Kizazi cha 2000 ni kizazi kilichokoswa maadili

Nikifa MkeWangu Asiolewe

JF-Expert Member
Feb 26, 2024
696
1,021
Hawa wadogo zetu almaarufu watoto wa 2000 wanashida kubwa sana, kizazi hiki cha 2000 ni kizazi cha ovyo kuwahi kutokea. Kwa muda sasa kimekuwa kikisemwa hasa kwenye mitandao ya kijamii na kwenye jamii kawaida

Hawa watoto hawana chembe ya aibu hata kidogo, wavivu' wanapenda mseleleko sana sio wanaume au ke ni aibu. Wengi wao wanaishi maisha ya mtandaoni yasiyo na uhalisia na maisha yao halisi.

Kizazi hiki ni sugu nidhamu ni sifuri hawapendi kazi za jasho wapo ladhi kuzibuliwa mitaro kw sent ndogo tu au kuahidiwa simu.wadogo zetu hawa yupo tiyari kuweka rehani kijambio ili afanikishe party yake ya happy birthday.

Dogo wa miaka 17 si ajabu leo hii kumkuta kaolewa na lishangazi na anatuvimbia sisi ma bro zao
kitu kama hiki kuanzia kizazi cha miaka ya 90 kurudi nyuma hadi adamu na eva ilihesabika ni laana.

Madogo hawa wanajichubua au kama haitoshi ukiingia geto la madogo siku hizi kukuta makopo ya makeup
sio swala geni tena.

Mbaya zaidi ya yote kizazi hiki kimekoswaheshima, nidhamu na staha si ajabu kuona pst za ajabu madogo wakiuliza KUNA KOSA GANI MAMA MZAZI KUMPEA ZAWADI YA NGUO ZA NDANI? {CHUPI}, ama kweli hiki ni kizazi cha mwendo kasi. katika zawadi zote wao wanaona mama hata chupi ampe tu!!!

Wachache sana wanao weza kupambana kwa kazi ngumu wengi wao wanaishi kwa kubeti na mabonanza.
Hata wanapopata kazi utendaji kazi wao ni hafifu sana kama hawali vizuri.

Miili yao imekaa kimrenda mrenda sna kijana wa miaka 20+_ ukimwangalia kwa makini anakuregezea macho.
Basi iwapo utasimamia kazi ipasavyo hawakosi kuacha kazi na lawama juu.

Kizazi hiki kina matusi mapyana ya kukera sana usiombe kuanzisha ligi mbele ya kandamnasi yas watu na vitoto hivi utaumbuka.

Vijana wa2000 wanapiga puchu hadharani. wasiokuwa na nguvu za kiume wala chips na energy

Hawa ndio mapanya road. miaka 90- hatukuwahi kuwa na watoto jeuri wenye kutesa jiji kama Dar.
wadogo zetu wana machine maalumu za kunyoa nywele za siri. Tangu kuumbwa kwa ulimwegu style hii ya unyoaji imevumbuliwa na kzazi hiki. labda watuambie hizo nywele makalioni nani zina mkera?

Kizazi hiki ndio matapeli wa mtandaoni. Nikweli mmetufanya kaka zenu na baba zenu tusiaminike tene kwenye nyumba za kulala wageni. Enzi zetu ilikuwa ni kawaida tu wanaume wawili kulala pamoja chumba kimoja kwa sasa haiwezekani tena yote haya ninyi mmesababisha.

NB: Mengine ni kweli na mengine utani usichukulie serious sana povu likakutoka jingi ukafa bure utuachie mke wako wa mchongo.
 
Mlipoanza kulea watoto kama mayai na kuacha kutembeza kipondo na kukaripia ili kunyoosha tabia results Ndio hizo sasa .
Mnaiga umagharibi usio na maana ,ndio maana leo hii unaweza kutukanwa na kitoto kidogo kabisa
 
Uzi wa kipumbavu sana. Wa kuwalaumu ni wazazi wao. Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo. Wazazi wa hawa vijana ndo hao huvaa chupi mbele yao kwa kisingizio cha swimming costumes. Miaka ya nyuma ilikuwa ngumu sana kuona chupi ya mzazi wako hasa mama. Siku hizi kila kitu kipo wazi. Mbaya zaidi unakuta mama anachepuka na kumtambulisha mchepuko kwa mtoto wake kwa jina la Anko. Uhusiano kati ya mama na binti yake kwa nyakati hizi ndo balaa zaidi. Hao hushea hadi chupi na wengine hadi mabwana. Kuna video ya Kajala yupo chooni kafuatwa na binti yake.

Kina baba wa kizazi hiki nao ni hasara tupu. Kudekeza kina junior imekuwa fashion. Mtoto anakazaniwa kupata One ya 7 ila nje ya hapo ni sawa na maiti inayotembea. Zile nyakati za wakati wa likizo kwenda kijijini kuvuna mahindi au kuandaa shamba kwa sasa hakuna. Sasa hivi ni bata na shule tu. Mitoto inanuna kisa hakuna jam au blue band ya kupaka kwenye mkate. Mzazi badala ya kumkata kelbu moja ya maana anaishia kumbembeleza na kumpa soseji.

Wazazi wengi wa sasa ni wapumbavu kama watoto wao.
 
IMG-20240515-WA0113.jpg
 
Tutawalaumu bure tu ..

Hizi sio nyakati za kutandika vitambaa kwenye makochi..

