Blackberry na Nokia yameanguka, tena yameanguka sana. Pamoja na kuwa na simu kali zenye kamera nzuri, speed kubwa ila wakaanguka.
Walianguka kwa sababu hawakuwa na viongozi wenye kufocus ulimwengu jinsi ulivyo. Yaani walikuwa katika miaka ya 2000 lakini akili zao zilikuwa zinafanya kazi ya...
Siku zote, wenzetu wanakula, na wakila, wanakula vyakula ambavyo vinajenga miili yao. Zamani chakula kama hiki hakikuwepo Tanzania, lakini siku hizi vipo vingi tu.
Tembelea supamaketi ukakutane na vyakula mbalimbali, vyenye afya, sisi tunakula ila ulajibwetu ni wa kijinga. Ndiyo! Ni wa kijinga...
Huyo mzungu ndiyo Dorotia mwenyewe, Kama uliwahi kusikia Ngoma ya Dorotia toka Kwa Jose Chameleon.Alikua Mpenzi wa Jose na walizaa mtoto mmoja aitwaye Ayla Mayanja
Dr. Jose Chameleon aliivuruga East Africa na ngoma kali sana hit baada ya hit yani tunabandua Ugali tunabadika maharage yani...
Sisi wengi wakongwe tunakumbuka historia ya Captain Gardner nguli wa vipindi vya redio, alianza kama muuza cassette (Kanda) za audio na video pale jijini mwanza kama mtu wa masoko, ndipo Othman Njaidi baada ya kuuona uwezo wa Gardner wa kushawishi wateja, akamchukua na kumpeleka Clouds FM japo...
Licha ya kiswahili kuzaliwa katika pwana ya Afrika mashariki, na kuzungumzwa zaidi Tanzania kuliko Mataifa yote. Kiswahili fasaha bado ni changamoto katika ukanda wa pwana ya Tanzania na visiwa vya Zanzibar.
Leo katika harakati zangu za pimbi katika mkoa wa pwani, nikapita katika duka moja la...
Hizi ndio klabu za soka zenye thamani ya juu zaidi Afrika Mashariki, kwa klabu zilizoweka wazi takwimu zao.
Kutoka chanzo cha kuaminika cha TransferMarkt Klabu tatu kubwa Tanzania ndio zinaongoza katika orodha hii.
Mkurugenzi mtendaji wa hospitali kuu ya taifa ya Muhimbili, Profesa Janabi ameelezea mbinu za kuepuka kuzeeka mapema ambapo ameelezea kama ifuatavyo;
1. Tembea hatua 10,000 kwa siku
2. Kula kwa wastani
3. Punguza wanga
4. Epuka vitu vyenye sukari
5. Epuka sigara, pombe
7. Pata muda kidogo wa...
WhatsApp imeanza kufanya majaribio ya kuongeza urefu wa video ambayo mtu anaweza kuweka katika sehemu ya WhatsApp Status.
WhatsApp imeanza kuweka limit ya dakika 1 (sekunde 60) katika video za WhatsApp Status. Kwa kawaida limit yake ni sekunde 30!
Majaribio haya yameanza kwa watumiaji wa Android.
Kutokana na ukuaji wa maeneo mbalimbali, kumekuwa na ujengaji holela kwenye maeneo ambayo hayakupaswa kujengwa, mfano maeneo ya kingo za mito, maeneo ya barabara za mitaa, na barabara kuu na kadharika.
Kutokana na ukuaji wa Teknolojia na utandawazi, vitu vingi siku hizi ufanyika online...
Anguko kubwa la mwanaume ni kuamua kubadilisha dini na kumfuata mwanamke. Mwanaume hutakiwi kubadilisha dini na kumfuata mwanamke bali yeye anatakiwa kubadilisha dini na kukufuata wewe.
Mwanamke anapoolewa na mwanaume, automatic huondoka katika jamii yake na kwenda katika jamii ya mwanaume...
Tafiti nyingi zimepambanua utofauti wa namna akili ya mwanaume na mwanamke; majibu ni kama yafuatavyo.
1. KUFANYA KAZI NYINGI.
Wanawake wana Ubongo wenye michakato mingi. Akili za wanawake iliyoundwa ili kuzingatia kazi nyingi kwa wakati mmoja. Wanawake wanaweza Kutazama TV na Kuzungumza...
Kuna story kama mbili niliwahi kuzisikia Clouds FM kipindi cha Leo Tena, Segment ya Hekaheka chini ya mtangazaji Geah Habib.
Ebana ee Story ya kwanza ni ya mama mmoja mfanyakazi Dar es salaam, alikuwa na maisha mazuri tu na alikuwa na mfanyakazi wa ndani. Siku moja huyo mama alikuwa anaenda...
Kinachofanyika ni kwamba wanapandikiza maarifa yote ya binadamu kwa robots, hata hizo filosofia ni kitendo cha kuziamishia kwenye mfumo tu... Alafu pia A.I itakuwa na uwezo wa kujifunza mambo isiyoyajua, kwa sababu itapewa uwezo wa kufikiri. Hivyo mambo mengi itayajua
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.