Search results

  1. B

    Wakili Mwabukusi Apewa Onyo na Kamati ya Mawakili ya Maadili 'Hatutakiwi Kuogopa'

    Wakili Msomi Boniface Anyisile Kajunjumele Mwabukusi leo amepewa,adhabu ya onyo iliyotolewa na kamati ya maadili na nidhamu https://m.youtube.com/watch?v=gQKBmG0mSns Wakili Boniface Mwabukusi amebainisha hayo leo tarehe 17 Mei 2024, kimsingi kamati wamekubaliana ilikuwa ni professional...
  2. B

    Askofu Bagonza atoa mada tunduizi Jukwaa la demokrasi 2024 linalofanyika Zanzibar

    16 Mei 2024 ASKOFU BAGONZA ATOBOA SIRI ''KUNA KUNDI LINATAMANI BAADHI YA VYAMA VIFUTWE''HUKO NYUMA HAKUENDEKI.. https://m.youtube.com/watch?v=NbSLsVnUDzo Askofu Dkt. Bagonza atoa hotuba ya karne tunduizi kuchambua hali ya kisiasa iliyopo Wadau walioshiriki Jukwaa la Demokrasia Tanzania...
  3. B

    Dar es salaam Mecca ya vyama vya ukombozi, pia jiji la mapigano baina ya vyama hasimu vya ukombozi Afrika ya Kusini

    MAKALA SEHEMU YA KWANZA: TANZANIA ILIPOKUWA MAKAO MAKUU YA VYAMA VYA UKOMBOZI NA CHANGAMOTO ZAKE MWAKA 1959 CHAMA CHA MRENGO MKALI PAC PAN AFRICANIST CONGRESS https://m.youtube.com/watch?v=k9CSA0eN00s Mnamo 1959 Walioamini kuwa Afrika ya Kusini ni Kwa Waafrika siyo nchi mchanganyiko...
  4. B

    Mbowe ampinga Profesa Kabudi mbele ya halaiki; 'hatuwezi jadili mambo yale yale kwa miaka 30'

    08 May 2024 MBOWE YAMSHINDA AMPINGA PROF. PALAMAGAMBA KABUDI MBELE YA HALAIKI ''HATUWEZI JADILI MAMBO YALE YALE KWA MIAKA 30''.... Freeman Mbowe amejikita katika chaguzi 6 zilizopita na mafunzo yake halisi ya juu kilichotokea katika miaka 30 ya vyama vingi vya siasa kulikopelekea kuiba...
  5. B

    Tundu Lissu: Rushwa za CCM kujaribu kuibomoa CHADEMA ni nyingi mno

    08 May 2024 Mpwapwa, Dodoma TUNDU LISSU LAZIMA TUPIGE VITA RUSHWA, CCM WAMETUMIA RUSHWA TANGU 2015 KUCHUKUA VIONGOZI CHADEMA WAUNGE JUHUDI Source : the chanzo Ndiyo maana wamekuwa wakali baada ya njama za kutumia rushwa kuingilia uchaguzi wa ndani niliosema kule Iringa anasema Tundu Lissu...
  6. B

    Tundu Lissu/Kinana wamuibua Chifu Mwaihojo, ataka somo la Muungano kuanzishwa

    Mbeya, Tanzania Tundu Lissu / Kinana wamuibua Chifu Mwaihojo, ataka somo la Muungano kuanzishwa https://m.youtube.com/watch?v=rsrEtEaFwGg Source : busokelo tv Mwanachama wa CCM Chifu Mwaihojo asema Tundu Lissu anahoja nzito lakini viongozi wa CCM wanajibu hoja za Muungano kisiasa bila majibu...
  7. B

    Namiungo, Tunduru maeneo yageuka chemchem

    Kata ya Namiungo Tarafa ya Tunduru wapitia changamoto baada ya maeneo yao kugeuka chemichemi pia vijito vingi vya maji kuibuka na kusababisha nyumba kupata nyufa hadi kuanguka huku vyoo vikiwa vimejaa maji na kufurika kutishia magonjwa wa mlipuko ya maambukizi kama kuharisha n.k Shule baadhi ya...
  8. B

    Uhalifu na upotofu ''crime & deviance''

    14 April 2024 KUHUSU UHALIFU NA UPOTOFU ''Crime & Deviance'' Mchambuzi na mtafiti wa masuala mbalimbali ya kijamii mwana sociolojia Bw. Bituro Paschal Kazeri https://m.youtube.com/watch?v=rcv2Gtibi-4 Ni kitu gani kisababisha uhalifu na upotofu katika jamii . Sheria hutengeneza kosa au...
  9. B

    Yoweri Museveni awapa makavu wadau wa maendeleo katika mkutano wa IDA mjini Nairobi

    29 April 2024 Nairobi, Kenya Mkutano huo ulioanza tarehe 29 April 2024 na kuhutubiwa na viongozi wa kiafrika wakiwemo rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania, rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda , William S. Ruto wa Kenya. Mkutano huo ulihudhuriwa na wakuu wa nchi 17 na pia maafisa wandamizi...
  10. B

    Lissu: Katika Nchi Hii hatukuwekewa Utaratibu wa Kutokubaguana, Ubaguzi Ulianza Baada ya Uhuru

    30 April 2024 Morogoro, Tanzania Lissu : Katika Nchi Hii hatukuwekewa Utaratibu wa Kutokubaguana, Ubaguzi Ulianza Baada ya Uhuru https://m.youtube.com/watch?v=KqCykOZ1RMY Matendo ya serikali yetu Uasi wa 1964 majeshi Mwl. Nyerere aanzisha jeshi la wananchi wa Tanganyika sharti likiwa lazima...
  11. B

