Search results

  1. PureView zeiss

    Handeni: Dereva wa Bodaboda agonga bundi na kufariki

    Afisa mifugo wilayani Handeni mkoani Tanga (Jina lake bado halijafahamika) amefariki dunia baada ya kumgonga ndege aina ya Bundi na pikipiki aliyokuwa akiendesha yenye namba za usajili STM 0232 . Ajali hiyo imetokea asubuhi ya leo Ijumaa, Mei 17 2024 eneo la Sindeni, Handeni jirani na kona ya...
  2. PureView zeiss

    Matumizi ya Sharp intelligence VS sport mode Vs paddle shifter+- za Subaru forester

    Wakuu.... Hizo features zipo kwenye Subaru forester huwa zinanichanganya kujua Zinatumika wakati gani.. Sport mode naijua vizuri maana hata kwenye Rumion yangu naitumia, ila kwenye Subaru sijaelewa bado hasa kama upo kwenye D(drive) na unataka kuovertake, JE utatumia sharp intelligence au sport...
  3. PureView zeiss

    Picha: athari ya mvua Huko mtaani kwako Hali ipoje?

    Mitaa yetu pamoja na mvua kuathiri maeneo yote ikiwemo miundombinu bado kuna baadhi ya wahuni wanafurahia Hali hiyo ya mvua maana ni fursa kwao
  4. PureView zeiss

    USD 1.30 billion zimetumika Kwa usiku Jana kuzuia makombora ya Iran

    Vita ni kitu cha gharama Sana na ni mzigo Kwa dunia. Ebu piga hesabu Kwa usiku mmoja zimetumika USD kibao Kwaajili ya ulinzi Tu wa anga, Kwa mfano fighter jets za F-35 zilikuwa zinaruka hewani kutokea nchini Cyprus kuzuia makombora yaliyokuwa yanatoka moja Kwa moja kutoka Iran huku fighter jets...
  5. PureView zeiss

    Iran inajiandaa kupiga ndani ya Israel kwa masaa 48 yajayo

    Ripoti za kiuchunguzi za CIA zinaeleza kuwa Iran inaendelea kujiandaa na mashambulizi ya drones ndani ya Israel hasa kwenye maeneo yake ya viwanja vya ndege na kambi za jeshi... Wakati haya yakijiri Huko Iran na Israel nao kupitia waziri wa ulinzi bwana GALLANT amesema kuwa "vikosi vyetu vipo...
  6. PureView zeiss

    Sare mpya Kwa madereva bodaboda DAR

    Sare mpya kwa Madereva Bodaboda Dar es salaam Hivi karibuni zitazinduliwa sare mpya kwa madereva wa Bodaboda Dar es salaam ambapo sare hizo zitakuwa na namba na ukiingiza hiyo namba kwenye mfumo utajua taarifa zote za huyo dereva na sehemu anapotokea. Ambapo Mkuu wa Wilaya ya Ilala Muheshimiwa...
  7. PureView zeiss

    Wakenya wanataka fainali ya AFCON 2027 ifanyike kwao

    Wakenya wanataka fainali ya AFCON 2027 ifanyikiwe kwao. Rais Ruto ameliagiza Jeshi pamoja na Wizara ya Michezo wajenge uwanja wenye hadhi ya Kimataifa unaobeba watu 60,000 jijini Nairobi tena Ukamilike ndani ya Miaka 2 tu. Tanzania inabidi tuchangamke, fainali ichezewe kwa Mkapa. Sisi wabongo...
  8. PureView zeiss

    Taliban wapiga marufuku wanawake kupiga simu redioni

    Taliban imepiga marufuku wasichana kupiga simu redion ✍🏻Kwamba wana hamsha ari za wanaume na kuwafanya wawaze ngono ✍🏻Inawaondoa wanaume kwenye mood wawapo kazini ✍🏻Kwamba dini ya Kiislamu si kwamba hairuhusu maumbile tu ya mwanamke kuonekana, Bali hata Sauti ya Kuvutia inamfanya Mwanaume...
  9. PureView zeiss

    Usikubali kulipwa mshahara maisha yako yote, kataa

    USIKUBALI KULIPWA MSHAHARA MAISHA YAKO YOTE… KATAA🧠 “A salary is a drug they give you when they want you to forget about your dreams" ... Kevin O'Leary Vipi unakubali au unakataa? REPOST Wengi Wajifunze 🙏 ...Huu ni ukweli mchungu kuhusu mshahara 👇 ✔️Kama Unalipwa Mshahara Maana yake Unabeba...
  10. PureView zeiss

    AFRICON 2027 inakuja na neema ya ujenzi wa barabara 4 ,kuanzia mbagala - chamazi- chanika

    Ni neema juu ya neema Kwa Sisi wakazi wa maeneo haya ya mbagala,chamazi,msongola,kitonga Hadi chanika baada serikali kutaka kuanza ujenzi ramsi wa barabara 4 ( 2 lanes).. Toka mwezi uliopita TANROAD wamepigwa alama ya X nyumba zote zilizopo kwenye hifadhi ya barabara pamoja na notes ya siku 14...
  11. PureView zeiss

    TANESCO: Watu kukaa nyumbani kipindi cha likizo chanzo cha umeme kuisha haraka

    Shirika la Umeme nchini (TANESCO), limesema kuwa limebaini mapumziko ya miezi ya Disemba na Januari ambayo watu wengi wanakuwa nyumbani katika mapumziko ya mwisho wa mwaka ndio sababu ya umeme kuisha haraka kwa watumiaji wa mita za LUKU. Kwenye mitandao mbalimbali wananchi wanalalamika kuhusu...
  12. PureView zeiss

    Ni mawaziri wangapi wanaweza kukataa rushwa ya Tsh milioni 300?

