Ukitaka kukorofishana na mtu, mwambie ukweli kuhusu mahusiano yake. Mahusiano huwa hayataki ushauri.
Utamwambia vizuri tu kumsaidia, muache, kesho wapo wote na wanakusema. Kitu pekee kwenye mapenzi ninachoweza kukushauri ni namna ya kuishi na msongo wa mawazo. Mapenzi hayashauriki, wewe si...
Kuna wanawake walikuwa na nguvu bwana.
Achana na akina Wema Sepetu.
Achana na akina Mobeto.
Yaani hawa walikuwa wanamuamrisha rais nini cha kufanya.
Unajua CIA walikuwa makini sana kwenye hili, waliona huyu mwanamke anaweza kuleta songombino, wakaamua kumkausha.
Hebu subiri. Msije kusema...
Appreciation post to MAKONDA na SILAA
Niliwahi kuwaeleza huko nyuma kwamba kwa dunia ya sasa hivi haiwataki watu imara, yaani watu haiwataki wale waliokuwa na misimamo yao, haiwataki wale wapiga kazi, inawataka watu walegevu.
Namwangalia Paul Makonda anavyofanya kazi yake, kiukweli ni mtu...
Ni wazi kwamba hakujawahi kutokea msanii aliyewahi kuachia Albamu yenye nyimbo zinazosifia tu Mamlaka. Wasanii wengi uachia tu Single track za kusifia mamlaka au kiongozi wa juu wa serikali, lakini Mmakonde huyu ameenda mbali zaidi na kuachia Album yenye nyimbo zote zinazosifia Mamlaka na...
Jamaa aliyepata umaarufu mitandao kwa uuzaji wa Kitimoto alimaarufu kama nguruwe atimbiwa na Bodi ya Nyama iliyochini ya Serikali. Bodi hiyo imefika katika eneo la Bwana huyo ambaye pia ni maarufu kwa jina la Mr. Manguruwe na kukagua maneno ya banda hilo la nguruwe. Alianza kupata umaarufu baada...
Katika video hii papa anapigwa maswali konki kuhusu kubaliki wapenzi wa jinsia moja, ambapo anasikika akikanusha na kusema ni kinyume cha sheria za kanisa, huku akisisitiza kuwa kubalika mtu mmoja mmoja ni sawa, ila sio kubaliki muunganiko wao
Demu wangu alikuwa anachepuka, siku moja nikaona amenisave "Dad" kwenye simu yake lakini sikumwambia nikajikausha.
Wiki iliyopita nilikuwa nampigia na hapokei simu. Jumapili iliyopita niliona namba mpya ikiita kwenye simu yangu nikaamua kuipokea. Ni kijana aliyejitambulisha kwa jina la Kelvin...
1. Mchaga akioa au kuolewa na Mpare, Muha au Mmasai.
2. Msukuma akioa Mbulu /Mrangi /Mnyaturu /Mmeru/Mchaga au Muiraki.
3. Mhehe akioa au kuolewa na Mbena, Mnyamwezi, Mngoni.
4. Mdigo akioa au kuolewa na Mgogo, Mchaga au Mngoni.
5. Mkwere akioa au kuolewa na Mmakonde, Myao, Mzaramo, Mnakua...
Mdau mmoja wa anasema watu wengi wanamwogopa Simba, na kusema ni mnyama hatari na wakuogofya, lakini la hasha Simba sio mnyama wa kutisha katika macho ya binadamu kwa sababu binadamu huyo huyo ameshawai kuua Simba mara kadhaa. Wengi mnakumbuka kisa cha Mwamba mwenye nguvu iliyepiga na kuua...
Kama nilivyowahaidi kuwa itaendelea, kwa wale mlioanza na sehemu hii 👉🏽 Nebukadneza: Mbabe wa vita, muabudu sanamu aliyekula majani kama ng’ombe
Basi inaendelea kama ifuatavyo;
Baada ya Mfalme Sedekia kuuawa, sasa Yehoyakimi akachukua nafasi hiyo ya kuiongoza Yuda (Israel). Hapa kuna kitu...
Kabla sijakuandikia stori ya huyu mwamba wa Babeli katika nchi ya Babiloni, ngoja nijaribu na mimi kujiuliza maswali kadhaa. Watu wanasema wale Waisrael wa zamani sio wa sasa hivi, hao wa zamani walikwenda wapi?
Wakati wa nyakati za mwisho tunaambiwa kwamba Waisrael wote duniani watarudi nchini...
Malaika aitwaye Makerubi alikuwa na kazi ya kumsifu Mungu Mbinguni, sifa kubwa ya malaika hawa huwa na mbawa sita ambazo mbili zina uwezo wa kumfunika mwili mzima.
Kwa nini Mungu aliwaumba? Mungu aliwaumba kwa sababu alitaka kusifiwa milele. Mungu anapenda kuabudiwa na humbariki mtu anayefanya...
Nimeketi zangu room, sina habari, nje wameketi Mwanamke mmoja wa 1998 na mwingine wa 1979... Wote wameolewa 1998 Mume wake ni wa 1990, na wa 1979 mume wake ana miaka 70+
Huyu wa mwanamke wa 1998, mume wake ana wivu wa kupitiliza na uwa inapelekea wanakwaruzana mara kwa mara, mpaka dogo...
Hivi majuzi Baraza la Wawakilishi lilipitisha mswada ambao unaweza kusababisha kupigwa marufuku kwa TikTok nchini Marekani. Sheria inamtaka ByteDance, mmiliki wa China wa TikTok, kuuza maslahi yake kwa kampuni ya Marekani ili kuepuka marufuku. Mswada huo sasa umehamia kwenye Seneti, ambako...
Wengi wetu tulikuwa hivi; kulala na kuchanganywa na binamu zetu, lakini sasa hivi tumekuwa watu wazima, hatuzungumzi tena! Kila mtu sasa ana viwango, matajiri wanakwepa simu kutoka kwa ndugu maskini na maskini wana tabia ya kujitenga ili kuokoa kiburi vyao. Sasa tunakutana tu na kuishi kama...
Jamani naombeni elimu. Na mimi nikae niwasikilize. Nasikia mnasema Israel hawa sio wale waliochukuliwa na Musa kutoka Misri kwenda Canaan.
If so, okay, wale wa Musa wapo wapi? Waliishia wapi? Na hawa wapya wametoka wapi?
Daudi alitaka ajenge hekalu la Mungu, Mungu akamzuia, akamwambia mikono...
Tuache utani, Mziki ni kazi ngumu jamani kama hauna strategies thabiti.
Wanaijeria walalamika kuhusu ASAKE kubadilika muonekano na kuanza kufanana na watu wa kawaida japo kuwa ana mamilioni ya pesa kwenye Account za benki. ASAKE aliyezoeleka kuwa ni mtu wa fashion za kuvutia, siku hizi amekuwa...
Aliyekuwa mtangazaji nguli wa EATV na East Africa Radio, Dullah Planet, Mjukuu wa Wambua rasmi ametambulishwa na kukaribishwa kwenye Radio ya Ali Kiba, Crown Radio. Ambapo tayari accounts za instagram zimepost kuonesha kumkaribisha nguli huyo wa vipindi vya TV na Radio.
Wiki chache zilizopita...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.