babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 13,340
- 16,416
Tuingie front
Mwaka kenda nilikutana na binti flani maarufu tu bongo movie.
Kaumbika km malaika,binti wa kimarangu yule nadhani Mungu siku hiyo anamuumba alikua kaamka asubuhi kabisa hajachoka.
Nilimkuta mahali kajikalia analia,nikapita narudi analia nikaona isiwe tabu nikawakumbuka mababu zangu waliokufa vita ya pili ya dunia namie chozi likanitoka.
Tena mi ndo napiga mikelele kabisa.
Basi akaacha machungu yake kaanza kunibembeleza. Baada kunyamaza ndo tunasimuliana. We vp imekuwaje unalia?
Yeye kanipa story ya kumfuma jamaa yake mshamba mmoja hivi alikua pia humo bongo movie.
Dah mi story niliotoa hata sikumbuki ila ilikua fix tu.
Tukafarijiana yakaisha.
Ikawa sasa tufanyeje.
Mi hapo nikikumbuka gheto kuna kibinti kimoja kimachame kimbaumbau hivi ila kizuri sijui km huyo jacky mengi(usinifungulie mashtaka ni mfano tu🙄)
Hicho tulikutana kikiwa form three.
Mi nilikua nimetoka kuachana na bibi mwingine alienipenda sana Aida.
Aida nilimfukuza mwenyewe, badae nikammis mpk basi akagoma kurudi.
Kujipooza ndo nikapata hiki kibinti kimachame.
Mpk leo kimeolewa nikikiangalia naona hapa ilikua dodo langu hili bado kazurii.
Tatizo kamejifunza matusi tu.
Sasa nikipiga simu tu salamu ni "WE SHETANI BADO UNAISHI"
(Nna binti naye 20 yrs now)
Tukirudi kwa mmarangu kule juu.
Tunywe maji kwanza.