Ubaguzi ninaoupata Zanzibar, wakija Dar nitawapa haki yao

Kazini nanyanyasika sana. Pamoja na kuwa nina jina ambalo si la kikafir ila ubara wangu umekuwa kama kikwazo kwao.

Hapa mimi nmekuja kufanya kazi na ninajituma kiasi kuna wakati Boss anasema bila kuficha kuwa mimi ni mchapa kazi mzuri. Sina ukaribu naye yeye ni Raia wa kigeni. Anaona kazi zangu.

Nimetoka Dar tena nlikuwa naishi kwa sister... Imagine. Nije kupiga kazi. Huku nanyanyasika sana. Wanasema nataka ufanyakazi bora.... Wanasema najipendekeza kwa wakubwa nionekane.

Basi imekuwa ni maneno tu kwa hawa jamaa. Likitokea jambo tu utasikia "atakuwa huyo Mbara" kila jambo baya linahusishwa na mimi. Kuna siku mtu ka misplace simu yake akawa haioni. Anatafuta wanaongea kwa sauti kuwa wao huwa hawana hizo tabia atakuwa ni mtu mgeni ndo kaiba simu.

Bahati nzuri yule bwana alikuja ikuta simu yake kwenye gari lake chini ya seat kwa maelezo yake. Ila ilishaonekana kuwa mimi mbara ndo nitakuwa nimeiba. Binafsi sina tabia za wizi.

Jamaa wananinyanyasa, wananibagua waziwazi. Lakini nawaza jinsi ambavyo wapemba wanaishi nasi huku Bara. Wanaishi bila bugudha yoyote. Hawanyanyaswi wala kubughudhiwa.

Najua wanataka mwishowe niachie ngazi. Nami nawaambia naendelea kupiga kazi. Ila.... Watakuja home pia. Wanaamini katika haki nami ni muumini mzuri wa haki. Tutakutana tu.
Ishu ni kuvunja muungano na kututeka huto tuvisiwa na kuifanya nchi moja tubaki kuwa mkoa....
Suluhisho la janga hili la Muungano ni aidha uvunjwe ili Kila upande ubaki na hamsini zake au ubadilishwe na uwe wa Serikali moja tu, sambamba na kubadioisha mfumo wote wa uendeshaji wa Serikali uliopo hivi Sasa pomoja na kubadilisha Sheria za umiliki wa ardhi. Watangabyika wengi wahamasishwe ili kwenda kumiliki ardhi ya Zanzibar. Aidha, Serikali ianzishe Mpango maalumu wa kuwahamishia Wafanyakazi wa Tanganyika kwenda kufanyakazi Zanzibar na Wafanyakazi Wazanzibari kuhamishiwa Tanganyika ili kufuta dhana ya Uzanzibari kutoka akilini mwao.
 
Kazini nanyanyasika sana. Pamoja na kuwa nina jina ambalo si la kikafir ila ubara wangu umekuwa kama kikwazo kwao.

Hapa mimi nmekuja kufanya kazi na ninajituma kiasi kuna wakati Boss anasema bila kuficha kuwa mimi ni mchapa kazi mzuri. Sina ukaribu naye yeye ni Raia wa kigeni. Anaona kazi zangu.

Nimetoka Dar tena nlikuwa naishi kwa sister... Imagine. Nije kupiga kazi. Huku nanyanyasika sana. Wanasema nataka ufanyakazi bora.... Wanasema najipendekeza kwa wakubwa nionekane.

Basi imekuwa ni maneno tu kwa hawa jamaa. Likitokea jambo tu utasikia "atakuwa huyo Mbara" kila jambo baya linahusishwa na mimi. Kuna siku mtu ka misplace simu yake akawa haioni. Anatafuta wanaongea kwa sauti kuwa wao huwa hawana hizo tabia atakuwa ni mtu mgeni ndo kaiba simu.

Bahati nzuri yule bwana alikuja ikuta simu yake kwenye gari lake chini ya seat kwa maelezo yake. Ila ilishaonekana kuwa mimi mbara ndo nitakuwa nimeiba. Binafsi sina tabia za wizi.

Jamaa wananinyanyasa, wananibagua waziwazi. Lakini nawaza jinsi ambavyo wapemba wanaishi nasi huku Bara. Wanaishi bila bugudha yoyote. Hawanyanyaswi wala kubughudhiwa.

Najua wanataka mwishowe niachie ngazi. Nami nawaambia naendelea kupiga kazi. Ila.... Watakuja home pia. Wanaamini katika haki nami ni muumini mzuri wa haki. Tutakutana tu.
Nasi huku bara kila ushoga tuseme ni wazanzibari hao.
 
Hata huku bara wapemba tunapata shida sana haijalishi ni wa dini gani ila utasikia kila kitu mpemba,hivi wapemba tumekosa bahati kila tuendako si bara si Unguja,ingawa huku bara tunachanganywa sote na kuwekwa kundi moja.
yaani mkivunja muungano mjuwe baada ya muda tu Wazenji wanachukuwa kilomita kumi zao kuanzia Tanga hadi Ntwala. Wengine mrudi kwenye misitu ya Congo.
 
