Search results

  1. General Nguli

    Unafurahia channel zipi za DSTV?

    Wakuu zangu nliomba kujuzana juu ya chanel mbalimbali za DSTV...Ama wewe mpenzi wa DSTV unaifurahia chanel ipi katika kujifunza kwako. Nawasilisha
  2. General Nguli

    High income skills kwa mazingira ya nchi yangu Tanzania

    Wakubwa poleni na majukumu mbalimbali, hata wale mashabiki wezangu poleni pia. Niende direct kwenye uhitaji wa msaada wangu. Nimekuwa mfuatiliaji na mtafutaji wa haya maisha yetu. 1. Nina shida ya kujua ni taaluma gani hapa Tanzania ukiamua kuweka nguvu kubwa itaweza kukulipa bila kujali...
  3. General Nguli

    Kinachoendelea mimi na rafiki wa mke wangu baada ya mke kumueleza madhaifu ya chumbani ya kwetu

    Baada ya kuwa mbali kimajukumu... Nilipata simu pendwa ya Mama Alpha. Mama Apha; Mume wangu siku ya Jumamosi nitaenda Dar kumfanyia Shoping ya hapa ndani. Mimi(mume); Aah sawa usijali na je..? Utafikia wapi pa kulala baada ya mizunguko yako kumalizaka? Mama Apha; Nitaenda kwa Shangazi yangu...
  4. General Nguli

    Driver update for my Laptop

    Kuna site nimeingia ikiwa na matangazo ya kujinasibu kuwa tuna update free driver to your Laptop.Nikaona acha nifaidike na huduma ya bure.Baada ya kudawnload na kufanya installation na kuelekea kwenye huduma,kweli software iliweza ku scan my laptop na kudetect a various driver is outdated...
  5. General Nguli

    Mambo 6 muhimu ya kujiuliza unapomaliza mwaka 2023 na kukaribisha 2024

    Habari na Poleni na majukumu ya kilasiku. Let go to the Box. Kuna maswali ya sio pungua sita (6)ya kujiuliza.Ukipata majibu na kuyafanyia kazi basi Utafanya mwaka wa 2024 uwe mzuri kwako na wa Mafanikio. TWENDE KAZI 1.What is the high light of the Past year Umejaribu kuwaza maisha ulio ishi huu...
  6. General Nguli

    Hivi kuna wa Madem wa kibongo uswazi Age ya 18-35 wanatembea na Programing code.Au hata book readers.

    Habari zenu ndugu zangu..? Hivi bongo kuna Mabint warembo age tajwa wana ujuzi wa CODE Imean Programing.
  7. General Nguli

    Thread about Tips, tricks and Ideas for life

    Hallow Members. I am decide to create my own thread just because is to be free to share tips and ideas about modern life. Am not well in English comments and speak.But for this thread is my broad range of shares lifes. And the main reason of my thread is to answer any members in English...
  8. General Nguli

    Kwanini Afrika na Tanzania hawatumii Gmail kama Modeli ya mawasiliano?

    Wakubwa zangu habari za kwenu.Natumaini tunandelea vyema na majukumu yetu ya Kilasiku. Katika kupita YOUTUBE nimeona Tips and Trick katika matumizi ya Gmail,ukweli kuna Features nyingI Free za kuenjoy. Swali langu: Je, kwanini huu mtandao una matumizi madogo sana. Na ukiangalia una uwezo...
  9. General Nguli

    Dada zangu fanyeni mazoezi ya Tumbo na kujenga Confidance. Fassion haziendani na TUMBO kubwa

    HABARI KINA DADA WOTE Kina dada wengi hawana tamaduni ya kufanya mazoezi.Wengi wao wamekuwa na vitambi na kuzidi kuongezeka kila siku.Ni nadra sana ukute dada mrembo mwenye watoto wake wawili mpaka wa tatu hana kitambi. Unakutana na mdada msomi lakini hajui hata kupangilia milo yake kwa...
  10. General Nguli

    Somo juu ya BIBLIA na QURAAN kwa Ujio wa haya Marobort ya Kutisha

    Moderetors + Members habari,Poleni na majukumu, Nawaza katika vitabu vyetu vikuu vya Imani yaani BIblia na Quraan hasa katika utabiri wao wa siku za mwisho hapa Dunian.i Je vilijaribu kuonesha mwanga hata katika Lugha ya Picha Kuhusu ujio wa Tech ya AI.Je mitume na waandishi wa vitabu waliweza...
  11. General Nguli

    Akili bandia kuwa kuongeza umri wa kuishi na kuzuia kuzeeka nyuso.

