29 April 2024
Nairobi, Kenya
Mkutano huo ulioanza tarehe 29 April 2024 na kuhutubiwa na viongozi wa kiafrika wakiwemo rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania, rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda , William S. Ruto wa Kenya. Mkutano huo ulihudhuriwa na wakuu wa nchi 17 na pia maafisa wandamizi wa World Bank kama rais wa benki ya Dunia Mr. Banga.
View: https://m.youtube.com/watch?v=585IMBb14Kg
Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda asema Afrika haihitaji misaada bali kuweza kupunguza gharama za uzalishaji katika viwanda, kilimo, uvuvi na ufugaji ili iweze kuuza bidhaa kimataifa badala ya misaada na mikopo ya World Bank ambayo haiwezi kuwezesha kuuza kimataifa tofauti na sasa kuitana ktk mikutano inayodaiwa kuwezesha maafisa wa serikali za kiAfrika ... hicho ni kichekesho Afrika inahitaji kuwa na reli na nishati kama umeme na siyo misaada na mikopo isiyotaka kuelekezwa ktk reli, nishati ya umeme, kilimo cha Umwagiliaji na uzalishaji mkubwa lakini Benki ya Dunia WB, Taasisi zake kama IDA hawataki kutoa mikopo nafuu itakayoelekezwa katika maendeleo endelevu ya kweli ktk reli, nishati ya umeme, kilimo cha kisasa na uzalishaji mkubwa wa viwanda badala ya kiinimacho cha sasa rais Yoweri Museveni akiwapa makavu wanaoitwa wadau wa maendeleo mabenki ya kimataifa na nchi za mabeberu..
Rais Yoweri Museveni akiongea kwa uchungu zao la kahawa nchi za Afrika tunaibiwa sana, wanaofaidika wapo Germany na nchi zingine za Ulaya, Asia na Mashariki ya kati huku wakulima wetu wakipakia masikini.
Rais Museveni anasema ni hivyo hivyo kwa mazao ya pamba, chai, kakao ajira zote za kusindika kuongeza thamani zinafanyika ktk nchi zinazodai ni wadau wa maendeleo wa Afrika lakini mazao hayo ya pamba n.k hayazalishi ajira za viwandani kwa vijana wetu wa Afrika ...
Rais Museveni anasema katika hotuba yake bila kupepesa macho kuwa jinsi wadau wa maendeleo wanavyoshirikiana na nchi zetu za kiafrika, ni uhusiano wa ukoloni mamboleo wa utumwa wa karne hii na haukubaliki.
Kuhusu madini Rais Yoweri Museveni anasema wadau hawa wa maendeleo hawataki kuchimba madini ya chuma, dhahabu n.k na hawataki kufua na kuyeyesha ktk viwanda vyetu wanachukua malighafi makinikia kupeleka kwao kuongeza thamani, kuongeza ajira za watoto wao China, Ulaya, Asia na Marekani ya Kaskazini
Rais Museveni anahitimisha kuwa uhusiano huu wa nyonya damu lazima ukomeshwe haiwezekani Uganda, Tanzania, Kenya, Burkina Faso, Nigeria zikubaliwa kuendelea na mfumo huu wa kinyonyaji wa wadau wa maendeleo...
HAKUNA UJAUZITO ENDELEVU
Rais Museveni akitoa msemo wa wahenga wa Baganda kuwa hakuna ujauzito endelevu maana kiumbe kinakaa tumboni miezi 9 kikitegemea msaada wa mama kinasha kinajitutumua kinatoka na kuanza kulelewa hadi miaka 18 kisha kinajitegemeea. Lakini wadau wa maendeleo wa Afrika hawataki nchi za bara la afrika kujitegemea, wafadhili hawa hawataki kabisa kuona nchi za kiafrika zikiongezeka umri na kukua zikajitegemea anapigia mstari maneno hayo Rais Museveni. Ifike muda sasa nchi za kiafrika zikatae misaada na ufadhili endelevu sawia na jinsi kitoto cha miezi tisa kinajitutumua kuja duniani, kikatambaa na kukua kikajitegemea kama kijana...
Gavana wa Benki Kuu wa Uganda anasema Mzee tuna akiba ya miezi 4 mbele anajigamba eti ni indicator (kiashiria) ya uchumi mzuri kwa mtazamo wa vikaragosi vya ubeberu (neocolonial government officers) na IDA / World Bank ! Akiba inazoweza kutumika kuagiza bidhaa na huduma kwa fedha za kigeni, badala ya kunipa mikakati ya kuongeza mauzo ya bidhaa zetu nje anasikitika rais Yoweri Kaguta Museveni ...
For decades, IDA has served as a powerful engine for economic growth across Africa. It empowers progress through grants and highly concessional loans, fueling strategic investments in building a skilled and healthy workforce, and nurturing job-generating industries like agriculture. Recent efforts to streamline access have further enhanced its effectiveness.
Currently, IDA supports 75 nations, 39 of them in Africa. Over 70 percent of its resources are directed toward the continent, playing a vital role in achieving the World Bank Group's goal of bringing electricity to 250 million Africans by 2030.
The call for replenishment comes amid a multitude of interconnected hardships: pandemics, climate change, food insecurity, fragility, and conflict. Yet, Africa is also brimming with potential: vast natural resources, abundant sunshine, and the world's fastest-growing youth population.
Amplifying united support for Africa's bold vision and leveraging the strength of the newly formed coalition can help ensure an undeniably bright future for the continent.
Leaders representing a coalition of global youth, the private sector, and civil society stressed the need for a robust IDA21 replenishment and committed to work in partnership.