Search results

  1. KENZY

    Tujuzane maneno sahihi ya Kiswahili...

    Mada hii itakuwa ni mada maalum ya kujulishana usahihi wa maneno yakiswahili,sanasana uandishi wa maneno hayo au maana n.k Yapo maneno yanayotutatiza ama katika uandishi au matumizi yake,hapa pawe uwanja wakuchambua,kurekebisha nakuelimishana juu ya maneno hayo. Nikianza namimi binafsi maneno...
  2. KENZY

    Mwanamke niliempata mara hii ni kiboko!

    Weekend tulienda kupata mbili tatu tukawa nzwii,sasa akishalewa yeye si kama wale wengine ati zinashukia chini!. Yeye akilewa ni amapiano Tu!. Atafungua muziki na anataka mcheze mapiano! sasa mimi nakucheza amapiano wapi na wapi!, mshangazi wa watu anacheza mpaka na ile style ya kuchezesha...
  3. KENZY

    Huyu mchepuko nimfanye nini?

    Anajijua yeye ni mchepuko jana kanifumania na mwanamke mwengine akaniletea vurugu! Akaniita mimi mwanaume malaya haikutosha akaniita mimi "kenge maji!" kitu hichi kiliniuma sana nikamvuta nikamtia kerebu! Ndo kwanza akawaka mdomo matusi yakawa yanamtoka, mara aniite mimi nyumbu, mara jitu la...
  4. KENZY

    Sijamuelewa huyu binti

    Ni kama jini si jini!,labda niseme mzuka lakini ni mzuka gani unawezakuwa mzuri kiasi kisichoelezeka..??! Kufupisha mambo sitasimulia nimekutananae vipi ila baada ya majuma kadhaa yakuzoeana akanikaribisha anapoishi. Ilikuwa mida fulani ya mchana ambao jua lilikuwa likipambana na mawingu...
  5. KENZY

    Maneno aliyoambiwa Kandili haya!

    Alipoona Kandili hajibu neno aliongeza, “Nitakuibia siri yetu wanawake. Sisi huwaweka wanaume wote katika mafungu matatu. Fungu la kwanza ni la wale wanaume ambao tunawapenda kwa dhati. Wanaume ambao tuko tayari kuishi nao kwa heri au shari. Kundi la pili ni la wanaume wazuri wa sura ya umbo...
  6. KENZY

    Zimwi alilonitumia limebadirika kuwa malaika!!

    Akili zao wanazijua wenyewe!, kamshawishi rafiki yake anitege nami babu rambaramba nikategeka!,nae alietumwa kadata na penzi limemkolea baada yakukutana na huba toka anga za unyamwezini!. Alietuma papaso la wivu lamtafuna,ule utamu wangu aliouona uchungu sahivi anautaka!. Nami ndo kwanza...
  7. KENZY

    ukiweza ku balance hisia zako utafanikisha matamanio yako!

    hisia ndio mtihani mgumu sana kwenye maisha ya mwanadamu na hii kwangu mimi binafsi ndio inanipa tafsiri ya wanadamu kuwa hatuko kamili!. mtihani upo hapa sio tu kuzishinda hisia zako ndio utafaulu hapana bali ukiweza ku balance hisia zako ndio utafaulu!. kwa maana ukizishinda sana hisia...
  8. KENZY

    USSD haileti keyboard ya maneno nifanye nini?

    wakuu habari ningependa kujua au kupata ufafanuzi na utatuzi kama inawezekana. USSD imekuwa haileti keyboard ya maneno ni namba tu so siwezi kuandika hata #. Nifanye nini kutatua?
  9. KENZY

    Utamu wa maisha..

    Ni pale unapovuta hewa safi yenye rutuba ambayo inapita kwenye mapafu yenye afya njema, huku moyo wako ukidundadunda kwa shangwe na mwili wako ukiwa tulivu bila kashkash!.. no stress, no harmful idea in you also no devil emotions!. Utulivu fulani hivi Hadi unausikia uti wa mgongo ume relax...
  10. KENZY

    Serikali vijana wasio na ajira wameanza kunyanyua nondo!

    Serikali fanyeni namna watu wapate kazi watu wameanza kunyanyua nondo huku mtaani!,punde si punde wataanza kusema na shingo zetu kwenye vichochoro.. watu watabanwa mbavu watoe vya watu! Mi sisemi mengi
  11. KENZY

    Ni kina nani hawa watoto wa mjini (Born town), wanajihusisha na nini?

