Uzi maalumu kwa wapenzi na tunaomiliki Toyota Corolla Rumion

PureView zeiss

JF-Expert Member
Sep 5, 2016
9,323
30,654
Kwa miaka zaidi ya mitatu (3) imetokea trend kubwa ya wabongo wengi kuipenda hii gari ndiyo maana Leo nimeona na Mimi nikiwa kama shabiki na mmiliki wa hii ndinga niisifie Kwa mambo machache...
Kwanza ukishikia neno corolla ujue kabisa kuwa ni gari Ngoma ngumu hasa Kwa upande wa engine pia gari hizi zimekuja Kwa Aina mbili za engine kuna Toyota rumion 1.8 CC 1790/engine code 2ZR na Toyota rumion 1.5 CC 1490/engine code 1NZ.

Sasa Kwa Leo nitazungumzia Sana hii yenye CC 1490 ambayo ndiyo wabongo wengi tumenunua,Kwa kifupi ni bonge moja la ndinga kuanzia ndani(interior design) na (exterior design) ina space ya kutosha kama uwanja wa taifa pia ina bonge moja la mziki WA kufa mtu kwasabb spika zimeanzia nyuma Kwa juu pamoja na twita zake huku spika zingine zikifungwa milangoni mwake.

Tukirudi Kwenye upande wa engine ni kuwa hizi gari zinaingiliana Sana engine zake kwasabb 1NZ imetumika Kwenye raum, sienta,pro box ,IST ,spacio, Porte na nyinginezo.. ndiyo maana tukianzia Kwa Magari yote hapa bongo ambayo ni mini van hasa Kwa Toyota nadhani rumion ndiyo Mpira (gari) wamaana huwezi kuifananisha na spacio, Porte,OPA,ractic,raum,IST, Sienta na pro box kuanzia muonekano wake wa nje na ndani ndiyo usiseme.
seat zake ni tamu Sana zenye kufanana na Toyota vanguard (Kwa mtu ambaye anazijua au ameshawahi kuzikalia) huku zikija na kitambaa cha moquette hiki ni mahususi kabisa Kwa Magari yenye akili pia taa zake headlight zinaudjustment ambayo unaweza kupunguza zikawaka mbele ya gari yako au zikawaka mbele zaidi kuanzia Mita 50 na kuendelea.

Pia Kwa upande wa gear box transmission inatumia mfumo wa CVT yaani kila kitu ni smooth Sana,hata Usalama juu brake ni WA kisasa ikitumia ANT -LOCK BRAKE PADS SYSTEM (mbele na nyuma kuna disc brake badala ya ule wa kizamani wa kutumia drum).
Mwisho nawatoa hofu Kwa wale wote ambayo waliokuwa wanataka kununua hii ndinga kuwa wasicheleqe kufanya maamuzi juu ya mashine
IMG_20201015_165654.jpg
IMG_20201015_165630.jpg
IMG_20201015_165637.jpg
IMG_20201015_165607.jpg
 
View attachment 1601824View attachment 1601825View attachment 1601826View attachment 1601827
Hua naikubali,ntaitafuta hat kwa mtu
 
Rumion hua ni kali, ila sio hii ya kwako uliyotuwekea hapa. Unaendeshaje gari haina rim? Hebu kaweke rim na tairi za maana kwanza ndio uilete hapa..!
 
Naomba mnitag na wale wenzangu wa Vokswagen aka bito aka mgongo wa chura.
 
hii gar n nzur yaan nikiiona naona kama prado fulan hv ambayo imemodolewa. afu ikiwa rangi ya kijivu au damiamzee yan daaah. ila kuna starlet fulan hv huwa znanivutia pia ukute ndo imepigwa urembo rembo aaah mbna utapenda!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom