Ubaguzi ninaoupata Zanzibar, wakija Dar nitawapa haki yao

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Oct 31, 2014
5,441
11,599
Kazini nanyanyasika sana. Pamoja na kuwa nina jina ambalo si la kikafir ila ubara wangu umekuwa kama kikwazo kwao.

Hapa mimi nmekuja kufanya kazi na ninajituma kiasi kuna wakati Boss anasema bila kuficha kuwa mimi ni mchapa kazi mzuri. Sina ukaribu naye yeye ni Raia wa kigeni. Anaona kazi zangu.

Nimetoka Dar tena nlikuwa naishi kwa sister, imagine. Nije kupiga kazi. Huku nanyanyasika sana. Wanasema nataka ufanyakazi bora. Wanasema najipendekeza kwa wakubwa nionekane.

Basi imekuwa ni maneno tu kwa hawa jamaa. Likitokea jambo tu utasikia "atakuwa huyo Mbara" kila jambo baya linahusishwa na mimi. Kuna siku mtu ka misplace simu yake akawa haioni. Anatafuta wanaongea kwa sauti kuwa wao huwa hawana hizo tabia atakuwa ni mtu mgeni ndo kaiba simu.

Bahati nzuri yule bwana alikuja ikuta simu yake kwenye gari lake chini ya seat kwa maelezo yake. Ila ilishaonekana kuwa mimi mbara ndo nitakuwa nimeiba. Binafsi sina tabia za wizi.

Jamaa wananinyanyasa, wananibagua waziwazi. Lakini nawaza jinsi ambavyo wapemba wanaishi nasi huku Bara. Wanaishi bila bugudha yoyote. Hawanyanyaswi wala kubughudhiwa.

Najua wanataka mwishowe niachie ngazi. Nami nawaambia naendelea kupiga kazi. Ila.... Watakuja home pia. Wanaamini katika haki nami ni muumini mzuri wa haki. Tutakutana tu.
 
Na sasa hivi tuna andaa proposal kwamba kuingia Zanzibar mpaka uwe na passport ila kwenda bara ni utawala wa manyani maana machogo mmezidi kuwa wengi sana huku Zanzibar.
 
Wacha kulia lia piga kazi ,,, unapataje mda wa kusikiliza majungu ? Fanya mambo yako kwa wakati ,,, boss wako ndo mwenye uwezo wa kukuachisha kazi sio hao nguchiro
Kwa hiyo afanye kazi huku akiwa amevaa headphones kubwa?

1713954714068.png
 
Wabara wakiwa Zanzibar wanachukuliwa kama wanyasa .wakiwa bara.

Ww piga kazi tu uzuri hata wao wenyewe wazazibar wanajijua ni wavivu wakutupwa.

Kuna ofisi moja nilishawahi kufanya kazi huko Zanzibar boss wa hiyo office ambaye ni mpemba anawakandia waziwazi wazazibar wenzake kwamba ni wavivu mno wanawake ndio kabisa Kila ijumaa hudhuru haziishi kwenda kwenye maharusi anawaambia ofisi nzima ataweka watu kutoka bara na mpaka naondoka kati ya wafanzakazi 30 wa5 ndio wazanzbar walibaki.
 
Back
Top Bottom