Search results

  1. M

    Vile wanawake wanapenda kutuendesha wanaume maskini

    Kuna mtindo flani wa maisha unapendwa Sana na wanawake karibu wote waliosoma na wasiosoma. Sababu za huu mtindo kupendwa ni hizi harakati za wazungu za kutaka Kuona wanawake wanakuwa SAWA na wanaume (eti tofauti iwe ni maumbile tu).wanawake hupenda haya na bahati mbaya wanaozama kwenye huu...
  2. M

    Mwalimu mwenzangu nakushauri kopa

    Nimekuwa mwalimu sasa ni miaka 9, nimejifunza mambo mengi Sana kuhusu Ajira za serikali ( TAMISEMI), kikubwa nilichojfunza Ajira ni gari inayokupeleka kwenye umaskini hasa ukiwa na akili ndogo, mikosi na mwoga, na Ajira ni chanzo cha maisha mazuri ukiwa na akili kubwa na mwenye bahati...
  3. M

    Unahitaji miaka mingapi ili ufanikiwe kupitia kazi yako?

    Haya nimejifunza mimi kupitia shughuli zangu na kuwaona pia wengine kwenye shughuli zao. Mafanikio ni mchakato na kila kazi ina njia zake kuna kazi zinamafanikio ya haraka na hata kupotea huja kwa haraka sana kupitia kazi zangu tatu ninazofanya nimejifunza haya. 1. Biashara, hii ni kazi ngumu...
  4. M

    Naichukia sana report ya C.A.G

    Tunakaribia kupata report ya C.A.G, kwa aina ya serikali hii report itaonyesha madudu mengi , waliosababisha hayo madudu watahamishwa vituo vya kazi na kusamehewa na hata kuombwa msamaha. Huku mimi nikiwa nalipa kodi milions of money, hili limekuwa likiniumiza sana yaani nalipa ili...
  5. M

    Kozi zipi za ufundi nzuri kwa mtoto wa kike?

    Nina mdogo wangu nataka kumsaidia asome ufundi, lakini nikimtazama umbile lake, urembo wake nashindwa kumtaftia nini cha kusoma. Angekuwa wa kiume ningempeleka VETA Shiyanga asome iether machine oparators au heavy duty machenics. Sitaki asome sijui kupamba ukumbi,ususi, ushonaji nguo, nataka...
  6. M

    Hivi mwanaume anapata nini kwenye ndoa kiasi kwamba ajutie kutokuwa na ndoa. Je, ndoa kwa Dunia hii ni muhimu kuliko pesa

    Nimekuwa nikijiuliza Nini cha maana mwanaume anapata kwenye ndoa, kiasi kwamba ajutie anapokuwa hana ndoa. Siungani na wale wa kataa ndoa, ila najiuliza tu Nini kinapotea kama haupo kwenye ndoa. Kwa wanaume, una pesa, una watoto. Mwanamke akiwa kwenye ndoa anapata faida hizi . 1. Usalama wa...
  7. M

    Kuna shida gani mkoa wa Pwani?

    Nilikuwa Pwani, Wilaya ya Mkuranga, nimetembea vijiji vingi Hadi Kijiji kinaitwa mwanzenga (nimeambiwa ni Kijiji Cha wasanii). Kilichonishangaza ni maeneo mengi ya mkuranga ni potential sana Kwa ufugaji na ujenzi wa viwanda. Kilichonichosha ni population ndogo na wenyeji wanaishi maisha...
  8. M

    Kama unaamini kabila linahusika kwenye maisha, basi tafuta mwanamke wa Kikinga

    Kama unahisi kabila Lina nguvu kwenye zama hizi na unafikiria kuoa , Moja ya vigezo ulivyojiwekea ni kabila basi mwanamke wa kikinga anawazidi wanawake wengi Tanzania, wanawake wa kikinga ni kweli hawana sura nzuri na maumbile ya kuvutia , lakini Wana sifa za ziada kama hizi...
  9. M

    Rasmi nawekeza kwenye kilimo

    Nafanya biashara za nafaka na mazao, Nina shamba na mifugo, nina duka na gari za mizigo, nimeajiriwa kama mwalimu wa serikali nk. Nina ujuzi mkubwa Tu na experience ya miaka mingi kwenye Dunia ya pesa,Shughuli zote nilizotaja nimerithi kutoka kwa marehemu mzee Wangu kasoro ualimu...
  10. M

    Kwanini wazawa utajiri wetu ni wa kawaida?

