Mo Bamba NBA sasa sio tena Hasheem Thabeet

babukijana

JF-Expert Member
Jul 21, 2009
13,267
16,260
1676010087284.png

Baada ya kijana wetu hashimu Sabiti kuamua kutembeza tango pori badala ya kucheza kikapu kaibuka mwamba huyo Mobamba toka Ivory Coast.

Orlando Magic to Lakers,

Kijana wenu alionekana mitaani juzi kati akiuza sura.

Sijui hata yuko wapi
 
Hashim Thabit hana tofauti na Kibu Dennis! Wadau waliwawekea matarajio makubwa! Ila mwisho wa siku matokeo yao yamekuwa ni ya kusikitisha, kufadhaisha na pia kuhuzunisha.
Yaani mimi kama shabiki wa Simba nakerwa sana na yule mpuuzi Kibu. Nilimuunga mkono Pape Ousmane Sakho alipo'fume' baada ya kufanyiwa sub kumpisha Kibu kwenye game ya Simba vs Coastal Union. Mimi ningekuwa Sakho ningemrushia kiatu kocha. Huyo Kibu alipoingia alifanya nini cha maana? Shwaini zake.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom