Jose Chameleon: Msanii aliyeitikisa Afrika Mashariki

Arnold Kalikawe

Senior Member
Sep 28, 2016
147
341
Huyo mzungu ndiyo Dorotia mwenyewe, Kama uliwahi kusikia Ngoma ya Dorotia toka Kwa Jose Chameleon.Alikua Mpenzi wa Jose na walizaa mtoto mmoja aitwaye Ayla Mayanja
1714158449107.jpg
Dr. Jose Chameleon aliivuruga East Africa na ngoma kali sana hit baada ya hit yani tunabandua Ugali tunabadika maharage yani hakuna kuzima moto.
.
Ngoma ipi ilikubamba toka Kwa Jose?
.
1.Jamilla
2.Dorotia
3.Shida za Dunia
4.Bahati yangu
5.Sauti ya Thabu
6.Bombo Clat Ft Weasel
7.Bei Kali
8.Ndivyo sivyo Ft Prof Jay
9.Tubonge
10.Mama Roda Ft Bushoke
11.Valuvalu
12: Badilisha
13: Kipepeo
14: Walewale
 
Nyimbo zote za Jose ni kali, ila Mama Mia inanikumbusha mbali sana, nikiwa na vijana wenzangu tumetupia maji ya kutosha, hiyo ngoma inapigwa, vijana muda wote walikuwa wanaomba replay.,
Sikumbuki kama alikuwa anasimamiwa na Ogopa ama walihusika tu kutengeneza beat.,
 
Back
Top Bottom