Search results

  1. Komeo Lachuma

    Baadhi ya Waandishi Maarufu wa Quran baada ya Kifo cha Muhamad

    Tukumbuke kuwa Muhamad hakuwa akijua kusoma wala kuandika. Alikuwa maamuma katika mambo hayo. But he was a very clever man ukimsoma utatambua hilo. Na hii ilimsaidia sana kuweza jipatia wafuasi hata katika safari mbalimbali ambazo alifanya akienda kupora na kuchukua mateka. Alikuwa na jeshi...
  2. Komeo Lachuma

    Dr. Dorothy Gwajima amepatwa na nini tena? Kweli Uchawi upo

    Kweli uchawi upo. CCM hawaaminiki kabisa. Huyu Wazir juzi juz hapa tumetoka mpa maua yake. Haujapita mwezi amefanya kituko Bungeni. Hapa ukiuliza shida nini huwezi elewa. Alikuwa amelewa? Alikuwa anafanya masikhara? Mbona haeleweki?
  3. Komeo Lachuma

    Hivi nyie wenzangu kabla ya kugegedana mnapimana akili na utulivu wa Ubongo Kweli?

    Mmmmh.... Nimewaza. Unamwambia mpenzi wako akunyonye mashine sababu unapenda. Kumbe siku hiyo kaamka vibaya network inakuja inakata, inakuja inakata inasoma EDGE kidogo inapotea. We unachukulia poa. Unampa mashine. Anakumbuka jinsi ambavyo uliwahi mtenda au ulivyomnyanyasa au chuki yake kwa...
  4. Komeo Lachuma

    Ukosefu wenu wa nguvu za kiume mtaji kwetu Serikali

    Serikali inatarajia kutumia Sh. Bilioni 3.5 kuchunguza Tatizo la Nguvu za Kiume, unywaji wa Energy Drinks
  5. Komeo Lachuma

    Kagera Sugar vs Simba SC

    Team zipo kwenye maandalizi. Kagera Sugar wamejipanga vizuri kuweza jipigia Simba hii mbovu ambayo kila atakaye anajipigia. Kagera wametamba kuwa ushindi kwao ni lazima. Yaani wakimkosa kosa sana Simba basi ni draw. Simba inaingia uwanjani ikiwa na woga siku zote inapopambana na Kagera huwa...
  6. Komeo Lachuma

    Rafiki mpenzi amenigeuka, amekuwa adui yangu

    Huyu rafiki tulipoteana kwa muda mrefu kidogo. Tulianza fahamiana chuo. Tukamaliza tukaja kutana tena mkoa flani kazini, tukaendelea kuwa marafiki. Baadaye tukatengana tena. Tukaja kutana tena hapa town baada ya yeye kunitafuta. Kumbe alikuwa anakaribia kuolewa. So akawa anataka mchango wa...
  7. Komeo Lachuma

    Covid 19 mara baada ya Bunge kuvunjwa kuhamia CCM na ACT

    Hizi ndizo taarifa ambazo zinasikika kwenye mikutano yao kama ambavyo wahenga walisema hakuna siri ya watu wawili. Na hawa imekuwa ni ya watu 19. Wanaambiana mengi na wengine wanakuja kutuambia. Hasa sisi wenye mahusiano nao. Sitaelezea kwa kina maana mnaweza unganisha code mkaja jua mimi ni...
  8. Komeo Lachuma

    Nashauri Uitishwe Mdahalo kati ya Lissu na Kinana. Mimi nitajiandikisha kuwa mwanachama kwa ambaye atashinda

    Hoja kwenye mdahalo ziwe 1. Muungano 2. Katiba Mpya 3. Nani kati ya Zanzibar au Tanganyika ananyonywa na mwenzake. CHADEMA wampeleke Lissu Tundu na CCM wampeleke Kinana awe pia na wasaidizi kadhaa ili kuweka sawa uwiano.
  9. Komeo Lachuma

    Ubaguzi ninaoupata Zanzibar, wakija Dar nitawapa haki yao

    Kazini nanyanyasika sana. Pamoja na kuwa nina jina ambalo si la kikafir ila ubara wangu umekuwa kama kikwazo kwao. Hapa mimi nmekuja kufanya kazi na ninajituma kiasi kuna wakati Boss anasema bila kuficha kuwa mimi ni mchapa kazi mzuri. Sina ukaribu naye yeye ni Raia wa kigeni. Anaona kazi...
  10. Komeo Lachuma

    Baba Mkwe simwelewi. Naona kama vile kuna sehemu hayupo sawa. Tusaidiane wajameni

    Huyu mke wangu ni mtoto pekee kwao. Ilitokea akanipenda sababu mimi nipo vizuri hata kiakili na mipango na elimu kubwa ninayo. Nikaona nimuwowe. Sasa baba yake kastaafu nilitegemea basi amgawie mwanaye pesa kidogo. Naona kimya tu miaka sasa. Mtoto mwenyewe mmoja tu anaye. Sasa na juzi namwambia...
  11. Komeo Lachuma

