Ubaguzi ninaoupata Zanzibar, wakija Dar nitawapa haki yao

Jina
Kazini nanyanyasika sana. Pamoja na kuwa nina jina ambalo si la kikafir ila ubara wangu umekuwa kama kikwazo kwao.

Hapa mimi nmekuja kufanya kazi na ninajituma kiasi kuna wakati Boss anasema bila kuficha kuwa mimi ni mchapa kazi mzuri. Sina ukaribu naye yeye ni Raia wa kigeni. Anaona kazi zangu.

Nimetoka Dar tena nlikuwa naishi kwa sister... Imagine. Nije kupiga kazi. Huku nanyanyasika sana. Wanasema nataka ufanyakazi bora.... Wanasema najipendekeza kwa wakubwa nionekane.

Basi imekuwa ni maneno tu kwa hawa jamaa. Likitokea jambo tu utasikia "atakuwa huyo Mbara" kila jambo baya linahusishwa na mimi. Kuna siku mtu ka misplace simu yake akawa haioni. Anatafuta wanaongea kwa sauti kuwa wao huwa hawana hizo tabia atakuwa ni mtu mgeni ndo kaiba simu.

Bahati nzuri yule bwana alikuja ikuta simu yake kwenye gari lake chini ya seat kwa maelezo yake. Ila ilishaonekana kuwa mimi mbara ndo nitakuwa nimeiba. Binafsi sina tabia za wizi.

Jamaa wananinyanyasa, wananibagua waziwazi. Lakini nawaza jinsi ambavyo wapemba wanaishi nasi huku Bara. Wanaishi bila bugudha yoyote. Hawanyanyaswi wala kubughudhiwa.

Najua wanataka mwishowe niachie ngazi. Nami nawaambia naendelea kupiga kazi. Ila.... Watakuja home pia. Wanaamini katika haki nami ni muumini mzuri wa haki. Tutakutana tu.
"Jina, la kikafiri"? You stupid fucker! Cock sucker
 
Chukua hatua, fukuzilia mbali hao pimbi kama wako kwenye himaya yako Muungano mchungu sana huu. Mara tuitwe Machogo, mara Kaffir maaaaaaninna Ijumaa, 26/4 tuandae mabango KERO ZA MUUNGANO SASA INATOSHA
 
mind your fucking business, learn to ignore mambo ambayo hayakuongezei faida kunasiku wataona vile ukiwakalia kimya ukajali hamsini zako kimya ni jibu la fala
hivi ulishakaa zanzibar wewe unajua gubu la wapemba lakini..
ukiambiwa ubaguzi ni ubaguzi kweli hawatanii hao wanaweza kukutoa kafara kama yesu
 
Kazini nanyanyasika sana. Pamoja na kuwa nina jina ambalo si la kikafir ila ubara wangu umekuwa kama kikwazo kwao.

Hapa mimi nmekuja kufanya kazi na ninajituma kiasi kuna wakati Boss anasema bila kuficha kuwa mimi ni mchapa kazi mzuri. Sina ukaribu naye yeye ni Raia wa kigeni. Anaona kazi zangu.

Nimetoka Dar tena nlikuwa naishi kwa sister... Imagine. Nije kupiga kazi. Huku nanyanyasika sana. Wanasema nataka ufanyakazi bora.... Wanasema najipendekeza kwa wakubwa nionekane.

Basi imekuwa ni maneno tu kwa hawa jamaa. Likitokea jambo tu utasikia "atakuwa huyo Mbara" kila jambo baya linahusishwa na mimi. Kuna siku mtu ka misplace simu yake akawa haioni. Anatafuta wanaongea kwa sauti kuwa wao huwa hawana hizo tabia atakuwa ni mtu mgeni ndo kaiba simu.

Bahati nzuri yule bwana alikuja ikuta simu yake kwenye gari lake chini ya seat kwa maelezo yake. Ila ilishaonekana kuwa mimi mbara ndo nitakuwa nimeiba. Binafsi sina tabia za wizi.

Jamaa wananinyanyasa, wananibagua waziwazi. Lakini nawaza jinsi ambavyo wapemba wanaishi nasi huku Bara. Wanaishi bila bugudha yoyote. Hawanyanyaswi wala kubughudhiwa.

Najua wanataka mwishowe niachie ngazi. Nami nawaambia naendelea kupiga kazi. Ila.... Watakuja home pia. Wanaamini katika haki nami ni muumini mzuri wa haki. Tutakutana tu.
Fanya kazi achana nao hao
 
Ukimsoma mtoa post utagundua yupo bara na si Zanzibar,kwa kauli 'mtakuja bara,jinsi wapemba wanavyoishi huku bara'...ni aidha kaamua kuhubiri chuki baada ya mbunge wa zenji kusema watu waende na passport zenji
Inawezekana ila waanzilishi wa chuki ni wazenj

Kuingia na passport zenj kwa lipi????
 
Halafu ole wako wagundue hujatahiriwa ... Wao wako radhi uwafire kisawa sawa , ila sio Kwa hivi! 😁😁 Ni DHAMBI kubwa
 
Uliona wapi mtu ambae hana kisogo akawa na akili timamu🤔🤔 hayo ni matahira tuu hayana lolote yadharau na kuyapuuza wewe piga kazi ukipata nafasi ya kuyafanyia roho mbaya yafanyie hadi shetani akuogope
 
Na sasa hivi tuna andaa proposal kwamba kuingia Zanzibar mpaka uwe na passport ila kwenda bara ni utawala wa manyani maana machogo mmezidi kuwa wengi sana huku Zanzibar.
Inakuwaje MACHOGO tunasumbuliwa na kinchi kidogo vile?
 
Back
Top Bottom