Kisa cha Mr. Abdul na bi Sandra, my scenario

babukijana

JF-Expert Member
Jul 21, 2009
13,267
16,260
Hapa nahitaji tu kueleza kilichowahi kunitokea mimi mwenyewe 90s. Kuna huyu binti tulikutana huko machokoloni, nikiwa kijana tu. Tukaanza mambo ya kuwa pamoja sijui na nini ye yuko kwao (student sec) mi nae kula kulala.

Ikafika muda ikawa hapa no future. Mi nikapata chuo town nikamtosa mazima. Sasa wajomba zangu wanakaa karibu yao siku nimewatembelea akaniona basi mbio salamu nini na nini mi sikuwa na lolote chuo ndio namalizia katoka kuulizana ulitorokea wapi? Ndo kumweleza 'niliingia chuo mahali town'

Dem akadandia na mimi ntafutie mchongo nije huko nimechoka huku. Aah mi kiroho safi nikamwambia usijali nakuletea fomu ujaze then wakiona una uwezo kwenda pale wanakuita au watanambia nikuite(tulishazoeana 3 years uongozi chuoni).

Siku akakubaliwa nikampelekea msg apeleke gharama aanze. Akaanza Mi nikaendelea na mishe zangu (nshamaliza chuo) ye anaanza.

BALAA LIKAANZA
Nikaendelea practic then nikapata kazi ilikua MOTEL AGIP. Then nikawa nabadili Hotel kutafuta maslahi kwa hiyo sikua na contact tena na huyo mwanamke.

Akamaliza kozi, na yeye practic akapangiwa Kilimanjaro Hotel ile ya zamani. Ikapita muda sana,kumbe kule kili kampata jamaa kaingia kingi waoane. Mi nilikua sina mpango wowote kuoa wala kukaa na demu nilikua nakaa home tu na wala sikua na pesa za mawazo najikalia tu bure na pocket money napewa ya wiki huku nna kazi.

Bana wee demu huyo siku home mara huyu hapa kagonga geti kuulizwa vipi namtaka huyu mtu. Pale home sijui hata alipajuaje. Kutoka namkuta na anadrive, duuh nikatoa macho sijakaa vizuri ananambia njoo uone.

Kwenda kwenye gari alitoa blue (10000)
Vibunda vingi sana kwenye bahasha sikuamini. Mzee nikaingia king nikarudi gheto badilisha viwalo (Nilikua mnyamwezi enzi hizo).

Zama kwenye gari haoo tukayeya, demu tumefika kati kakodi room Hotel x 25, kula sana kilaji na nyama choma. Hapo mi nashangaa tu hela umetoa wapi(Maana najua alikua kapuku tu)
Ananambia tulia utajua tukiwa chumbani.
Narudi.....No2

======

Episode 2
Then ikawa kurudi kule ndo demu ananipa story kwamba sasa ni mfanyabiashara! Wa nini?"madini "
Mwanamke anasema anauza tanzanite na dhahabu ndiko anapata pesa duh🤔.
Tukatoka pale usiku huo kula bata zingine sana tu

Na nikikumbuka tulienda concert pale Kinondoni lang'ata Tupac Alikua Ndo kapigwa risasi Jana yake so pale ilikua maombolezo lakini mnakula vyombo na hip hop inapigwa. Kutoka pale tuko hoi tukarudi Hotel. Mpaka asubuhi nshachoka na starehe ikabidi bana narudi maskani. Poa tutaonana soon.

After 2 weeks huyo tena getini, vipi? Nataka nimuone flani,nikaitwa Natoka ni yeye, vipi tena! Njoo tuongee, ok ngoja, nibadili. Kutoka safari ingine, hao mpaka Sinza, Ndio sasa kunieleza kwamba ANA MIMBA yangu, nikabaki mdomo wazi. Tukalaumiana hapo then ikawa sasa itakuwaje?

