shilole

Zena Yusuf Mohammed (born 20 December 1987, in Tanzania), known by her stage name Shilole, is a Tanzanian musician and actress. She specializes in the R&B, Zouk and new generation Tanzania music popularly known as Bongo Fleva. Shilole is considered one of the top female artists in Tanzania; her works has been nominated 3 times in KTMA, Tanzania's top music awards. She has also recorded with a number of artists including Mr Camera (South Africa) and Selebobo (Nigeria). Shilole is considered as one of the most influential artist among her fans and is said to be the most loved female artist in Tanzania, the first female artist in Tanzania to clock 1 million followers in Instagram, Tanzania's most popular social network... Shilole is credited as one of the key figures in the popularization of Tanzania's new music genre Bongo Flava, as a career to upcoming female artists.

View More On Wikipedia.org
  1. Hance Mtanashati

    Maisha yanaenda kasi sana, Eti Shilole naye ana msanii 😂😂😂😂😂😂

    Maisha yanaenda kasi sana eti shishi baby naye ana msanii 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Msanii wake mwenyewe ni mpishi wake wa shishi food 😂😂😂😂😂 Sasa cha kuchekechesha ni kwamba eti msanii ataendelea kupika na kutosha vyombo kama kawaida hapo shishi food wakati huo huo atakuwa anaimba 😂😂😂😂😂 Aliponiacha hoi Sasa...
  2. Replica

    Shilole apiga shangwe kuu mwanae kupata Div. 1 kidato cha sita. Asema kuna wakati mama huhatarisha maisha yake kwaajili ya mwanae

    Mama ntilie wa kishua, Shilole jana ameonesha furaha yake baada ya mwanae Joyce kupata ufaulu wa Division 1 ya 7 akidai yeye aliishia darasa la 7b chini mti. Shilole amesema mwanae amemaliza shule ya emperial kidato cha sita huku akisema ukifika katika shule hiyo unakuta bendera za mataifa mengi...
  3. BARD AI

    Rais Samia amewateua Diamond na Shilole kuwa Wajumbe wa Baraza la Malaria

    Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Mwimbaji Staa wa Bongofleva Naseeb Abdul Diamond Platnumz @diamondplatnumz na Msanii Zuwena Mohamed Shilole @officialshilole kuwa Wajumbe wa Baraza la Taifa la Kutokomeza Malaria. Waziri wa Afya Ummy Mwalimu @ummymwalimu ametangaza uteuzi huo...
  4. BARD AI

    Shilole: 'V8 ndio gari ya Heshima sio Range Rover gari ya Kitoto hiyo'

    Staa wa Muziki wa Bongo Fleva na Mjasiriamali Shilole ameiweka wazi Gari ya ndoto yake anayotamani kumiliki. Wakati akizungumza na waandishi wa habari @officialshilole ameitaja “v8 new model” ndio gari ya heshima kwake na akiongeza kwa sema Gari aina ya Range Rover ni za kitoto. DOZEN SELECTION
  5. JanguKamaJangu

    Serikali yaagiza eneo la Shishi Food livunjwe ndani ya siku 3 kutoka leo

    Mchana wa leo Januari 18, 2023, msanii na Mfanyabiashara Shilole amelazimika kulivunja eneo lake la Biashara la Shishi Food iliyopo Kinondoni, Dar es Salaam baada ya kupokea Barua ya Maelekezo kutoka Manispaa ya Wilaya ya Kinondoni iliyomuelekeza kuondoa biashara hiyo kwenye eneo iliyopo ndani...
  6. M

    Utajiri wa Shilole wafikia Trilioni 3.9 TSH

    Tajiri wa roho, mjasiriamali na msanii Nguli Shishi baby amefikisha utajiri wa Wastani wa TSH. 3.9 Trilioni kupitia record label, endorsement na assets alizo nazo Dar, Dodoma,Venice, London, Paris na Dubai. Hongera Sana Mr & Mrs Rommy 3B. Source: Forbes Eastern and Southern Africa
  7. Frumence M Kyauke

    Shilole amchana Alikiba

    NUKUU YA SHILOLE: Anandika shilole katika ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa Instagram. “Hapana kila siku nakosewa nitaka kuongea washauri wangu wanasema nikae kimya. Hili nimekosewa siwezi kukaa kimya mnanionea officialikiba nakushukuru sana leo umeuthibitishia ulimwengu mambo yafuatayo ...
  8. Linguistic

    Ndoa Ya Muuza Chakula (Shilole) na Mpiga Foto (Tommy D) Inakaribia Kuvunjika

    Wakuu Tazameni Hii Video Kati Ya Muuza Chakula na mpiga 📷 walivyozinguana Hadharani.
  9. Linguistic

    Wahudumu wa Shishi Food Dodoma wajifunze kauli nzuri kwa wateja

    Jana nilienda kula chakula cha mchana pale Shishi Food Dodoma. Wakati nafika nikamkuta jamaa analumbana na mhudumu kisa amemuita aje kumhudumia akamjibu nakuja lakini hakuja ontime, kwa maana alikuja amechelewa na akamjibu majibu ambayo sio mazuri The same kwangu pia maana niliketi more than...
  10. MamaSamia2025

    Tafadhali Shilole usinunue Rolls Royce

    Tafadhali Shilole usinunue Rolls Royce Cullinan 2021 Nawasalimu kwa jina la Chama Cha Mapinduzi. Natumaini wote mko poa mkiendelea vyema kulipia tozo za miamala. Hakika uzalendo hauepukiki. Leo nitaongelea jambo ambalo sikupenda kabisa kutia neno kwa sababu uzito wake ni mdogo sana kitaifa...
  11. sirluta

    Msanii wa muziki Shilole acheza utupu huko Ubelgiji na kuzua kizaazaa

    Salam ndugu wanaMMU, Habari zimeenezwa kupitia vyombo vya habari kuwa Shilole azua utata baada ya kucheza utupu wakati anapiga show huko Ubelgiji, ndipo nikaona nije na habari hii kama sehemu ya kuanzia. Hii tabia ya dada zetu kucheza nusu uchi na wakati mwingine kucheza utupu, wengine...
  12. Herbalist Dr MziziMkavu

    Kumbe Barnaba alimtema Shilole baada ya kumtwisha zigo la kumlelea watoto wake!

    Baada ya siku nyingi kupita tangu Shilole na Barnaba watemane, imebainika kuwepo kwa siri kubwa zilisababisha wawili hao watemane. Chanzo cha karibu na Barnaba kimedai kuwa sababu zilizosababisha wawili hao kutemana ni pale shilole alipodanganya umri wake...
Back
Top Bottom