Kisa cha Mr. Abdul na bi Sandra, my scenario

Siongelei ugomvi wa sandra na mzee abdul.

Ila yule mama sandra ni mtihani mkubwa sana, ukifuatilia matendo yake na umri wake ni vitu viwili haviendani. Diamond amekula hasara kuwa na mzazi wa kike mwenye tabia zile, japo ni mzazi na anampenda, ila anapaswa kuongea nae apunguze spidi ya kujifyatua kwenye mitandao ya kijamii.

Tafakari, kwa mila zetu africa, kuwa na mzazi wa kike, mtu mzima mwenye watoto wakubwa kabisa na wajukuu;

1) Anakwenda club za usiku.

2) Ana hangaika kutembea na kununua wanaume vijana (Wengine sawa na umri wa watoto wake na wengine wadogo kuliko watoto wake).

3) Ana vaa nguo za nusu uchi (Nguo za kuogelea) na kupiga picha za nusu uchi na kupost kwenye mitandao.

4) Kucha ana hangaika na mitandao ya kijamii kutukanana.

5) Anakimbizana na dunia badala ya kurudi kwa mungu wake, kujenga familia yake na za watoto wake kwa kuzingatia umri wake umesha kwenda.

6) Kutwa anavuruga ndoa na mahusiano ya watoto wake.

7) Hatafakari kuna kesho, vijana watam rekodi video au picha za faragha na kuzituma mitandaoni (Pengine kuna vijana wanazo wanasubiri muda ufike wamchafue). Kitu ambacho kitachafua mpaka jina la mtoto wake diamond bara zima la afrika na dunia kwa ujumla.

Ni mtihani mzito sana kwa sisi africa kuwa na mzazi wa kike (Afadhali mzazi wa kiume kwasababu wanaume tunajulikana kwa madhaifu yetu kede kede) mwenye tabia kama za huyo mama.
Bi mkubwa anazengua.
 
Bila hayo yote na mengine huyajui usidhani dogo nyota itaendelea kuwaka, acheni tu haya mambo yasiwe wazi.

That's unaweza kutamka ule msemo mnautumia sana siku hizi, 'DUNIA SIMAMA NISHUKE'
 
Episode 2
Then ikawa kurudi kule ndo demu ananipa story kwamba sasa ni mfanyabiashara! Wa nini?"madini "
Mwanamke anasema anauza tanzanite na dhahabu ndiko anapata pesa duh.
Tukatoka pale usiku huo kula bata zingine sana tu
Na nikikumbuka tulienda concert pale kinondoni lang'ata Tupac Alikua Ndo kapigwa risasi Jana yake so pale ilikua maombolezo lakini mnakula vyombo na hip hop inapigwa.
Kutoka pale tuko hoi tukarudi Hotel.
Mpaka asubuhi nshachoka na starehe ikabidi bana narudi maskani.
Poa tutaonana soon.
After 2 weeks huyo tena getini,vp?
Nataka nimuone flani,nikaitwa
Natoka ni yeye, vp tena
njoo tuongee ,ok ngoja nibadili
Kutoka safari ingine, hao mpk Sinza
Ndio sasa kunieleza kwamba ANA MIMBA.yangu
Nikabaki mdomo wazi .
Tukalaumiana hapo then ikawa sasa itakuwaje?
Ndo hivyo tulee mimba mtoto wako huyu.
Dag mi sijajiandaa na enzi hizo msela flani hela ipo ila si ya kutunza family.
Kibaya zaidi home walikua hawataki hata kumuona.
Zile siku kule nyuma nilipotea nae wazee waliambiwa kuna mwanamke alimfata wakaondoka wote.
So niliporudi ulikua msala mkubwa maana pale home nilitegemewa weekend vi trip vya hapa na pale nisolve.
Asa siku hiyo ikawa tuongee kwisha rudi kwenu.
Kumbe alikua mchumba wa mtu
Kaja kuangusha jumba bovu la mimba kwangu.
Na huyo jamaa ndio alikua anampa jeuri ya pesa
Mi Sijui.
Itakwenda....
Ndo imeisha?
 
Hahha.
Mzee malizia bandiko lako basi. Halafu ujue wewe ni muandishi mzuri sana ndio maana watu wanakumind
Ntamalizia weekend mkuu tatizo watu watakua home na wengi hawana bando, wataisoma Monday kazini
 
Sema mzee unaonekana bata kitambo umeanza bana, vipi bado moto uleule?
 
Back
Top Bottom