    Nimejiuliza nimekosa majibu, 2015 alikuja mhindi mmoja nyumbani akiomba nimpatie gari abebe vyuma chakavu from Jombe to Kibaha , since then amekuwa kama mshikaji bado nampakilia sana vyuma, kinachonishangaza amekusanya mtaji mkubwa kwa miaka michache, pesa aliyonayo ni kubwa sana, wakati...
  11. M

    Unaishi vipi na watu wa mtaani kwenu ulikozaliwa na kuishi huko

    Nimezaliwa katika mtaa ambao kwa sasa naweza ita ni uswahilini, pamoja na wengi kuondoka na kujichanganya kwingine, mimi narudi home karibu kila wiki kwa sababu home zipo biashara zinazonipeleka, pamoja na wengine kuhama bado wapo wenyeji wengi sana wanaoshi hapo mtaani kwetu...
  12. M

    Ingekuwaje pesa ingepatikana kirahisi kama inavyopatikana Ngono

    leo nimewaza sana, nipo mbali na.nyumbani ,nimefuata biashara huku, nimeacha mji wangu, nipo mbali na watoto wangu, nipo katika nchi ambayo imejaa matukio ya kishamba(matumizi ya bundiki hapa wanaona ni kama ndio akil) Haya yote nafanya eti natafta pesa, nguvu ninazotumia , akili ninayotumia...
  13. M

    Kama unataka kuishi kwa amani usipungue kiwango hiki cha pesa

    gharama za maisha zimepanda , kiasi cha kwamba tunaondelea kuishi kwenye mzunguko ule ule tunaishi maisha Magumu sana nimejaribu kufanisha gharama za maisha kwenye nchi nilizopita , nilichokiona maisha yamepanda kila kona, na...
  14. M

    Namfukuzaje mjomba

    Huu ni mtihani wangu mkubwa, ipo hivi nina mjomba yangu ambaye ni mdogo wake mama yangu mzazi, kiumri ni mdogo kwangu kama miaka 5 hivi, huyu mjomba pamoja na wajomba wengine wawili na mama zangu wadogo, makuzi yao ni wamepita kwenye mikono ya mzee wangu...
  15. M

    Nchi inaharibiwa sana na utawala wa awamu hii

    Nazungumza hili nikiwa na hasira kidogo, kwa wale tunaofanya biashara tuwe wakweli awamu hii tunaombwa rushwa kinguvu na mafisa wa serikali, jana nilikuwa napambania passport ofisi za uhamiaji, kilichonishangaza ni kijana mdogo tu ananiambia" bros ukitoa kama laki mmoja mimi nakupambania...
  16. M

    Unatumia mbinu gani kuepuka kodi (tax avoidance) bila kuvunja sheria za nchi?

    Tuwe wakweli hakuna kinachouma kama kulipa kodi na unalipa huku unajua kabisa pesa hizi haziendi kuleta maendeleo ya nchi, wanaenda kunufaika familia flani ukibisha hili soma ripoti ya CAG na angalia kinachoendelea TANESCO na sisi tunaofanya biashara za mazao huwa tunapita vijijini utakubali...
  17. M

    Benki ipi nzuri kukopa kati ya Absa, NBC, NMB, na CRDB?

    ipo hivi mimi ni mwalimu, mfanyabishara na mkulima , mimi ni mkopaji mzuri sana , nilikuwa na mkopo kupitia salary nilikopa 2019 NMB, nimekuwa na mkopo wa biashara nimekopa CRDB, kwa sasa nimemaliza deni nadaiwa na bodi tu ya mikopo, nina uhitaji tena wa pesa kama milioni mia moja tu. Nipeni...
  18. M

    Umri huu ni kete yako ya mwisho, ukikosea ni majuto hadi unaingia kaburini

    Nina miaka 37, katika umri huu nimekuwa nafanya mambo mengi ya kiuchumi na kijamii hivyo najikuta nakutana na watu wengi sana tunaobadilishana nao mawazo yanayohusu mambo mengi ya uchumi na jamii, nilichokibaini wengi wa watu wanajutia makosa yao na wameshindwa kuyarekebisha makosa yenyewe ni...
  19. M

    Tatizo la saratani ya ini

    Kuna jamaa yangu anaumwa kansa ya ini, tumekwenda hospital za ndani tulichoambiwa ni kansa ya ini haina matibabu anachoweza fanyiwa chemotherapy, dawa za kumpunguzia maumivu huku akisubiri kifo chake, baada ya hap tumeambiwa tiba ni india na marekani, saali ni je kansa ya ini ina matibabu huoo...
  20. M

    Unayejua townhiace njoo nisaidie kufanya mamuzi

    Hapa home pana 109 ipo tu juu ya mawe. Nina uhitaji sana na Gari ndogo ya mizigo, inisaidie kazi za shamba na store. Nimewaza nifufue 109 tu nifunge break za canter, nivalishe mfumo mpya wa umeme au ninunue gari nyingine. Kwenye kuchakata nimeikuta hii town hiace, hii gari sijui kabisa...
Back
Top Bottom