Nyakati zimebadilika ..

Wamekuja wamekuta dunia ni rahisi sana, ukiomba namba tu tayali kesho unakula mzigo ..

Sio enzi zile kumvizia mtu mpaka atumwe dukani au urushe mawe juu ya bati atayetoka umwachie ujumbe..
😂😂😂😂Enzi za kutongozana chini ya mti, sikuhizi ni text ya kwanza ya pili shwaa
 
Uzi wa kipumbavu sana. Wa kuwalaumu ni wazazi wao. Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo. Wazazi wa hawa vijana ndo hao huvaa chupi mbele yao kwa kisingizio cha swimming costumes. Miaka ya nyuma ilikuwa ngumu sana kuona chupi ya mzazi wako hasa mama. Siku hizi kila kitu kipo wazi. Mbaya zaidi unakuta mama anachepuka na kumtambulisha mchepuko kwa mtoto wake kwa jina la Anko. Uhusiano kati ya mama na binti yake kwa nyakati hizi ndo balaa zaidi. Hao hushea hadi chupi na wengine hadi mabwana. Kuna video ya Kajala yupo chooni kafuatwa na binti yake.

Kina baba wa kizazi hiki nao ni hasara tupu. Kudekeza kina junior imekuwa fashion. Mtoto anakazaniwa kupata One ya 7 ila nje ya hapo ni sawa na maiti inayotembea. Zile nyakati za wakati wa likizo kwenda kijijini kuvuna mahindi au kuandaa shamba kwa sasa hakuna. Sasa hivi ni bata na shule tu. Mitoto inanuna kisa hakuna jam au blue band ya kupaka kwenye mkate. Mzazi badala ya kumkata kelbu moja ya maana anaishia kumbembeleza na kumpa soseji.

Wazazi wengi wa sasa ni wapumbavu kama watoto wao.
Ukiacha uchawa wa ccm huwa una madini sana.

Hili lichama ndio linakuchafulia image yako.
 
Hawa wadogo zetu almaarufu watoto wa 2000 wanashida kubwa sana, kizazi hiki cha 2000 ni kizazi cha ovyo kuwahi kutokea. Kwa muda sasa kimekuwa kikisemwa hasa kwenye mitandao ya kijamii na kwenye jamii kawaida

Hawa watoto hawana chembe ya aibu hata kidogo, wavivu' wanapenda mseleleko sana sio wanaume au ke ni aibu. Wengi wao wanaishi maisha ya mtandaoni yasiyo na uhalisia na maisha yao halisi.

Kizazi hiki ni sugu nidhamu ni sifuri hawapendi kazi za jasho wapo ladhi kuzibuliwa mitaro kw sent ndogo tu au kuahidiwa simu.wadogo zetu hawa yupo tiyari kuweka rehani kijambio ili afanikishe party yake ya happy birthday.

Dogo wa miaka 17 si ajabu leo hii kumkuta kaolewa na lishangazi na anatuvimbia sisi ma bro zao
kitu kama hiki kuanzia kizazi cha miaka ya 90 kurudi nyuma hadi adamu na eva ilihesabika ni laana.

Madogo hawa wanajichubua au kama haitoshi ukiingia geto la madogo siku hizi kukuta makopo ya makeup
sio swala geni tena.

Mbaya zaidi ya yote kizazi hiki kimekoswaheshima, nidhamu na staha si ajabu kuona pst za ajabu madogo wakiuliza KUNA KOSA GANI MAMA MZAZI KUMPEA ZAWADI YA NGUO ZA NDANI? {CHUPI}, ama kweli hiki ni kizazi cha mwendo kasi. katika zawadi zote wao wanaona mama hata chupi ampe tu!!!

Wachache sana wanao weza kupambana kwa kazi ngumu wengi wao wanaishi kwa kubeti na mabonanza.
Hata wanapopata kazi utendaji kazi wao ni hafifu sana kama hawali vizuri.

Miili yao imekaa kimrenda mrenda sna kijana wa miaka 20+_ ukimwangalia kwa makini anakuregezea macho.
Basi iwapo utasimamia kazi ipasavyo hawakosi kuacha kazi na lawama juu.

Kizazi hiki kina matusi mapyana ya kukera sana usiombe kuanzisha ligi mbele ya kandamnasi yas watu na vitoto hivi utaumbuka.

Vijana wa2000 wanapiga puchu hadharani. wasiokuwa na nguvu za kiume wala chips na energy

Hawa ndio mapanya road. miaka 90- hatukuwahi kuwa na watoto jeuri wenye kutesa jiji kama Dar.
wadogo zetu wana machine maalumu za kunyoa nywele za siri. Tangu kuumbwa kwa ulimwegu style hii ya unyoaji imevumbuliwa na kzazi hiki. labda watuambie hizo nywele makalioni nani zina mkera?

Kizazi hiki ndio matapeli wa mtandaoni. Nikweli mmetufanya kaka zenu na baba zenu tusiaminike tene kwenye nyumba za kulala wageni. Enzi zetu ilikuwa ni kawaida tu wanaume wawili kulala pamoja chumba kimoja kwa sasa haiwezekani tena yote haya ninyi mmesababisha.

NB: Mengine ni kweli na mengine utani usichukulie serious sana povu likakutoka jingi ukafa bure utuachie mke wako wa mchongo.
Malezi mabovu ,
 
Back
Top Bottom