Yanga yashika nafasi ya 3 Afrika, yazipiku Mamelod na Bigwa US Algers

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
49,434
104,779
Mtandao wa International Federation of Football History and Statistics (IFFHS) umetoka taarifa ya takwimu za vilabu bora Duniani kipindi cha mwaka mmoja kuanzia Septemba 1 2022 hadi Agosti 31 2023.

Upande wa AFRIKA unaonyesha klabu ya YANGA ya Tanzania inashika nafasi ya 3 nyuma ya vilabu vya Ahly ya Misri na Wydad ya Morocco. Huku wababe wa Msimbazi SIMBA SC wakiangukia nafasi ya 12.

Yanga msimu uliopita ilicheza fainali ya Kombe la Shirikisho la CAF na kupoteza kwa klabu ya USM ALGER ya Algeria , Mabingwa hao wa CAFCC wanashika nafasi ya 10 kwenye orodha hiyo. Mabingwa wa African Football League Mamelodi Sundown ya Afrika Kusini wako nafasi ya 5 baada ya Pyramid ya Misri huku nafasi ya 6 ikienda kwa FAR RABAT, Raja CA iko nafasi ya 7, Zamalek ya Misri 8 na CR BELOUZIDAD ikiwa ya 9

Mtandao wa IFFHS umekuwa maarufu sana Tanzania kwa siku za karibuni na kujizolea sifa miongoni mwa mashabiki wa soka kwa namna wanavyoziona klabu zao zikipepea nafasi za juu kwenye takwimu zao.

My Take
Nyuma Mbele Nyuma Mwiko 😀😀😀
 
Hebu ma Screenshot from Web
natumia laptop hapa lakini nimeona hii habari!
......
CAF
Top 20 (1st September 2022 – 31th August 2023)
CRWRCountry / levelPoints
16Al Ahly SCEgypt / 3 /EGY236,5
251Wydad AC CasablancaMorocco / 3 /MAR155,5
363Young Africans SCTanzania / 2 /TAN145,5
473Pyramids FCEgypt / 3 /EGY138,5
579Mamelodi Sundowns FCSouth Africa / 2 /RSA135
579FAR RabatMorocco / 3 /MAR135
784Raja CA CasablancaMorocco / 3 /MAR131,5
895Zamalek SCEgypt / 3 /EGY125
997CR BelouizdadAlgeria / 3 /ALG124,75
10121USM AlgerAlgeria / 3 /ALG109,25
11127Esperance STTunisia / 2 /TUN106
12131Simba SCTanzania / 2 /TAN105
13132Future FCEgypt / 3 /EGY104,75
14160ASEC MimosasCôte d'Ivoire / 1 /CIV93,5
15166Al Hilal OmdurmanSudan / 2 /SDN91,25
16168JS KabylieAlgeria / 3 /ALG90,75
17182RSB BerkaneMorocco / 3 /MAR86,75
18183Atlético Petro de LuandaAngola / 2 /ANG86,5
19192US MonastirTunisia / 2 /TUN82,75
20195Fath US RabatMorocco / 3 /MAR82
 
Kuna nyuzi nyingi humu Simba iliposhika nafasi za juu mashabiki wa Yanga humu wengine walianzisha nyuzi na comments wakisema huo mtandao ni wa kizushi na hautambuliki

Vipi bado ni wa kizushi? Kweli maisha hayaendi bila unafki leo mtasifia huo mtandao ikiwa Simba mtandao wa kizushi.
 
Mtandao wa International Federation of Football History and Statistics (IFFHS) umetoka taarifa ya takwimu za vilabu bora Duniani kipindi cha mwaka mmoja kuanzia Septemba 1 2022 hadi Agosti 31 2023.

Upande wa AFRIKA unaonyesha klabu ya YANGA ya Tanzania inashika nafasi ya 3 nyuma ya vilabu vya Ahly ya Misri na Wydad ya Morocco. Huku wababe wa Msimbazi SIMBA SC wakiangukia nafasi ya 12.

Yanga msimu uliopita ilicheza fainali ya Kombe la Shirikisho la CAF na kupoteza kwa klabu ya USM ALGER ya Algeria , Mabingwa hao wa CAFCC wanashika nafasi ya 10 kwenye orodha hiyo. Mabingwa wa African Football League Mamelodi Sundown ya Afrika Kusini wako nafasi ya 5 baada ya Pyramid ya Misri huku nafasi ya 6 ikienda kwa FAR RABAT, Raja CA iko nafasi ya 7, Zamalek ya Misri 8 na CR BELOUZIDAD ikiwa ya 9

Mtandao wa IFFHS umekuwa maarufu sana Tanzania kwa siku za karibuni na kujizolea sifa miongoni mwa mashabiki wa soka kwa namna wanavyoziona klabu zao zikipepea nafasi za juu kwenye takwimu zao.

My Take
Nyuma Mbele Nyuma Mwiko
.
FB_IMG_1696523646503.jpg
 
Timu iliyochukua Kombe la Shirikisho hata kumi bora haipo? Endeleeni kuwahonga hawa watoa takwimu,nimeomba Linki hakuna
 
Mtandao wa International Federation of Football History and Statistics (IFFHS) umetoka taarifa ya takwimu za vilabu bora Duniani kipindi cha mwaka mmoja kuanzia Septemba 1 2022 hadi Agosti 31 2023.

Upande wa AFRIKA unaonyesha klabu ya YANGA ya Tanzania inashika nafasi ya 3 nyuma ya vilabu vya Ahly ya Misri na Wydad ya Morocco. Huku wababe wa Msimbazi SIMBA SC wakiangukia nafasi ya 12.

Yanga msimu uliopita ilicheza fainali ya Kombe la Shirikisho la CAF na kupoteza kwa klabu ya USM ALGER ya Algeria , Mabingwa hao wa CAFCC wanashika nafasi ya 10 kwenye orodha hiyo. Mabingwa wa African Football League Mamelodi Sundown ya Afrika Kusini wako nafasi ya 5 baada ya Pyramid ya Misri huku nafasi ya 6 ikienda kwa FAR RABAT, Raja CA iko nafasi ya 7, Zamalek ya Misri 8 na CR BELOUZIDAD ikiwa ya 9

Mtandao wa IFFHS umekuwa maarufu sana Tanzania kwa siku za karibuni na kujizolea sifa miongoni mwa mashabiki wa soka kwa namna wanavyoziona klabu zao zikipepea nafasi za juu kwenye takwimu zao.

My Take
Nyuma Mbele Nyuma Mwiko

Hivyo vigezo vya kuipa Yanga nafasi ya tatu kwa ubora wa Africa ni vya huko Tandale au Buza kwa Mpalange!Kwa kipi hadi Yanga iwe ya tatu kwa ubora Africa?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom