Search results

  1. J

    Jokate Mwegelo apewa tuzo ya ubalozi wa Afya ya Akili

    CDE JOKATE APEWA TUZO YA UBALOZI WA AFYA YA AKILI 31 MEI, 2024 UVCCM HQ Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) - Cde. Jokate Urban Mwegelo apewa Ubalozi wa afya ya akili kutoka Hospitali ya Taifa ya Afya ya akili Mirembe leo Mei 31,2024 jijini Dodoma ambapo...
  2. J

    Watanzania Waishio Comoro Wakutana na Balozi Yakubu

    Watanzania Waishio Comoro Wakutana na Balozi Yakubu Mheshimiwa Saidi Othman Yakubu, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Comoros amekutana na Viongozi wa Jumuiya ya Watanzania wanaoishi nchini Comoros (Tanzania Diaspora in Comoros - TADICO) tarehe 30 Mei, 2024 katika Makazi yake...
  3. J

    Bashungwa: Wataalam waliostaafu kuendelea kutumika katika ujenzi na matengenzo ya barabara

    Wizara ya Ujenzi kupitia taasisi zake ERB na TANROADS inaandaa utaratibu wa kutumia wataalam wa ndani waliostaafu katika ujenzi na matengenezo ya barabara. Haya yamebainishwa na Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa wakati wa kuwasilisha bungeni makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka 2024/25...
  4. J

    Serikali kushirikiana na sekta binafsi katika utekelezaji wa miradi

    SERIKALI KUSHIRIKIANA NA SEKTA BINAFSI KATIKA UTEKELEZAJI WA MIRADI. Wizara ya Ujenzi imeanza utaratibu wa kushirikisha sekta binafsi kwa utaratibu wa ubia (PPP)katika kutekeleza miradi ya miundombinu. Haya yamebainishwa na Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa wakati wa kuwasilisha makadirio...
  5. J

    Waziri Bashungwa: Upotoshaji wa vivuko Kigamboni una maslahi binafsi

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amewatoa hofu wananchi wa mkoa wa Dar es Salaam wanaotumia usafiri wa vivuko eneo la Kigamboni -Magogoni juu ya taharuki kuhusu huduma inayotolewa na Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) nakueleza kuwa imetengenezwa na watu wenye maslahi binafsi. Ameyasema...
  6. J

    Mradi wa maji Same - Mwanga 90% ya utekelezaji, aweso awasha pump kusukuma maji kwenda tenki la mwisho

    MRADI WA MAJI SAME - MWANGA 90% YA UTEKELEZAJI, AWESO AWASHA PUMP KUSUKUMA MAJI KWENDA TENKI LA MWISHO. Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso ametembelea na kukagua mradi wa maji Same Mwanga Korongwe ambao umefikia asilimia 90 ya utekelezaji wake ambapo ameshuhudia mifumo ya kutibu maji imekamilika...
  7. J

    Maonesho sekta ya ujenzi, viwanja vya Bunge Dodoma

    Maonesho sekta ya ujenzi - viwanja vya Bunge Dodoma. TAREHE: 27 - 28 MEI, 2024.
  8. J

    Tanroads kuweka kambi barabara ya Kiranjeranje-Ruangwa kurejesha mawasiliano

    TANROADS KUWEKA KAMBI BARABARA YA KIRANJERANJE-RUANGWA KUREJESHA MAWASILIANO Huenda Adha ya usafiri na usafirishaji bidhaa inayowakabili wananchi wanaotumia barabara ya Kiranjeranje kwenda Ruangwa ikafikia tamati baada ya Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) mkoa wa Lindi kutangaza kutia...
  9. J

    Mdahalo wa kitaifa Dodoma

    Mwenyekiti wa UVCCM (T) Ndg. Mohammed Ali Kawaida (MCC) atashiriki katika Mdahalo wa KITAIFA kuhusu Miaka 3 ya Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuhusiana na UTEKELEZAJI wa Ajenda za vijana utakaofanyika ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention. TAREHE: 25/5/2024
  10. J

    Makonda asikitishwa kuona kisima cha maji kilichogharimu tsh milioni 600 Longido hakiwanufaishi wakazi wa eneo hilo

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Makonda , ameonesha hali ya kushangazwa na kuchukizwa mara baada ya kutembelea na kukagua mradi wa kisima cha maji uliopo kijiji cha Ilidonyo Kata ya Sinya katika Halmashauri ya Wilaya ya Longido uliotumia kiasi cha fedha takribani Tsh Milioni 600 na bado...
  11. J

    TANROADS yaweka kambi kurejesha mawasiliano barabara ya Tingi-Kipatimo mkoani Lindi

    TANROADS YAWEKA KAMBI KUREJESHA MAWASILIANO BARABARA YA TINGI-KIPATIMO MKOANI LINDI Wakala ya Barabara Tanzania (Tanroads) mkoa wa Lindi imeweka kambi ili kuhakikisha unarejesha mawasiliano katika barabara ya Tingi hadi Kipatimo wilayani Kilwa ambayo iliathiriwa na mvua za El-Nino na kimbunga...
  12. J

