Search results

  1. babukijana

    Kalilo Kitokololo alikuwa noma sana kwenye ngwasuma

    Huyu jamaa kwenye ngwasuma alikua moto mbaya sana. Naweza kumfananisha na Chameleon kwa werrrason sasa hivi. Pia zamani sana kulikua na na dogo kule beta la muzika totoo ze bingwa nae alikua balaa. Nimewakumbuka tu baada ya kuskia kifo cha malu stonch🙏. Diouf nae yumo ingawa alipigika hapo...
  2. babukijana

    Werrason, Ferre gola, Fally Ipupa

    Kwenye swala la muziki ,wera namuelewa sana toka bcbg kitambo tu. Wera yuko vizuri sana kwenye utunzi, pilika za jukwaani hawezi, nakumbuka bcbg adolph domingez na Emilia walikua wanamtoa jukwaani mapema tu. Sasa yuko Ferre, Le padre parazullia. Huyu dogo alikua mbeba makoti ya Jibe...
  3. babukijana

    Giselle💕

    Miaka ya Nyuma katika kutangatanga siku hapo lang'ata Kinondoni. Hawa Fm na Nyoshi anaimba hadija wako pale. Nikamuona binti mmoja kakaa pembeni kajiinamia ni mzuri kweli. Ndio Giselle. Namuuliza we vp huzuni huzuni tuko kwe starehe twende tukacheze. Akasema siwezi kaka, Kwanini? Ikabidi kukaa...
  4. babukijana

    Supu mapupu, Kichwa Mbuzi Kiria Bar na Euro Pub

    Enzi hizo mnatoka Jolly mnakesha Las Vegas Casino au Billz kunakucha sa kumi na mbili kijua hichoo, mko nyanganyanga mnachomoka hadi kino wale tuliokaa mitaa hiyo Mnaishia Kiria Bar. Sufuria kuubwa lina supu mabichwa ya mbuzi, bandama, mikia, mapupu, ulimi Linachemka Unapewa waya, unachomoa...
  5. babukijana

    Mo Bamba NBA sasa sio tena Hasheem Thabeet

    Baada ya kijana wetu hashimu Sabiti kuamua kutembeza tango pori badala ya kucheza kikapu kaibuka mwamba huyo Mobamba toka Ivory Coast. Orlando Magic to Lakers, Kijana wenu alionekana mitaani juzi kati akiuza sura. Sijui hata yuko wapi
  6. babukijana

    Hawa wabunge vp nao ni pombe au?

    Nimeona baadhi ya wabunge na kuwaskia wakisema mheshimiwa rais then samahani mheshimiwa supika. Hivi hawa jamaa wanawakilisha ujumbe wao wapi?au kero za wananchi wao wapi? Kwa supika ama rahisi? Ina maana hawajui hata mada yao waipeleke wapi? Au ni makusudi tu. Rais na supika ni vitu mbili...
  7. babukijana

    Unapokutana na viongozi mbalimbali ambao hukutarajia kuwajua

    Wakuu kuna mambo yanachekesha sana. Kusema ukweli sikuwahi kuwaza kukutana na hawa wakubwa hata siku moja, nimejikuta nimekutana nao sana tu kila mahali. Nimekumbuka hili nilipomuona Mh. Makongoro Nyerere nikacheka sana. Huyu jamaa zamani sana MK huko yani nafikiri ilikuwa ni kicheko tu. Story...
  8. babukijana

    Cocaine na Heroine zinateketezwa kiwanda cha Dangote mkoani Mtwara

    Nimeishia kutoa macho tu, zinateketezwaje? Imekuwa sio kazi ya Polisi tena kuteketeza ila kampuni binafsi? Hata ulinzi hakuna pale. Hamna namna ingine ya kuteketeza wanapeleka kule kule tena buchani mbuzi afie hapo.
  9. babukijana

    Wanawake wana siri nyingi sana

    Tuingie front Mwaka kenda nilikutana na binti flani maarufu tu bongo movie. Kaumbika km malaika,binti wa kimarangu yule nadhani Mungu siku hiyo anamuumba alikua kaamka asubuhi kabisa hajachoka. Nilimkuta mahali kajikalia analia,nikapita narudi analia nikaona isiwe tabu nikawakumbuka mababu...
  10. babukijana

    Bandugu tuombeane uzima.