    Fatma Karume: Tatizo Watanganyika hawajitambui utaifa wao, sisi Zanzibar hatuwezi kufuta utaifa wetu

    Wakili msomi Fatma Karume anasema kuwa viongozi waTanganyika ndiyo tatizo. Viongozi wa Zanzibar na wananchi wa Zanzibar wanajitambulisha kama wazanzibari katika muungano wa nchi mbili kisha inafuata uTanzania. Lakini viongozi wa kutoka upande wa bara hasa hawa wa CCM na serikali yake...
  12. B

    Happy Sham El-Nessim! Sherehe za Uamsho wa Maisha ! Zilizoasisiwa mwaka 2700 BC

    Sham El-Nessim, sherehe ambayo hufanyika kwa uzito sawa na Pasaka, inayoangukia siku baada ya Jumapili ya Pasaka kila mwaka. Taratibu na imani zinazohusiana na sherehe za leo za Sham El-Nessim zinaunganisha moja kwa moja na sikukuu za Misri ya Kale. Sawa na Pasaka, tamasha linahusu dhana za...
  13. B

    Mchungaji Peter Msigwa abainisha kuwa hakuna mpango wa kugombea uongozi ngazi ya taifa

    17 April 2024 Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa mchungaji Peter Msigwa abainisha kuwa hakuna mpango wa kugombea uongozi ngazi ya taifa.... Mch. Msigwa asisitiza viongozi wa CHADEMA Taifa wasichafuliwe kuwa wana wagombea wa kanda na mikoa mfukoni, bali wagombea ngazi za kanda na mkoa...
  14. B

    Mwenyekiti CHADEMA Mkoa wa Njombe awashukuru Wajumbe kwa kumuamini miaka mitano tena

    Njombe, Tanzania CHADEMA MKOA WA NJOMBE WAMALIZA UCHAGUZI Mwenyekiti wa CHADEMA aliyechaguliwa tena kwa miaka mingine 5 kamanda Rose Mayemba awashukuru kwa kumuamini na kumchagua tena kuwa mwenyekiti wa mkoa. Miaka mitano iliyopita CHADEMA iliweza kusimama imara wakati mgumu wa mikutano na...
  15. B

    Historia ya mwenendo wa hukumu za kesi katika Mahakama Tanzania chazinduliwa

    Majumuisho ya kesi mkakati zilizotolewa tangu miaka ya nyuma kuanzia 1983 hadi 2022 na maamuzi ya hukumu yakiangaziwa kwa kina kuona maamuzi ktk hukumu hizo NGURI WA SHERIA WAKUTANA JUKWAA MOJA, UZINDUZI KITABU CHA MWAKA CHA SHERIA ZA UMMA 2022.. https://m.youtube.com/watch?v=aA9LchsP9uo...
  16. B

    Rufani dhini ya Mbunge Pauline Gekul yatupiliwa mbali, wapanga kufungua kesi ya madai kwa wote waliomchafua

    Mfumo wa haki jinai ni mbovu pia hata teuzi za majaji zinatia shaka asema wakili kiongozi wa jopo la mteja wao aliyefungua kesi dhidi ya mbunge Pauline Gekul Kesi hiyo ni rufaa ya jinai namba 577 ya mwaka 2024 leo 15 April 2024 mbele ya jaji wa Mahakama Kuu kanda ya Manyara, kuhusu shambulio la...
  17. B

    Mchengerwa akabidhi Tsh. 50,000,000 kutoka mshahara wake kusaidia Wanarufiji waliokumbwa na mafuriko

    11 April 2024 Dar es Salaam, Tanzania (Google translator) Mchengerwa hands over Tshs. 50,000,000 from his salary to help the Rufiji people affected by floods in the River Rufiji delta Member of Parliament for Rufiji constituency Hon. Mohamed Mchengerwa hand over Tshs 50,000,000 (over...
  18. B

    Heche: Nyamongo haina mbunge, miezi 3 wauawa wananchi 11

    John Heche akihudhuria mazishi ya Sylverster Benson Nyangige aliyepigwa risasi ya kisogoni mgodini https://m.youtube.com/watch?v=bqg33ul1HPA John Heche asisitiza haiwezikani watu 11 wanauawa katika kipindi cha miezi 3 na mbunge hajapiga kelele, hatuwezi kunyamaza hili jambo liendelee ...
  19. B

    Rais Samia atoa pole mafuriko ya Rufiji na Moro. Atoa maagizo haya mazito kwa BAKWATA na Serikali

    10 April 2024 MH. RAIS DR. SAMIA S. HASSAN MGENI RASMI BARAZA LA IDD 2024 RAIS SAMIA ATOA POLE MAFURIKO ya RUFIJI na MORO - ATOA MAAGIZO HAYA MAZITO KWA BAKWATA na SERIKALI https://m.youtube.com/watch?v=6UqmPgp6mtY Serikali ipo pamoja na wananchi wa Rufiji na maeneo ya mkoa wa Morogoro asema...
  20. B

    Zanzibar: Wahindi wamwaga chozi, watolewa vitu vyao nje mji Mkongwe

    Unguja Zanzibar Kesi ya umiliki wa nyumba Mjini Zanzibar, iliyosikilizwa katika Mahakama Kuu Tunguu Zanzibar Shehia ya Mnazi Mmoja mji mkongwe Zanzibar aelezea mkasa mzima Narendra Kanji Jiwa & Rekha Kanji Jiwa v. Raza Hassanali Kassam Bachoo & Two Others (Civil Application 130 of 2023)...
Back
Top Bottom