    Naweza kumpongeza mh waziri jerry slaa Kwa uthubutu wake wa kukataa rushwa ya milioni 300 ingawa sina uhakika kama amekataa kweli! Ingawa wabongo ni wagumu muda mwingine kuelewa na kukubali hii statement ya slaa lkn bado kwangu Mimi naweza kumuamini aliyosema pia wapo baadhi ya wamaziri wenye...
  13. PureView zeiss

    Mwijaku ateuliwa kuwa Mwenyekiti wa Machawa wa Rais Samia kwa Mkoa wa Dar es Salaam

    Mwijaku ateuliwa kuwa Mwenyekiti wa Chawa wa Mama Mkoa wa Dar es Salaam. Mtanzania maarufu wa Kituo Cha Redio kongwe nchini Clouds FM Mwemba Burton almaarufu kama Mwijaku ametangazwa kuwa Mwenyekiti wa Chawa wa Mama Mkoa wa Dar Es Salaam. Katibu wa Chawa wa Mama Taifa Neema Karume amesema...
  14. PureView zeiss

    The Terminal List: Hii ndiyo series yangu pendwa baada ya PRISON BREAK na 24

    Baadhi ya wadau walisifia Sana serial ya money heist nikaona isiwe taabu Acha niitafute nione kama hiyo ladha yake itafanana na prison break na 24 lakini cha ajabu humo ndani ilijaa ujinga mwingi na utoto nikaja na Uzi wangu juu ya hiyo movie ya kifala. Nimeangalia serial nyingi Ila bado Ile...
  15. PureView zeiss

    Msaada natafuta display original ya Nokia G10

    Habarini wanduguuu!! Natafuta maduka ambayo naweza kupata display original ya Nokia G10 nimeuliza hapa kariakoo aggrey Street zipo lkn najua ni makanjanja Tu.. Sijajua Kwa mitaa ya posta ni maduka gani naweza kupata display original kwasababu nipo tayari kugharamia Kwa kiasi chochote cha fedha...
  16. PureView zeiss

    Magari ya mzungu yametuacha mbali Sana Sisi akina Toyota

    Nimeshangaa kuona jinsi Magari ya mzungu yakivyokuwa na utofauti na Magari yetu ya kijapan,Jana nilikuwa nasukuma ndinga BMW 320i kutoka banana Hadi Kariakoo hakika kuna utofauti Mkubwa Sana na rumion Yangu Hadi nilikuwa siamini jinsi hizi gari zilivyobarikiwa kuna nguvu, stability...
  17. PureView zeiss

    TCRA mnajua usanii unaofanywa na DStv?

    Usanii huu wa DStv utaendelea mpaka lini? Leo wameondoa channel namba 228 (super sport variety) Kwa vile Tu mashindano ya Olympic yataanza kesho kutwa!! Huu sio uungwana na ni wizi wa mchana tena ni usanii mtupu, haiwezekani tumelipia kifurushi ambacho hiyo channel inakuwepo halafu ghafla...
  18. PureView zeiss

    Ushauri wa bure: Madereva wa private cars tembeeni usiku kama unafanya Safari ndefu

    Imekuwa desturi na mazoea kwa madereva wengi wanaoendesha magari yao binafsi kufanya safari zao ndefu muda wa mchana ingawa ni jambo jema ila kwa mtazamo wangu mimi naona ni shida na usumbufu mwingi njiani. Naongea hivyo kwasababu ndani ya mwezi Machi nilifanya safari ndefu ya kwenda Mwanza na...
  19. PureView zeiss

    Uzi maalumu kwa wapenzi na tunaomiliki Toyota Corolla Rumion

    Kwa miaka zaidi ya mitatu (3) imetokea trend kubwa ya wabongo wengi kuipenda hii gari ndiyo maana Leo nimeona na Mimi nikiwa kama shabiki na mmiliki wa hii ndinga niisifie Kwa mambo machache... Kwanza ukishikia neno corolla ujue kabisa kuwa ni gari Ngoma ngumu hasa Kwa upande wa engine pia gari...
  20. PureView zeiss

    Najuta kupoteza muda wangu kuangalia Ujinga uliopo Kwenye series ya money heist

    Kwa mara ya Kwanza toka 2009 nilipoanza kuchek series za 24 na prison break nilishamaliza kufananisha na series yeyote duniani nakumbuka mwaka 2010 nilichek pia series moja tamu Sana inatwa traveller,hii movie haikutoka tena na sielew sababu ya kushindwa kuchezwa mpaka leo.. Miaka mingi imepita...
Back
Top Bottom