Search results

  1. Anonymous

    DOKEZO Serikali iko wapi masoko yanakuwa machafu kiasi hiki? Kipindupindu kitatuacha?

    Hali ya masoko kwa kweli ni mbaya sana, yaani unaweza kununua bidhaa ukaharibu viatu na ukapata magonjwa mazingira ya masoko yetu. Kila mfanya biashara analipa ushuru wa kuwepo sokoni, hata hivyo inashindwa kubainika hela zinatumikaje? Mbona masoko machafu hadi yanatia kinyaa, na mengine hutoa...
  2. Anonymous

    DOKEZO Ni aibu Kawe - Dar kuwa na Kituo cha Daladala cha hali hii. Mkuu wa Mkoa, Mkuu wa Wilaya na Mbunge wajitafakari

    Kawe ni moja ya Kata zilizopo ndani ya Wilaya ya Kinondoni na katika Jimbo la Kawe ikiwa ni moja ya Kata maarufu sana lakini hali ya Kituo cha daladala katika Kata hiyo inahuzunisha sana. Kituo hicho kilichopo Tanganyika Packers kina magari ya kwenda Segerea, Bunju, Mbezi, Mloganzila...
  3. Anonymous

    Makonda ni nani hasa kwenye Siasa za Tanzania? Kwanini nguvu kubwa inatumika kumrejesha ulingoni?

    Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi wa CCM anatarajiwa kufanya ziara mikoa ya Kanda ya Ziwa lakini tetesi za mambo yanayoelezwa kuendelea ili kumpokea yanatia aibu, kutia hasira na kufedhehesha sana. Inadaiwa Mkuu wa Wilaya ya Chato ameziamuru Taasisi zote za Kiserikali Wilayani mwake kutoa...
  4. Anonymous

    Halmashauri ya Mvomero inatoa namba za Watumishi wake kwa taasisi za fedha ili ziwashawishi watumishi kuchukua mikopo

    Halmashauri ya Mvomero inataoa namba za watumishi wake kwa taasisi za fedha halafu hizo taasisi zinawashawishi watumishi kukopa kwenye taasisi zao unaweza pigiwa simu zaidi ya mara 5 na taasisi za fedha mpaka inakuwa kero jamani mtusaidie. Ni hivi, baada ya kuripoti kazini halimashauri ya...
  5. Anonymous

    Mkandarasi anatulipisha Tsh 50,000 kwa nyumba kila mwezi kuzoa taka Masaki (Dar) lakini huduma ni mbovu

    Mimi ni mkazi wa Masaki nimeona ripoti ya gharama za utoaji taka kuwa kubwa mitaa ya Mbezi Beach B (maarufu kwa jina la Mbezi Beachi ya Chini) nikaona nami nipaze sauti yangu kwa upende wetu wa Masaki ndani ya Jiji letu hili la Chalamila. Huku Masaki gharama ni mara mbili ya Mbezi, Mkandarasi...
  6. Anonymous

    DOKEZO Ujenzi holela kwenye Hifadhi ya Taifa ya Serengeti

    Habari zenu wakuu, Tukubaliane tu kwamba utalii unatutangaza, unatuingizia fedha za kigeni, kuinua uchumi na kutoa ajira. Lakini utalii usiposimamiwa vizuri madhara yake ni mtambuka na ni makubwa sana! Ndani ya hifadhi ya Taifa ya Serengeti kuna mwamba mmoja anaendelea na ujenzi wa hoteli ya...
  7. Anonymous

    UZUSHI Marekani yawawekea vikwazo viongozi Kenya kwa kuchochea vurugu, yumo Naibu Rais

    Kumekuwepo na taarifa kwenye mitandao ya kijamii lakini pia gazeti la Mwananchi limeandika kuwa Serikali ya Marekani imewawekea vikwazo wanasiasa wanne wa Kenya pamoja na familia zao akiwemo Naibu Rais wa Kenya, Rigathi Gachagua baada ya kupata taarifa kuwa wanasiasa hao walipanga na kufadhili...
  8. Anonymous

    Daniel Chongolo fuatilia tuhuma hizi za CCM kata ya Wazo mkoani Dar es Salaam

    Zipo tuhuma za ufisadi mkubwa wa kuuza VITALU 48 vya kujenga vibanda vya biashara kwenye eneo la CCM Kata ya Wazo lililopo jirani magereji Tegeta Wilayani Kinondoni. Wanaotuhumiwa kushirikiana kufanya ufisadi huo ni pamoja na Katibu wa CCM Wilaya ya Kinondoni, Bwana James Mgego na viongozi wa...
  9. Anonymous

    Kero: Barabara za Jeti kwa Gude na Buza Kanisani

    Imeletwa na mwananchi, namsaidia kuifikisha JF: 👇🏾👇🏾👇🏾 Naomba niripoti hii kwa sehemu husika hasa iwafikie walengwa ambao ni viongozi, either wenyeviti wa serikali za mitaa, Diwani ama mkuu wa wilaya DC Jokate Mwegelo. Naomba mtambue wananchi wenu tunaoata tabu sana na hzo barabara tajwa...
  10. Anonymous

    #COVID19 Watumishi wa TBC 1 Watakiwa kujitokeza kwa wingi kupata chanjo ya UVIKO 19

