Klabu ya Simba yashika Namba Moja katika Vilabu Tajiri Zaidi Afrika Mashariki

Arnold Kalikawe

Senior Member
Sep 28, 2016
146
340
Hizi ndio klabu za soka zenye thamani ya juu zaidi Afrika Mashariki, kwa klabu zilizoweka wazi takwimu zao.

Kutoka chanzo cha kuaminika cha TransferMarkt Klabu tatu kubwa Tanzania ndio zinaongoza katika orodha hii.

1713444273603.jpg
 
View attachment 2967455
Hongera kwao, hatimae wamepata Cha kujivunia. Hizi takwimu ndio zinambeba Mangungu, kabla yake timu ilikuwa hoi sana.
 
Ongeza na haya kaka mtafika mbali saana
Channel ya whatsapp sio ubunifu wa Simba, hawakuwa na hiyo channel Ila walipogundua kuwa timu zote kubwa duniani zina channel huko whatsap hawakujivunga, walifungua hiyo channel na wamepata followers wengi kutoka sehemu mbalimbali duniani.

Vitimu vidogo vidogo bado vinajitafuta havina channel Ila vina mikoromo mingi kama ya 🐸🐸
 
Hizi ndio klabu za soka zenye thamani ya juu zaidi Afrika Mashariki, kwa klabu zilizoweka wazi takwimu zao.

Kutoka chanzo cha kuaminika cha TransferMarkt Klabu tatu kubwa Tanzania ndio zinaongoza katika orodha hii.

View attachment 2967455
Hapa tutofautishe kati ya timu kuwa tajiri na timu kuwa na kikosi chenye thamani kubwa. Kuwa na kikosi chenye thamini kubwa si utajiri wa timu
 
Miamba ya Tanzania Simba Yanga na Azam inaingiza Orodha hiyo katika nafasi ya kwanza Hadi ya Tatu huku nafasi ya nne ikishikwa na Tp Mazembe

Orodha kamili

1. Simba

2. yanga

3. Azam

4. Tp Mazembe

5. Vipers

6. Lupopo

7. DC motemapembe

8. APR

9. Kenya polisi

10. Namungo

11. Tanzania prisons

12. Singida bc

13. Villa Kampala

14. Gormahia

Chanzo Orodha ya klabu tajiri Africa mashariki
 
Hiyo ni kweli kwenye ukweli tuseme ukweli tu... Daima simba inathamani kuliko yanga, pia brand ya simba ni kubwa na inauzika tofauti na Yanga.
Kwamba Simba anamzidi Mazembe timu yenye kiwanja chake na private jet?
 
Kama golikipa tu Ayubu tuliambiwa kanunuliwa kwa bilioni 3, hela za madafu! Kwa nini tusiongoze?
Wanasimba, Mungu atupe nini? Atupe gunia la CHAWA ili tujikune? Ni wakati wetu huu wa kutembea vifua mbele. Mangungu oyeeee!!
 
Miamba ya Tanzania Simba Yanga na Azam inaingiza Orodha hiyo katika nafasi ya kwanza Hadi ya Tatu huku nafasi ya nne ikishikwa na Tp Mazembe

Orodha kamili

1. Simba

2. yanga

3. Azam

4. Tp Mazembe

5. Vipers

6. Lupopo

7. DC motemapembe

8. APR

9. Kenya polisi

10. Namungo

11. Tanzania prisons

12. Singida bc

13. Villa Kampala

14. Gormahia

Chanzo Orodha ya klabu tajiri Africa mashariki
Klabu tajiri hata viwanja hazina, klabu masikini ndiyo zenye viwanja.
 
Back
Top Bottom