. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Katika maisha yangu Hawa watu sipendi kabisa niwe karibu nao

    Jf salaam. Kwa namna Moja ama nyingine naweza kukukwaza ama ukaingia kwenye Moja ya watu Hawa nitakao wataja hapa. Mimi ni binadamu kama binadamu wengine napenda na kusitopenda pia. Kwahiyo kama ukiangukia kwenye kundi la watu nisiowapenda elewa hivyo tu kuwa sikupendi hakuna mbadala wake...
  2. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Kizazi cha 2000 ni kizazi kilichokoswa maadili

    Hawa wadogo zetu almaarufu watoto wa 2000 wanashida kubwa sana, kizazi hiki cha 2000 ni kizazi cha ovyo kuwahi kutokea. Kwa muda sasa kimekuwa kikisemwa hasa kwenye mitandao ya kijamii na kwenye jamii kawaida Hawa watoto hawana chembe ya aibu hata kidogo, wavivu' wanapenda mseleleko sana sio...
  3. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Kamwe miti ya matunda ya kisasa haiwezi lingana na ya asili iwe utamu au kuzaliana

    Jf salaam Huwa nashangaa sana mtu kuanza kuinadi hii miti ya kisasa akiiponda ya kienyeji (asili). Ukweli ni kwamba miti ya matunda ya asili inazaa sana iwapo itatunzwa kidogo tu! Na daima ni mitamu sana na mivumilivu mno katika Hali zote! Hii yenu hii iliyoibuka hata nusu haiwezi fikia...
  4. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Nikifungua kanisa, hizi ndizo zitakuwa Amri zangu

    Bwana Ni Mwema Watu Wa Mungu! Biashara ya dini kwa sasa ndiyo biashara inayolipa asikwambie mtu Nimemshuhudia jamaa yangu kwa miaka 4 tu amepiga hatua kubwa sana dogo alianza na mtaji wa watu wachache sana akisali chini ya mti wa mwembe baada ya miezi kadhaa watu {mtaji ukakua} wakaongezeka...
  5. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Kwenye msitu wangu kuna black mamba/ koboko natafuta njia za kumwangamiza bila kuleta madhara kwenye jamii

    Jf salaam🙏 Ni muda sasa tangu aanze kuonekana huyu nyoka hatari koboko na inasemekana wapo wawili. Taarifa zilianza kunifikia kutoka Kwa wazee wangu maana huo msitu ukweli sio wangu ni wa mzee ila kaniruhusu kufanya shughuli zozote za kujiingizia kipato. Mara kadhaa amekuwa akionekana na...
  6. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Tazama Kanda ya Ziwa ilivyobarikiwa na Mungu

    JF Salaam!! Ninaposema Kanda ya ziwa bila shaka tiyari unakuwa umepata taswira yake. Siyo kwamba mikoa mingine haijabarikiwa la hasha lakni Kwa Kanda ya ziwa Kuna neema ya pekee sana. Hapa nitataja baadhi ya vitu vinavyopatikana Kwa wingi Kanda ya ziwa. Kwa akiri yangu japo Sina takwimu...
  7. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Kwako Mheshimiwa Hussein Ammar kassu Mbuge wa Jimbo la Nyang'hwale Geita

    Wasalam Mheshimiwa Mbuge wetu. Kwanza nichukue fursa hii kukupongeza bila kinyongo Wala kijicho Cha aina yoyote. Mheshimiwa Mbuge Ndg Hussein Ammar kassu Kwa miaka karibia 20 sasa tulikupa Jimbo letu la Nyang'hwale liwe mikononi mwako. Ukituwakilisha nakutatua changamoto zetu hakika...
  8. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    KISA CHANGU: Mara ya kwanza kuvuta bangi nilienda kumuomba ushauri mwalimu kuwa nataka kujiua

    JF salaam, Ni miaka takribani 17 tangu kituko hiki nikifanye nikiwa O Level kweli bangi inawenyewe. Nikiwa na marafiki zangu watano mi nikiwa 6 kati yao wa3 walikuwa wanakula bangi na darasani wanafanya vyema sana yaani tano bora muhimu wawemo. Hili lilitufanya tuwaze sana na jamaangu wa...
  9. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Mambo matatu yanayo nichanganya Kwa wanaume wezangu!

    Jf wasalaam Sio Kwa ubaya tupeane Elimu tu. Mihemko na mjibu yasiyo Faa tujaribu kuyaepuka. Kila mtu atoe mtazamo wake. *MWANAUME MTU MZIMA:- Kusherehekea happy birthday party bila hofu yoyote. Binafisi Huwa nashangaa nadhani mnaweza kuniona mshamba lkn Wacha nikubali mimi ni mshamba. Huwa...
  10. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Vijana wengi wa KATAA NDOA hawajielewi

    JF habari!!! Mwanzo 1:28 (KJV) Mungu akawabarikia, Mungu akawaambia, Zaeni, mkaongezeke, mkaijaze nchi, na kuitiisha; mkatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na kila kiumbe chenye uhai kiendacho juu ya nchi. Hilo ndilo kusudio kuu la Mungu. Yeyote yule anapinga ujue wazi yupo upande...
Back
Top Bottom