Watumiaji wa Whatsapp Status watakuwa na uwezo wa kuweka video ya dakika 1

WhatsApp imeanza kufanya majaribio ya kuongeza urefu wa video ambayo mtu anaweza kuweka katika sehemu ya WhatsApp Status.

WhatsApp imeanza kuweka limit ya dakika 1 (sekunde 60) katika video za WhatsApp Status. Kwa kawaida limit yake ni sekunde 30!

Majaribio haya yameanza kwa watumiaji wa Android.
Wenzao kule Telegram unaweza kuweka series ya 24 hours seasons zote.
 
WhatsApp imeanza kufanya majaribio ya kuongeza urefu wa video ambayo mtu anaweza kuweka katika sehemu ya WhatsApp Status.

WhatsApp imeanza kuweka limit ya dakika 1 (sekunde 60) katika video za WhatsApp Status. Kwa kawaida limit yake ni sekunde 30!

Majaribio haya yameanza kwa watumiaji wa Android.
Kuna mode flani ya WhatsApp nilikuwa natumia, ilikuwa inaweka status hadi ya dakika 5.
Sema ndio hivo tena wameifunga.
 
Back
Top Bottom