Le mutuz yuko wapi?

babukijana

JF-Expert Member
Jul 21, 2009
13,267
16,260
images (1).jpeg

A.k.a
Field marshal,
Sauti ya umeme,
Toka NYC beibi.
Mzee wa Noah
Mzee wa mabebez.
Huyu puto aliwai kuwachangisha matajiri wa dar wote(anavyodai)ili akaoe.
Mpk leo kimyaaa.
Alikua mwenzetu hapa,siku hizi kajikata mazima.
Hana bando au?
Huko aliko mwambieni anahitajika hapa A.S.A.P.
 
View attachment 2046884

Hawa ni watu wanaopata u-celebrity na utajiri kwa kiki. Mwisho wake lazima wanafulia na umaarufu nao kwishnei. Watu hawajui unapokuwa na nafasi ya kuwa maarufu ni muhimu kujiwekezea assets kubwa na za kutosha. Hata Mondi Platnumz naona yuko matatani ni kama umaarufu unaelekea kwisha hata videos zake za hivi karibuni ni za kuchoka mnoo. Na ile ya Wasafi Bet wala haiendi popote. Au Konde boy, hata nyumba yake nzuri binafsi hana. Japo anadai anazo 3 kali. Umaarufu na utajiri unaopatikana PASIPO MSINGI MZURI lazima unaisha tu muda si muda.
 
Le mutuz ana stress za maisha alitumia ujana wake vibaya aliingia kwenye trend ya maisha ya ubaharia enzi izo. Hata wanaomuita snich wanakosea sana maana hajui alitendalo na shida ndio zinamfanya anakuwa kama dish limecheza.

Imagine anajisifia kukaa hospital wodi ya VIP anasema wanamuonea wivu na anaowafanyia show off ni wajukuu zake mitandaoni.
 
Back
Top Bottom