    Tanroads Lindi yarejesha mawasiliano barabara ya Kilwa Masoko-Nangurukuru-Liwale

    TANROADS LINDI YAREJESHA MAWASILIANO BARABARA YA KILWA MASOKO-NANGURUKURU-LIWALE Wakala ya barabara Tanzania (TANROADS) mkoa wa Lindi umefanikiwa kurejesha mawasiliano yaliyokuwa yamekatika kati ya Kilwa Masoko-Nangurukulu wilaya ya Kilwa na wilaya ya Liwale mkoani Lindi. Mawasiliano hayo...
  13. J

    Wananchi waipongeza TANROADS-Morogoro kwa kurejesha miundombinu ya barabara wilayani Malinyi

    WANANCHI WAIPONGEZA TANROADS-MOROGORO KWA KUREJESHA MIUNDOMBINU YA BARABARA WILAYANI MALINYI Baadhi ya wananchi katika Wilaya ya Malinyi mkoani Morogoro wameipongeza Wizara ya Ujenzi kupitia Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) kwa kuendelea na kazi ya urejeshaji wa miundombinu ya barabara na...
  14. J

    Bil 97.178 kutumika ujenzi barabara ya Ifakara-Mbingu

    BIL 97.178 KUTUMIKA UJENZI BARABARA YA IFAKARA-MBINGU Imeelezwa kuwa mradi wa ujenzi wa barabara kwa kiwango cha lami kutoka Ifakara hadi Mbingu yenye urefu wa kilomita 62.5 utatumia Bilioni 97.178 Serikali kupitia Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) imebainisha kuwa Mkandarasi wa Kampuni...
  15. J

    Wizara ya Maji yaidhinishiwa na Bunge la Tanzania jumla ya Bajeti ya Shilingi 627,778,338,000

    WIZARA YA MAJI KUANZA KUTEKELEZA MKAKATI WA GRIDI YA TAIFA YA MAJI - WAZIRI AWESO Waziri wa Maji Nchini Mhe. Jumaa Aweso amesema Serikali ya awamu ya sita ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inayoongozwa na Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, imeanza utekelezaji wa mkakati wa Gridi ya Taifa ya...
  16. J

    Waziri aweso abainisha miradi ya maji iliyokamilika na inayoendelea

    WAZIRI AWESO ABAINISHA MIRADI YA MAJI ILIYOKAMILIKA NA INAYOENDELEA "Wizara ya Maji imekamilisha miradi mikubwa na ya kimkakati ikiwemo mradi wa maji Arusha ambao umeongeza uzalishaji wa maji kutoka lita milioni 40 hadi lita milioni 200 kwa siku na muda wa upatikanaji wa huduma ya maji kutoka...
  17. J

    Waziri Aweso: Ndani ya miaka 3 ya rais samia huduma ya maji safi na salama imeimarika vijijini na mijini

    NDANI YA MIAKA 3 YA RAIS SAMIA HUDUMA YA MAJI SAFI NA SALAMA IMEIMARIKA VIJIJINI NA MIJINI - WAZIRI AWESO Asema Vijijini huduma imeimarika kutoka wastani wa 77% Desemba 2022 hadi 79.6 Desemba, 2023 Mijini kutoka wastani wa 88% Desemba, 2022 hadi 90% Desemba, 2023 Waziri wa Maji Nchini Mhe...
  18. J

    Bajeti ya kuleta mageuzi sekta ya elimu yapita kwa kishindo

    BAJETI YA KULETA MAGEUZI SEKTA YA ELIMU YAPITA KWA KISHINDO Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania laidhinisha zaidi ya shilingi Trilioni 1.97 zilizoombwa na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kwa ajili ya kutekeleza vipaumbele vitano vya Wizara hiyo kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025 ili...
  19. J

    Chechefu mahakamani tena

    CHECHEFU MAHAKAMANI TENA Safari hii ni kampuni ya NAS HAULIERS iliyokopa bilioni 50 ikakataa kulipa na kukimbilia mahakamani ikiishitaki benki iliyofanikisha mkopo - ikitetewa na wakili yule yule mzee wa Mikopo chechefu, Mahakama ikaipa ushindi - Leo inapandishwa kizimbani Mahakama ya Rufaa...
  20. J

    Maonyesho ya teknolojia za kisasa kwenye kilimo kuanza Aprili 30 Dodoma

    MAONESHO YA TEKNOLOJIA ZA KISASA KWENYE KILIMO KUANZA KESHO DODOMA 30 APRIL, 2024 Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo, Mhe. Gerald Geofrey Mweli leo April 29, 2024 Jijini Dodoma ametembelea na kukagua maandalizi ya maonesho ya kilimo yatakayoanza kesho katika Viwanja vya Bunge. Maonesho hayo yenye...
Back
Top Bottom