Kazini nanyanyasika sana. Pamoja na kuwa nina jina ambalo si la kikafir ila ubara wangu umekuwa kama kikwazo kwao.

Hapa mimi nmekuja kufanya kazi na ninajituma kiasi kuna wakati Boss anasema bila kuficha kuwa mimi ni mchapa kazi mzuri. Sina ukaribu naye yeye ni Raia wa kigeni. Anaona kazi zangu.

Nimetoka Dar tena nlikuwa naishi kwa sister... Imagine. Nije kupiga kazi. Huku nanyanyasika sana. Wanasema nataka ufanyakazi bora.... Wanasema najipendekeza kwa wakubwa nionekane.

Basi imekuwa ni maneno tu kwa hawa jamaa. Likitokea jambo tu utasikia "atakuwa huyo Mbara" kila jambo baya linahusishwa na mimi. Kuna siku mtu ka misplace simu yake akawa haioni. Anatafuta wanaongea kwa sauti kuwa wao huwa hawana hizo tabia atakuwa ni mtu mgeni ndo kaiba simu.

Bahati nzuri yule bwana alikuja ikuta simu yake kwenye gari lake chini ya seat kwa maelezo yake. Ila ilishaonekana kuwa mimi mbara ndo nitakuwa nimeiba. Binafsi sina tabia za wizi.

Jamaa wananinyanyasa, wananibagua waziwazi. Lakini nawaza jinsi ambavyo wapemba wanaishi nasi huku Bara. Wanaishi bila bugudha yoyote. Hawanyanyaswi wala kubughudhiwa.

Najua wanataka mwishowe niachie ngazi. Nami nawaambia naendelea kupiga kazi. Ila.... Watakuja home pia. Wanaamini katika haki nami ni muumini mzuri wa haki. Tutakutana tu.
Hayo manyanyaso yategemee kwa sana. Unajua tangu Samia ameingia madarakani, Zanzibar imejengeka kiuchumi. Athari zake ni Watu wengi kutoka Bara, kujimwaga Zenji.

Ukumbuke muingiliano huondoa fursa kwa wenyeji. Hapo ndipo chanzo cha ubaguzi na manyanyaso kwa wageni.

Data za sensa ya 2022 zinaonesha kuwa internal migration pattern ya Zanzibar imegeuka. Badala ya wazanzibari wengi Kuja Bara Şaş’a wabara wengi wanajikita Zanzibar. Sababu kuu ikiwa ni Kufuata fursa lukuki za kiuchumi sasa zilizofurika Zanzibar!
 
Kazini nanyanyasika sana. Pamoja na kuwa nina jina ambalo si la kikafir ila ubara wangu umekuwa kama kikwazo kwao.

Hapa mimi nmekuja kufanya kazi na ninajituma kiasi kuna wakati Boss anasema bila kuficha kuwa mimi ni mchapa kazi mzuri. Sina ukaribu naye yeye ni Raia wa kigeni. Anaona kazi zangu.

Nimetoka Dar tena nlikuwa naishi kwa sister... Imagine. Nije kupiga kazi. Huku nanyanyasika sana. Wanasema nataka ufanyakazi bora.... Wanasema najipendekeza kwa wakubwa nionekane.

Basi imekuwa ni maneno tu kwa hawa jamaa. Likitokea jambo tu utasikia "atakuwa huyo Mbara" kila jambo baya linahusishwa na mimi. Kuna siku mtu ka misplace simu yake akawa haioni. Anatafuta wanaongea kwa sauti kuwa wao huwa hawana hizo tabia atakuwa ni mtu mgeni ndo kaiba simu.

Bahati nzuri yule bwana alikuja ikuta simu yake kwenye gari lake chini ya seat kwa maelezo yake. Ila ilishaonekana kuwa mimi mbara ndo nitakuwa nimeiba. Binafsi sina tabia za wizi.

Jamaa wananinyanyasa, wananibagua waziwazi. Lakini nawaza jinsi ambavyo wapemba wanaishi nasi huku Bara. Wanaishi bila bugudha yoyote. Hawanyanyaswi wala kubughudhiwa.

Najua wanataka mwishowe niachie ngazi. Nami nawaambia naendelea kupiga kazi. Ila.... Watakuja home pia. Wanaamini katika haki nami ni muumini mzuri wa haki. Tutakutana tu.
Acha uteseke maana umesema huna jina la kikafiri. Inaelekea wewe mwenyewe ni muomini wa ubaguzi kwani unaona hao wenye majina ya makafiri ndio wanastahili kubaguliwa. Ujue hakuna sababu ya kumbagua binadamu mwenzako kwa lolote iwe dini au kabila. Basi wewe kula hiyo sumu ya ubaguzi bila kinyongo.
 
Back
Top Bottom