Cocaine na Heroine zinateketezwa kiwanda cha Dangote mkoani Mtwara

babukijana

JF-Expert Member
Jul 21, 2009
13,267
16,260

Nimeishia kutoa macho tu, zinateketezwaje?

Imekuwa sio kazi ya Polisi tena kuteketeza ila kampuni binafsi?

Hata ulinzi hakuna pale.

Hamna namna ingine ya kuteketeza wanapeleka kule kule tena buchani mbuzi afie hapo.
 
Umeandika nini nje ya habari?
Atakua dealer huyo anaumia kimoyo..anyway pole yake..pongezi kwa serikali kuendelea kupambana na biashara hii inayoumiza vijana wengi duniani na kupoyeza nguvu kazi.

Bangi ni mmea kuufanya jinai hamjautendea haki kabisa.

#MaendeleoHayanaChama
 
Serikali inafanya vyema sana kupambana na wahuni hawa wanaoingiza mihadarati kutuangamizia nguvu za kazi, pongezi zangu za dhati kwa Kamishina wa Madawa ya Kulevya na timu nzima ya inteliigency iliyofanikiwa kukamatwa shehena hizo za madawa ya kulevya.
 
Umeandika nini nje ya habari?
Hujaelewa nini habari na nilichoandika vinajieleza
Serikali inafanya vyema sana kupambana na wahuni hawa wanaoingiza mihadarati kutuangamizia nguvu za kazi, pongezi zangu za dhati kwa Kamishina wa Madawa ya Kulevya na timu nzima ya inteliigency iliyofanikiwa kukamatwa shehena hizo za madawa ya kulevya.
Serikali inafanya vyema kupambana na mihadarati.
Nilishangaa inakuwaje ikateketezwe kiwanda cha sementi cha binafsi?
Kienyeji tu.
Zamani tuliona ulinzi mzito wakiteketeza hiyo vitu.
Na walifanya wao wenyewe polisi.
 
Hujaelewa nini habari na nilichoandika vinajieleza

Serikali inafanya vyema kupambana na mihadarati.
Nilishangaa inakuwaje ikateketezwe kiwanda cha sementi?
Kienyeji tu.
Zamani tuliona ulinzi mzito wakiteketeza hiyo vitu.
Na walifanya wao wenyewe polisi.
Ni kawaida sana hiyo, shehena nyingi pia huwa zinateketezwa katika kiwanda cha sement cha wazo pale na tukio zima huwa chini ya ulinzi mkali vilevile.
 
nimeishia kutoa macho tu,zinateketezwaje?
imekua sio kazi ya polisi tena kuteketeza ila kampuni binafsi?
hata ulinzi hakuna pale.
hamna namna ingine ya kuteketeza wanapeleka kule kule tena buchani mbuzi afie hapo.

Wanacho hitaji ni tanuru (kiln) ndio maana wanachomeaga kwenye viwanda vya Cement. Huwezi kuchomea nje kama nyasi
 
Ni kawaida sana hiyo, shehena nyingi pia huwa zinateketezwa katika kiwanda cha sement cha wazo pale na tukio zima huwa chini ya ulinzi mkali vilevile.
ok umeona ulinzi pale?mi nimeona tu vibarua wanadumbukiza vipaketi ndani mle ya mashine aisee
 
Mkuu hao wanaobeba hizo dawa unawafahamu? Unauhakika kulikuwa hakuna ulinzi?
ok labda hilo ndo uniambie wewe mi naona raia tu pale wakifanya kazi kutupia vifurushi mle basi mengine sijaona
 
Back
Top Bottom