Ndio hivyo tulee mimba mtoto wako huyu. Dag mi sijajiandaa na enzi hizo msela flani hela ipo ila si ya kutunza family. Kibaya zaidi home walikua hawataki hata kumuona. Zile siku kule nyuma nilipotea nae wazee waliambiwa kuna mwanamke alimfata wakaondoka wote.

So niliporudi ulikua msala mkubwa maana pale home nilitegemewa weekend vi trip vya hapa na pale nisolve. Sasa siku hiyo ikawa tuongee kwisha rudi kwenu. Kumbe alikua mchumba wa mtu. Kaja kuangusha jumba bovu la mimba kwangu. Na huyo jamaa ndio alikua anampa jeuri ya pesa mi Sijui.
Itakwenda....
 
Siongelei ugomvi wa sandra na mzee abdul.

Ila yule mama sandra ni mtihani mkubwa sana, ukifuatilia matendo yake na umri wake ni vitu viwili haviendani. Diamond amekula hasara kuwa na mzazi wa kike mwenye tabia zile, japo ni mzazi na anampenda, ila anapaswa kuongea nae apunguze spidi ya kujifyatua kwenye mitandao ya kijamii.

Tafakari, kwa mila zetu Afrika, kuwa na mzazi wa kike, mtu mzima mwenye watoto wakubwa kabisa na wajukuu;

1) Anakwenda club za usiku.

2) Ana hangaika kutembea na kununua wanaume vijana (Wengine sawa na umri wa watoto wake na wengine wadogo kuliko watoto wake).

3) Ana vaa nguo za nusu uchi (Nguo za kuogelea) na kupiga picha za nusu uchi na kupost kwenye mitandao.

4) Kucha ana hangaika na mitandao ya kijamii kutukanana.

5) Anakimbizana na dunia badala ya kurudi kwa mungu wake, kujenga familia yake na za watoto wake kwa kuzingatia umri wake umesha kwenda.

6) Kutwa anavuruga ndoa na mahusiano ya watoto wake.

7) Hatafakari kuna kesho, vijana watam rekodi video au picha za faragha na kuzituma mitandaoni (Pengine kuna vijana wanazo wanasubiri muda ufike wamchafue). Kitu ambacho kitachafua mpaka jina la mtoto wake diamond bara zima la afrika na dunia kwa ujumla.

Ni mtihani mzito sana kwa sisi africa kuwa na mzazi wa kike (Afadhali mzazi wa kiume kwasababu wanaume tunajulikana kwa madhaifu yetu kede kede) mwenye tabia kama za huyo mama.
 
Watu mnapenda sana kubembelezwa sijui kwanini. Zamani haya mambo ya kubembelezwa waliyapenda wadada tuu lakini Siku hizi hata wanaume sijui kwanini? Sasa kastori kafupi kama hako na kenyewe ni kakukawekea episodes?
Tulia uje uone mziki wa mwisho
 
Najaribu tu kuwaandikia kisa kilinitokea mwenyewe na mtoto mpk leo sijamuona, ni 26 years ago.
Bahati mbaya nimeanzia mbali sana ili muelewe hayo mambo yapo.
 
Najaribu tu kuwaandikia kisa kilinitokea mwenyewe na mtoto mpk leo sijamuona, ni 26 years ago.
Bahati mbaya nimeanzia mbali sana ili muelewe hayo mambo yapo.
Wewe jamaa itakua uko kwenye 50 yrs old lakini uandishi wako hauna tofauti na mtoto wa 18 yrs!
 
Hapa nahitaji tu kueleza kilichowahi kunitokea mimi mwenyewe 90s. Kuna huyu binti tulikutana huko machokoloni,nikiwa kijana tu. Tukaanza mambo ya kuwa pamoja sijui na nini ye yuko kwao (student sec) mi nae kula kulala.