    Katika kupita kwangu mjini YouTube nimebahatika kukutana na Podcast ya Engneer ambae Pia ni Advisory katika cabinert ya ELLON MUSK.Akijaribu kuelezea mambo mbalimbali ya AI na malengo yake Miaka ijayo.Let GO 1. AI imefikia uwezo wa kumuongezea muda wa kuishi mwanadamu kwa kutengeza...
  12. General Nguli

    Najilaumu sana kutokuchukua masomo ya Science, hasa Physics na Chemistry

    Habarini wa Kuu, Nina imani wazima Mungu ana tubariki mpaka sasa na tunaendelea vyema na majukumu yetu. Kutokana na kasi ya mapinduzi ya Science hapa Duniani nimekuwa muhanga hasa nikiwa na fuatilia vipindi mbali mbali. Wakati nikiwa nasoma nlikuwa mpiga Debe mzuri wa Masomo ya Sanaa. Ushauri...
  13. General Nguli

    Tips and tricks of Google Compact

    Wakubwa na wa Penzi wa Jukwaa hili natumai hamjambo na mnaendelea vyema na Majukum ya ujenzi wa Nchi na Dunia yetu kwa Ujumla. Leo nimeona Nije na wazo,kwa kila member anae tumia Iterm ya Google aje apande Hapa Jukwaani akisifu ustady wake na jinsi anavyo tumia katika shughuli zake. Mano;wa...
  14. General Nguli

    Tazama Tanzania amani tulio nayo

    Kweli... Mungu hatupi vyote sisi watanzania. Leo yametokea Mashambulizi ya Kivita huko Israel kutoka kwa Palestina. Huku kuna Ukrain dhidi ya Mrashia. Pale kuna Mapinduzi ya Serikali sehemu mbali mbali hapa Afrika Kule Marekani watu wanamiliki silaha nje nje kama simu za Iphone. Lakini...
  15. General Nguli

    Tujuzane Chanel mbali mbali za whatsap na Telegram

    Wengi wetu tuko vyema tukisubiria Mama arudi kutoka Doha na ndizi mkate mkononi. Ni hivi, baada ya Whatsap kutuletea mfumo wa Chanel ili kuturahisishia Biashara na mengineyo. Basi uzi huu uwe wa kujuzana Chanel mbalimbali katika kupeana Ladha ya hii huduma mpya. Chanel hizi ziwe za maono na...
  16. General Nguli

    Nitaweza tena kuishi na mwanamke...?Je ntafanyaje nisije pitia haya nayo Pitia.Na wewe ulie wahi kupitia haya uliponaje ukakaa sawa.

    Wakubwa zangu poleni na uchovu. Ndugu yenu na Msongo wa Mawazo.Nawaza sili nikashiba silali. Naishi maisha Magumu mno. hii ni Baada ya mkewangu kunitamkia wazi haniitaji tena amechoka na maisha yangu ya ugomvi usio isha na pia ndugu zangu hawamtaki. Ikiwa kugombana kupo japo chanzo ni ujeuri...
  17. General Nguli

    Simu yangu imekuwa mfariji na kipenzi changu muda wote

    Hiki kifaa kimenifanya kuwa msaada mkubwa sana kwenye maisha yangu ya kila siku. Kwa ufupi kimeweza teka hisia zangu kuliko hata mwanamke. Kimechukua muda wangu mwingi kwenye maisha yangu ya kila siku. Simu imekuwa ikiniamsha niwahi kazini. Simu imekuwa ikinipa hamasa ya kufanya kazi kwa bidii...
  18. General Nguli

    Nashauri Ndoa ifundishwe kama somo shuleni au vyuoni

    Nashauri serikali iweze kuanzisha somo la Ndoa kwa kila mmoja anaekaribia kuingia humo. Hakika wengi wetu tunaingia katika ndoa bila kujua bila kuelewa ndoa nakujikuta tunazama kupitia Mihemko. Ndoa ni familia. Familia ndo jamii na jamii ni Nchi. Hakika kuna haja ya Serikali kuwekeza kwenye...
  19. General Nguli

    Nawaasa vijana wale wanaotaka kuingia katika ndoa

    Vijana wenzangu naomba nitoe experience yangu ndogo kwa kiwango changu kulingana na ndoa nilivyoingia na kujionea yaliomo kulingana na majukumu yangu kikazi na mke wangu mwajiriwa. Kiufupi wote tuna Mishahara. 1. Kuu kuliko yote hakikisha Mchumba Mke ama Mume anamuelezea mwenzie mahitaji...
  20. General Nguli

    Najutia kupata Mke kupitia Facebook.

    Mnamo mwaka X weds nakumbuka nilibahatika kukutana na huyu bint uso kwa uso katika Phase flan katika kutafuta maisha. Tulipoteana tena kama baada ya mwaka mmoja bila kutongozana kuzoeana wala bila kuongea neno lolote. Dada huyu alikuwa mzuri kwa Sura na rangi nzuri. Maisha kusonga tukiwa...
Back
Top Bottom