Search results

  1. K

    Fanya haya ili udumu na mkeo

    1.hakikisha una mmudu hakuna kitu kinacho mvutia mwanamke/kinacho mshawishi mwanamke kuamua kuolewa au kuishi na mwanaume zaidi ya tendo la ndoa Yale Mambo ya vyakula sjui out nyingi magari fedha havina maana Kama mwanamke hatosheki kwenye swala la ngono Kwa maana hiyo unapo amua kuishi na...
  2. K

    Hivi inakuaje mtu kufanya hivi?

    Leo nilikuwa nimetoka ofisini Sasa kwa bahati mbaya kifurushi changu Cha mwezi kikawa kime niishia Na Kibaya zaidi ninapo kwenda siwezi kwenda bila kuwa na mda wa maongezi Nikaona ni vema nichukue vocha kwanza kabla Sija Anza safari yangu ya kwenda huko ninako taka kwenda Eneo letu la kazi...
  3. K

    Vyakula/matunda na tiba zake special thread

    Habari zenu wakuu?? Nimeona nianzishe Uzi huu ili kupeana up dates kuhusu vyakula/dawa asiri na matibabu yake Kwani nina amini hata kabla ya hospital's kulikuwa na matibabu ya asiri lakini yame potea au wengi hatuya jui kuto kana na technologies development/mazingira tuliyo kulia Kiukweli ni...
  4. K

    Watu weusi tujitafakari. Sisi si wa kutazamana kwa macho mabaya. Tulipaswa kuzungumzia Afrika moja

    Habari zenu wakuu zangu? Nimiaka mingi imepita huko nyuma miaka ya kiza,miaka ya mateso, miaka yenye uzuni, miaka isiyo na matumaini, miaka ambayo mtu mweusi ali ishi maisha ambayo samaki, kuku, ngombe, mbuzi, wanaishi Sasa hivi Yani una mkamata una mfuga ili akulimie au akupe maziwa au...
  5. K

    Tabia/ sifa za Marais wtu zinazofanana

    Habari wa kuu zangu? Nimechunguza nimejikuta nagundua kwamba viongozi wetu/ma raisi wetu Wana TABIA zinazo fanana na TABIA zenyewe ni hizi zifwatazo 1.Hawajiamini.. Wafikapo madarakani huelekeza sana nguvu kwenye ukaribu na vyombo vya Dola kuliko Wananchi wao walio wachagua kuwa tumikia sjui...
  6. K

    Wakati tunaendelea kula kuku tusisahau tulipotoka, wekeza siku ukiwahitaji usije kuwa mzigo

    Habari za sasa hivi wakuu?? Kimsingi maisha yetu wengi tunao ishi mjini yame anzia vijijini kama sio kusomea Basi kukulia Kama sio kukulia Basi asiri zetu ni vijijini Miji yote mikubwa duniani ilianza kuwa vijiji ikakuwa ikawa miji hatimaye majiji. Wakuu zangu mna kumbuka kuhusu funza, chawa...
  7. K

    Kila anachosema mwanamke mbele ya mwanaume ni kinyume chake, akisema hampendi Juma jua ni kinyume chake

    Habari zenu wakuu, Mimi ni miongoni mwa watu ambao wamekumbana na shughuri ya kiumbe anayeitwa mwanamke, tena ilikuwa ni shughuri nzito kweli kweli na kwasababu ilikuwa ni ndoa yangu ya kwanza Basi nikaamini pengine ndiyo maana misikitini na makanisani mashehe na wachungaji wetu wanahubiri...
  8. K

    Nguvu ya Kukaa kimya

    Habari zenu wakuu?? Hapo nyuma nilikutana na Changa Moto nyingi ambazo ninaimani zilikuwa ni changa Moto rahisi Sana kwa mtu ambaye alikuwa akiziskia na kuziona zilipo kuwa zikini kumba but was tight Nili dhalilika,nikadharaulika, nikasemwa,nikasemekana, kunawakati niliambiwa maneno nawatu...
  9. K

    Tujiandae na Vita ya Tatu ya Dunia

    Habari wakuu zangu, Kuna msemo unasema "Jela hakuna mateso ila wanao leta mateso jela ni wajelajela wenyewe." Hivyo hivyo duniani ni mahala salama, pana maji, vyakula ardhi nzuri, na vyote Mungu alitoa bure. Yaani ule bure, unywe bure, ujenge popote bure, uwinde bure, uvue samaki was baharini...
  10. K

    Binafsi, nampongeza Rais Samia kwa haya

    Binadamu tumama pungufu yetu na mapungufu hayo ndiyo yaliyo mzaa wingi na wingi ikamzaa ushauri ushauri aka kaa kwa kila mtu nahapo ndipo ika onekana thamani ya kila mtu Kwamba ninapo shindwa Mimi kwenye Jambo gumu ambalo kwangu ni gumu ntalazimika kumtafuta mtu mwenye ujuzi wa Hilo Jambo Kuna...
  11. K

    Mpangaji na kodi ya jengo kupitia luku, Serikali mnalionaje hili?

    Kumekuwa na utaratibu ukipanga nyumba Basi umeme unapoisha ni jukumu la mpangaji japo kuwa Kodi analipa vile vile Hili si baya shida inakuja pale unapo panga nyumba ambayo inadaiwa miezi kadhaa nyuma ya Kodi ya jengo Hapa ndipo machungu yanapoanzia Unapokuja kwenye suala la kununua umeme...
  12. K

    Je, kuna uhusiano kati ya tohara na upungufu wa nguvu za kiume na hatari ya maambukizi ya VVU?

    Habari wakuu, Nimekuwa nikijiuliza sipati jibu, maswali machache niliyo jiuliza yalinifanya nifanye utafiti ili kupata majibu ya maswali yangu. Miongini mwa majibu niliyoyapata kwenye utafiti wangu ni haya: 1) Kwanza nimegundua wanaosumbuliwa na matatizo ya upungufu wa nguvu za kiume wengi ni...
  13. K

    "Fanya haya mama ili ubaki kuwa mama bora duniani"

    a) vunja Katiba iliyopo lete Katiba mpya iliyo sahihi inayo egemea kwa 90% kwa Ile ya Warioba. b) Unda tume huru ambayo wasimamizi wa uchaguzi wata chaguliwa na wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pindi tu uchaguzi utakapo karibia. c) Baada ya kuya...
  14. K

    Maajabu ya viongozi wa Tanzania

    Habari za Sasa hivi wakubwa zangu, wadogo zangu, kaka na dada zangu hapa Jamii Forums. Bila kusahau babu zetu hapa JF kina mshana Jr, Bujibuji n.k, heshima kwenu wakuu. Leo nimeona niwashirikishe maajabu ya viongozi wetu tangu uhuru hapa Tanzania. Na yafuatayo ndiyo maajabu yenyewe ambayo...
  15. K

    Ustawi wa Jamii walivyoharibu maisha yangu, no# 1

    Habari za jioni ndugu na jamaa humu ndani leo nimeona nizungumzie jambo moja ambalo linaathiri Jamii yetu bila kujua na limekuwa ni tatizo ambalo katika maisha ya watu wengi. Wapo waliouza nyumba zao, waliokimbia miji, pia wapo ambao mpaka sasa naandika huu Uzi wapo jela, japo hawana hatia...
  16. K

    Karibu nauza mahindi na ulezi

    Kilo Mia na Saba no shilling 71000 hapa hapa Tunduma nauli kwa Tani mpaka holili ni lak 2nakumi dar ni lak na 20 kwatani boss wang
Back
Top Bottom