Ikafika muda ikawa hapa no future.
Mi nikapata chuo town nikamtosa mazima.
Sasa wajomba zangu wanakaa karibu yao siku nimewatembelea akaniona basi mbio salamu nini na nini mi sikuwa na lolote chuo ndo namalizia katoka kuulizana ulitorokea wapi? ndo kumweleza 'niliingia chuo mahali town'

Dem akadandia na mimi ntaftie mchongo nije huko nimechoka huku. Aah mi kiroho safi nikamwambia usijali nakuletea fomu ujaze then wakiona una uwezo kwenda pale wanakuita au watanambia nikuite(tulishazoeana 3 years uongozi chuoni).

Siku akakubaliwa nikampelekea msg apeleke gharama aanze.akaanza
Mi nikaendelea na mishe zangu (nshamaliza chuo) ye anaanza

BALAA LIKAANZA
Nikaendelea practic then nikapata kazi ilikua MOTEL AGIP. Then nikawa nabadili Hotel kutafta maslahi kwa hiyo sikua na contact tena na huyo mwanamke.

Akamaliza kozi, na yeye practic akapangiwa Kilimanjaro Hotel ile ya zamani. Ikapita muda sana,kumbe kule kili kampata jamaa kaingia kingi waoane
Mi nilikua sina mpango wowote kuoa wala kukaa na demu nilikua nakaa home tu na wala sikua na pesa za mawazo najikalia tu bure na pocket money napewa ya wiki huku nna kazi.

Bana wee demu huyo siku home mara huyu hapa kagonga geti kuulizwa vp namtaka huyu mtu. Pale home sijui hata alipajuaje. Kutoka namkuta na anadrive, duuh nikatoa macho sijakaa vizuri ananambia njoo uone.

Kwenda kwenye gari alitoa blue (10000)
Vibunda vingi sana kwenye bahasha sikuamini. Mzee nikaingia king nikarudi gheto badilisha viwalo (Nilikua mnyamwezi enzi hizo).

Zama kwenye gari haoo tukayeya,demu tumefika kati kakodi room Hotel x 25,kula sana kilaji na nyama choma. Hapo mi nashangaa tu hela umetoa wapi
(Maana najua alikua kapuku tu)
Ananambia tulia utajua tukiwa chumbani.
Narudi.....No2
Ungetulia ukaandika vizuri tu bila pupa
 
Episode 2
Then ikawa kurudi kule ndo demu ananipa story kwamba sasa ni mfanyabiashara! Wa nini?"madini "
Mwanamke anasema anauza tanzanite na dhahabu ndiko anapata pesa duh🤔.
Tukatoka pale usiku huo kula bata zingine sana tu
Na nikikumbuka tulienda concert pale kinondoni lang'ata Tupac Alikua Ndo kapigwa risasi Jana yake so pale ilikua maombolezo lakini mnakula vyombo na hip hop inapigwa.
Kutoka pale tuko hoi tukarudi Hotel.
Mpaka asubuhi nshachoka na starehe ikabidi bana narudi maskani.
Poa tutaonana soon.
After 2 weeks huyo tena getini,vp?
Nataka nimuone flani,nikaitwa
Natoka ni yeye, vp tena
njoo tuongee ,ok ngoja nibadili
Kutoka safari ingine, hao mpk Sinza
Ndio sasa kunieleza kwamba ANA MIMBA.yangu
Nikabaki mdomo wazi .
Tukalaumiana hapo then ikawa sasa itakuwaje?
Ndo hivyo tulee mimba mtoto wako huyu.
Dag mi sijajiandaa na enzi hizo msela flani hela ipo ila si ya kutunza family.
Kibaya zaidi home walikua hawataki hata kumuona.
Zile siku kule nyuma nilipotea nae wazee waliambiwa kuna mwanamke alimfata wakaondoka wote.
So niliporudi ulikua msala mkubwa maana pale home nilitegemewa weekend vi trip vya hapa na pale nisolve.
Asa siku hiyo ikawa tuongee kwisha rudi kwenu.
Kumbe alikua mchumba wa mtu
Kaja kuangusha jumba bovu la mimba kwangu.
Na huyo jamaa ndio alikua anampa jeuri ya pesa
Mi Sijui.
Itakwenda....
 
Back
Top Bottom