    Jana na kimbelembele changu huyo nikaitiwa mbususu mzee nikajaa ,sasa huko niliko mpk sasa ngoma imekula bao kama kumi hivi na inadai. Mi kesho sijui km ntaamka .hapa natamani askari wa mianvuli watokee waniokoe. Hoi bin taabani mkabila ndo kwanza anafinyafinya nimpe dudu la yuyu. Sijui km...
  11. babukijana

    Mkali gani unamkubali

    Wapenda masebene Bill Clinton toka Congo Huyu jamaa alikua vizuri sana. Tutu Calodji kajikata.(yuko vizuri sana) Alipoondoka Wenge kapotea. Fille Nyafu kapotea. Soleir Wanga kapotea Sabath Obrigado huyu bingwa kapotea Cele skram kama jina lake anascream tu(simkubali) Kuna kina chameleoni rapper...
  12. babukijana

    Le mutuz yuko wapi?

    A.k.a Field marshal, Sauti ya umeme, Toka NYC beibi. Mzee wa Noah Mzee wa mabebez. Huyu puto aliwai kuwachangisha matajiri wa dar wote(anavyodai)ili akaoe. Mpk leo kimyaaa. Alikua mwenzetu hapa,siku hizi kajikata mazima. Hana bando au? Huko aliko mwambieni anahitajika hapa A.S.A.P.
  13. babukijana

    Koffi hatunaye mtaani

    Wadau wa mandombolo na rhumba. Mzee wa tukunyema ,wa zamani amelaMbwa kichwa miaka 18 huko France. Kesi ya yule dancer mahiri wa zamani sijui ilikuwaje wakatofautiana ndio aliemshtaki.. Miaka miwili Mopao akagoma kutia mguu France.. Wakampa go on akajisahau km wale mabeberu tu wanamlia timming...
  14. babukijana

    Vioja na Mabasi

    Unajua katika maisha watu tunapitia mambo mengi sana. Na bila kuyaongea yataendelea. Kwenye Mada Siku bana nikalamba bus Dom to Sgd enzi hizo 80s pale vumbi tu njia nzima. Tumekula njia mdogo mdogo na lile ngala ngala sijui Azan express sijui shalua luxure sikumbuki e banaee Manyoni hiyo...
  15. babukijana

    Wabunge Babutale na Mwana F A Kazi yao ipi bungeni?

    Hawa waheshimiwa mi naona kazi yao ni kugonga meza tu, hawajengi hoja, hawahoji chochote, labda juzi ndo nimemuona mwana FA kauliza swali rahisi sana na kujibiwa palepale. Hawa wabunge ni vijana wajaribu kuwa wabunifu kwa kuamsha amsha hiyo serikali katika kila jambo. Sio kukaa tu pale na...
  16. babukijana

    Mike Tyson na Evander Holyfield

    Evander alipigwa zile Iron fist nyingi sana ingawa na yeye alikua anatoa kombora zake. Ukiangalia video Evander kavimba uso Mzima. Ndio siku hiyo akadai amengatwa sikio. Tyson akaporwa taji. Kipindi hicho nafkiri Tyson alikua na msongo wa mawazo kuachwa na Robbin aliyeondoka na kila kitu...
  17. babukijana

    Kisa cha Mr. Abdul na bi Sandra, my scenario

    Hapa nahitaji tu kueleza kilichowahi kunitokea mimi mwenyewe 90s. Kuna huyu binti tulikutana huko machokoloni, nikiwa kijana tu. Tukaanza mambo ya kuwa pamoja sijui na nini ye yuko kwao (student sec) mi nae kula kulala. Ikafika muda ikawa hapa no future. Mi nikapata chuo town nikamtosa mazima...
  18. babukijana

    Luis Vuitton (LV) Italy na lus vutton ya mchina

    Naangalia tu hapa ivideo cha online kuna mtu mmoja anaongea sana kwenye hii habari kuhusu koti na hilo koti limewekwa kwa euro nyingi sana ni uongo. Kuvaa Koffi hana jipya ndio maana nguo zake hamzielewi ye anavaa modo na zile za bei kali always na instructor wake ni Papa Wemba(Le Sarpeur)view...
  19. babukijana

    Russia Military base in Mozambique

    Russia is planning to step up its military cooperation with African countries as part of its new Africa strategy, including building bases in six countries, Germany daily Bild reported Tuesday, citing a secret German Foreign Ministry report. The classified document on what it calls “Russia’s new...
  20. babukijana

    "Mkuu"litumikeje

    Wakuu salamaleko,wakuu wengine tumsifu yesu kristo. Kwenye mada,zamani humu neno mkuu tulitumia sababu ya mada tata na vilume ndio walikua wanaumana kwenye hizo mada kati kwa kati ikaibuka neno mkuu. Maximello na invisible wanajua hilo. Swala linaibuka siku hizi kwamba kuna members wetu...
Back
Top Bottom