    Watumishi wote wamearifiwa kuwa kesho tarehe 7. 10. 2021 kuanzia saa 6 mchana kutakuwa na utoaji wa Chanjo ya Uviko-19 kwa watumishi wa TBC 1 na tarehe 8. 10. 2021 kuanzia saa 6 mchana Chanjo hiyo itatolewa kwa Watumishi wa TBC BH. Wameombwa kujitokeza kwa wingi kuchoma Chanjo hiyo ili...
  11. Anonymous

    Wanaodaiwa kuteswa na Sabaya watema nyongo

    Baadhi ya watu wanaoishi Kilimanjaro na Arusha wanaodai kufanyiwa vitendo vya ukatili na aliyekuwa Mkuu wa wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya wamesimulia magumu waliyopitia kwa kiongozi huyo. Sabaya ambaye anashikiliwa na vyombo vya dola kwa mahojiano ya tuhuma mbalimbali zinazomkabili...
  12. Anonymous

    Tanzania inatumia teknolojia ya miaka 21 iliyopita katika Telecommunication Industry

    Habari 👋🏾 Kwa takribani siku tano nimekuwa katika mazungumzo na Dr. Dan Havlick, Bw. Medenne Stephenson na Prof. Sara Ramirez ambao ni wakurugenzi watendaji wa kikanda wanaosimamia maslahi ya makampuni ya mawasiliano ya AT&T, T-Mobile na Verizon kwa Kansas City, Toronto na jimbo la Bavaria...
  13. Anonymous

    UNYANYASAJI: Wafanyakazi wa Kiwanda cha Tanzania Biotech Products Limited (TBPL), hawajalipwa Mshahara miezi mitano

    WAFANYAKAZI WA KIWANDA CHA VIUADUDU WA KUTOKOMEZA VILUILUI WA MBU, WALALAMIKA KUKOSA MISHAHARA KWA TAKRIBANI MIEZI MITANO SASA. Wafanyakazi wa Kiwanda cha kutengenze viuadudu(biolarvicide) kwa ajili ya kuangamiza viluilui wa mbu kilichopo Kibaha mkoani Pwani na kinachomilikiwa na serikali kwa...
  14. Anonymous

    Wakazi wa Dar: Tahadhari, epuka njia hii usiku huu

    Njia ya Mwenge hadi Lugalo kama unaelekea Tanki Bovu kuna wanajeshi wenye silaha wanasimamisha magari usiku huu na kuhoji watu wametoka wapi, wanaenda wapi. Wakikuona umekunywa pombe wanakuzingua! Yaani kuna road blocks kabisa. Ukiweza, pita barabara nyingine mbadala kuepuka usumbufu.
  15. Anonymous

    Uchaguzi 2020 Patrobas Katambi amtaka Salome Makamba kuwaomba radhi wanawake kwa uzushi aliosambaza juu yake

    SAKATA la wagombea ubunge Jimbo la Shinyanga Mjini, Patrobas Katambi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Salome Makamba wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) limeendelea kuchukua sura nyingine baada ya hii leo, Katambi kumtaka mpinzani wake huyo ajitokeze hadharani aombe radhi kabla...
  16. Anonymous

    Kilimanjaro: Waliohusishwa na utekaji wa watu na kujitambulisha kama Usalama wa Taifa watiwa mbaroni

    Watu watatu waliokuwa wakimfuatilia mgombea ubunge jimbo la Vunjo kwa tiketi ya NCCR-Mageuzi, Ndg. James Mbatia wakiwa na gari aina ya Toyota Prado namba DFP 788 wamekamatwa na Jeshi la Polisi mjini Moshi jana saa 10 alasiri eneo la KDC baada ya Polisi kufukuzana na gari hilo na kufanikiwa...
  17. Anonymous

    Je, ni kweli RC Paul Makonda alikuwa Dodoma usiku wa kuamkia leo?

    Heshima kwenu Wanajamvi, Nmeanzisha thread hii kudadisi au kuconnect Dot kuhusiana na Mambo yanayoendelea Dodoma. Leo Jumanne 09 Juni 2020, Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, aliandaa Mkutano na Madereva Bodaboda. Sijajua alitaka kuongelea nini, lakini ni kwamba aliwakusanya Madereva wote...
  18. Anonymous

    Promotion za leo jeshini zimenistua

    Kupanda kwa mkubwa wa karanga karanga leo kutoka ubrigedia hadi meja jenerali ndani ya miezi aisee nimepigwa na bumbuazi Anyway katika taaluma ya kijeshi cheo mtu hapandi haraka haraka au kurushwa kwa kigezo cha uwezo au umahiri peke yake bali kuna kitu experience (service) Wanaohusika...
  19. Anonymous

    DC Ole Sabaya azuia mamilioni ya Jimbo la Hai na kuagiza zitumike kujenga vyoo

    DC wa Hai, Lengai Ole Sabaya amezuia Sh42milioni za mfuko wa Jimbo la Hai linaloongozwa na Freeman Mbowe (Chadema) na kuagiza kati ya fedha hizo, Sh7milioni ziende kujenga choo cha walimu wa shule ya msingi Mijongweni
  20. Anonymous

    Nina Million 10 Cash nifanye biashara gani?

    Hello wapendwa, Nlikua nafanya kazi sehem flani sasa katika savings zangu nina 10m kwa bank account and the very unlucky thing mkataba umeisha like two months ago Nimejarib kufikiria biashara mbali mbali hapa Dar naona zote ngumu sana hasa kwenye ku-take off na kuwa profitable in a short time...
Back
Top Bottom