    Morocco walitugonga 3- 0 kwa Mbinde sana. Leo Congo Watatugonga tena kwa Mbinde

    Morocco wakituinamisha tunainuka, wakituinamishia uwanja tunainuka mara pipe..... Cha kwanza. Tukafuta.... Tukaanza kusumbuana tena wakiinamishia uwanja Taifa Stars... Inainuka... Mara tena pipe... Kitu... Waarabu hawa hapa. Cha pili Tunafuta heeeeh. Cha tatu. Waliweza ila si kirahisi rahisi...
  12. Komeo Lachuma

    Serikali Umivu ya Kishetani

    Ni ya kinyonyaji ya kishetani. Inayoiba mali za umma kunufaisha watu wachache. Yeye mwenyewe kiongozi mwenyewe hana hili wala lile anapuyanga tu huku na kule. kama zumbukuku ulimwengu upo huku. Watu wanachota tu fedha za maskini. Wenye mabakuli haya, wenye vijiko haya, wenye mabeseni haya...
  13. Komeo Lachuma

    Siku ya pili hii nalalia mhindi wa kuchoma na Maji. Naona kama ni kutaka tafutana ubaya

    Jana asubuhi shem aliniambia nisipeleke watoto shule. Atawapitisha yeye. Nikaamka saa 4 naenda mezani chai hamna. Namuuliza dada wa kazi ananiambia shem alimaliza. Mchana hakikupikwa kitu. Nikanyamaza. Usiku nikaona wanatengewa watoto chips kuku mimi nimesubiri mpaka saa 3 holla. Wameenda...
  14. Komeo Lachuma

    Nimegundua namna ya kufanya mvua inyeshe

    Leo ni mara ya 6, kila nikiosha kigari changu jioni usiku au asubuhi sana mvua itanyesha. Mpaka naanza kuwaza au huyu jirani yangu ananifanyia hujuma? Maana huu mtaa mzima mimi ndio nina gari kali, tena ya miaka ya hivi karibuni tu; ni Toyota Corolla ya mwaka 1986 kama imetoka Japan jana tu...
  15. Komeo Lachuma

    Hali siyo nzuri. Tunahitaji maombi

    Shem kashtuka kama sister ana chat sana na mtu flani. Anahisi kama ni mchepuko wake. Sister angu mjeuri sana kuna kipindi huwa nasema hata mimi nsingeweza kumuwowa. Huwa natamani nimuwambe makofi. Sema basi tu. Maana mimi ni kaka yake. Hapa home hakuna amani sister kuna siku kamtukana sana...
  16. Komeo Lachuma

    Wale ambao hamkujenga kipindi cha Kikwete ndiyo muanze kujenga sasa

    Kipindi kile namwambia jamaa yangu nina nyumba 4 hakuamini. Na nyumba za ukweli siyo zile mnasema kakibanda kangu. Yule baba nyie muacheni tu jamani. Watu tulipiga sana pesa. Hakuwa na roho mbaya. Ukiweza jitwalia jitwalie tu. Tulikuwa na miradi bubu mingi, semina, warsha na makongamano ndani...
  17. Komeo Lachuma

    Kwa huyu Mwanamke naamini Shetani anaona wivu kishenzi

    Huyu dada amenifundisha mengi sana. Kaniambia mapenzi si kugegedana tu. Ni more than that. Imagine nimemfuatilia miaka 3 kumbe ananipima aone kama kweli ninampenda. Kanikubalia mwezi wa 7 huyu ila bado hajanipa papuchi. Anasema ananipima kama kweli nampenda au nataka kumchezea tu. Nimeona...
  18. Komeo Lachuma

    Walidhani wananikimbiza Kumbe wananisindikiza

    Kuna moderator ambaye nadhani anatumika tu na jamii fulani. Ukianzisha uzi unaohusu Kampuni flani anakutafutia kasababu katika huo uzi ufungiwe. Ila tuseme ukweli Azam kwa sasa wameshika kwenye taasisi nyingi wana watu wao. Muwe makini sana maana wanazalisha products nyingi. Hapo nimechomekea...
  19. Komeo Lachuma

    Kwa kweli nawaahidi Kuwa Mtafurahi sana nyie warembo. Wanaume ndo Mkae kwa Utulivu sasa maana nitawashukia vibaya.

    Natamani nikiwa mkubwa niwe moderator wa JF. nitafurahi. Nitawachakata sana wadada wa humu. Sana. Ukinikataa basi nakutafutia ban anytime. Nikiona tu umeangalia vibaya thread ya mtu nakupiga ban mwezi au miezi kadhaa. Jichanganye umsonye mtu humu. Nakupiga ban ya mwaka. Nitakuwa tu...
Back
Top Bottom