    Mara kadhaa nimekuwa nikilisikia hili "watoto wa mjini" ama "Born town". Jambo ambalo limenifanya nitake kujua kuhusu wao ni kina nani na wanajishughulisha na nini...?? Fikra zangu kuhusu wao.. Hii ni nadharia au fikra zangu kuhusu wao.. kama jina lao lilivyo watoto wa mjini, nahisi mambo yao...
  12. KENZY

    Kiranga kimeniisha!

    Baada ya kusoma nyuzi kadhaa humu hususani ktk hii wiki kwenye jukwaa letu hili, nyuzi nyingi zimekuwa zikifunguliwa na wanaume zikizungumzia juu ya wanawake na pesa!. Kila nikifungua hili jukwaa ni wanawake na pesa!. Nikaona isiwe tabu Wacha niwe Albert Einstein kwenye hili!,niketi chini...
  13. KENZY

    Binadamu bado tupo kwenye mageuzi (evolution) na safari bado ni mbichi!

    Nikiitazama dunia na mwenendo wa hiki kiumbe kinachojiona kina maarifa ya ziada kushinda viumbe wengine,bado naona safari ndefu sana yenye kujifunza,ujinga,maarifa na ajali za kila namna!. Labda nianzie hapa.. Hivi tulivyo leo Kuna mambo ya mababu zetu tunayaona yalikuwa yakipuuzi ambayo kwao...
  14. KENZY

    Nawaza 2025 slogan ya mgombea CCM sijui itakuwaje!

    Tena akiwa mama Abdul sijui atakuja na ipi na vile katoka ukanda wa mipasho itakuwa kivumbi tupu!. Ugumu unakuja taswira alioitengeneza watu sahivi wanaona hafanyi Yale aliyokuwa akiyafanya mtangulizi wake,ambapo aliurithi ule usemi wa "hapa kazi tu" nakuuita "kazi iendelee". Hapo kwenye kazi...
  15. KENZY

    Naona tumehalalisha hili..

    Madaraka sahivi yamekuwa yakugangamala/kung'ang'ania.. Sio tena kupambana na changamoto zinazowakabili watu bali kiongozi anapambana na watu ili yeye aendelee kukaa hapo!. Imefika hatua wanafikiri sisi ndio matatizo yao na Wala sio matatizo yanayotukabili ndio matatizo wanayotakiwa wayatatue...
  16. KENZY

    Kwa rasilimali tulizonazo tunahaki ya kuwahoji!

    Kwa upande wa Kimungu tunasema tumebarikiwa kwa upande mwengine tumenona nchi inarasilimali kila Kona,kwa vitu tulivyonavyo ni aibu kutuletea vichwa vya mitumba!. Kwa staili hii lazima tuwashike mashati na lazima tuhisi tunanyonywa tu!. Ifike hatua muone aibu viongozi wetu,nashangaa usomi wenu...
  17. KENZY

    Hata nchi ikienda upinzani mnaweza msione tofauti!

    Angalizo: bandiko hili linahitaji utafakari wako na sio hisia ama uchama na uchawa!. Binafsi sina Imani sana na vyama vya siasa katika makuzi ya nchi haswa kiuchumi. hii nikutokana na namna vinavyoenenda,hulka za wanachama wengi wa vyama hivyo n.k. Nimeuangalizia upinzani kwenye nchi yetu...
  18. KENZY

    Natokaje hapa wakuu?

    Nimepoteza funguo ya ghetto!,funguo nyengine anayo mtu mwengine ambae kuja mpaka kesho kutwa na huyo mwenye funguo nae kapoteza simu Sina mawasiliano nae!. Utamu kunoga upo hapa: Second option ni kwenda kulala kwa mchumba,Sasa mbovu mbaya ni kwamba juzi nilikichafua nilikwazana nae nikamtusi...
  19. KENZY

    Nilivyoparamia mtumbwi wa vibwengo!

    Si mmekuwa mkisikia kuhusu mtumbwi wa vibwengo? Tupo tuliouparamia na ukatushinda almanusra nafsi, roho, uhai ututoke! Ilikuwa ni pisi fulani hivi tamtam ambayo nilidumu nayo kwenye dimwi la mapenzi kwa takribani miezi 6 hivi, mtoto alikuwa ni zile pisi za kwenda, pisi ambayo utaombea mkopo...
Back
Top Bottom