Waziri Aweso: Ndani ya miaka 3 ya rais samia huduma ya maji safi na salama imeimarika vijijini na mijini

JUMA JUMA

JF-Expert Member
Jan 5, 2013
676
843
NDANI YA MIAKA 3 YA RAIS SAMIA HUDUMA YA MAJI SAFI NA SALAMA IMEIMARIKA VIJIJINI NA MIJINI - WAZIRI AWESO

Asema Vijijini huduma imeimarika kutoka wastani wa 77% Desemba 2022 hadi 79.6 Desemba, 2023

Mijini kutoka wastani wa 88% Desemba, 2022 hadi 90% Desemba, 2023

Waziri wa Maji Nchini Mhe. Juma Aweso amesema katika kipindi cha miaka 3 ya uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, huduma za maji safi na salama zimeimarika kwa kiasi kikubwa kuanzia vijijini na mijini na watanzania wamekuwa mashaidi kwa kunufaika na huduma hiyo.

Akizungumza katika uwasilishaji wa makadirio ya bajeti ya wizara ya maji kwa mwaka wa fedha wa 2024/2025 , Waziri Aweso amesema Chanzo kipya cha fedha kupitia Hatifungani ambapo Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Tanga imekuwa Mamlaka ya kwanza kuzindua uuzaji wa Hatifungani ya Kijani yenye thamani ya Shilingi bilioni 53.12.

Waziri Aweso ameongeza kuwa Hadi mwezi Februari 2024, Shilingi bilioni 54.72 sawa na asilimia 103 zimekusanywa na fedha hizo zitatumika kuboresha miundombinu ya usambazaji maji na utunzaji wa mazingira katika Jiji la Tanga pamoja na miji ya Muheza, Pangani na Mkinga.

Pia, Wizara ya Maji imefanikisha malengo ya programu ya P for R (Lipa kwa Matokeo) kwa muda uliopangwa kwa kuvuka lengo la idadi ya wanufaika kutoka watu milioni 3 hadi milioni 4.07.

Ssmbamba na hayo, Waziri Aweso amesema Benki ya Dunia imeitambua Tanzania kuwa ya nchi ya kwanza kati ya nchi zaidi ya 50 duniani zilizofanya vizuri katika utekelezaji wa Programu ya P for R kwa kipindi cha miaka miwili mfululizo na kuongeza kuwa Mafaniko hayo yamesaidia kuongezeka kwa fedha za utekelezaji wa programu kutoka Dola za Marekani milioni 350 hadi Dola za Marekani milioni 654 na kuongeza mikoa inayonufaika kutoka 17 hadi 25 na Halmashauri kutoka 86 hadi 137.

UwasilishajiMakadirioYaBajeti
WizaraYaMaji2024/2025
KaziIendelee
IMG-20240509-WA0105(2).jpg
 
Kweli mwenye shibe hamjui mwenye njaa
 
mkuu mbona mna penda kusifia vitu vya ajabu sana.
Tuki Anza na dar hawana uhakika kana naji Yata kuwepo kwa muda gani??.

Kuna vijiji hawana mabomba, Wana enda kilomita nyingi kufata maji ya mtoni.
 
NDANI YA MIAKA 3 YA RAIS SAMIA HUDUMA YA MAJI SAFI NA SALAMA IMEIMARIKA VIJIJINI NA MIJINI - WAZIRI AWESO

Asema Vijijini huduma imeimarika kutoka wastani wa 77% Desemba 2022 hadi 79.6 Desemba, 2023

Mijini kutoka wastani wa 88% Desemba, 2022 hadi 90% Desemba, 2023

Waziri wa Maji Nchini Mhe. Juma Aweso amesema katika kipindi cha miaka 3 ya uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, huduma za maji safi na salama zimeimarika kwa kiasi kikubwa kuanzia vijijini na mijini na watanzania wamekuwa mashaidi kwa kunufaika na huduma hiyo.

Akizungumza katika uwasilishaji wa makadirio ya bajeti ya wizara ya maji kwa mwaka wa fedha wa 2024/2025 , Waziri Aweso amesema Chanzo kipya cha fedha kupitia Hatifungani ambapo Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Tanga imekuwa Mamlaka ya kwanza kuzindua uuzaji wa Hatifungani ya Kijani yenye thamani ya Shilingi bilioni 53.12.

Waziri Aweso ameongeza kuwa Hadi mwezi Februari 2024, Shilingi bilioni 54.72 sawa na asilimia 103 zimekusanywa na fedha hizo zitatumika kuboresha miundombinu ya usambazaji maji na utunzaji wa mazingira katika Jiji la Tanga pamoja na miji ya Muheza, Pangani na Mkinga.

Pia, Wizara ya Maji imefanikisha malengo ya programu ya P for R (Lipa kwa Matokeo) kwa muda uliopangwa kwa kuvuka lengo la idadi ya wanufaika kutoka watu milioni 3 hadi milioni 4.07.

Ssmbamba na hayo, Waziri Aweso amesema Benki ya Dunia imeitambua Tanzania kuwa ya nchi ya kwanza kati ya nchi zaidi ya 50 duniani zilizofanya vizuri katika utekelezaji wa Programu ya P for R kwa kipindi cha miaka miwili mfululizo na kuongeza kuwa Mafaniko hayo yamesaidia kuongezeka kwa fedha za utekelezaji wa programu kutoka Dola za Marekani milioni 350 hadi Dola za Marekani milioni 654 na kuongeza mikoa inayonufaika kutoka 17 hadi 25 na Halmashauri kutoka 86 hadi 137.

UwasilishajiMakadirioYaBajeti
WizaraYaMaji2024/2025
KaziIendelee
tunakwenda vizuri sana kwakweli, na kijana waziri anafanya kazi nzuri na kubwa sana:ClapHD:
 
View attachment 2985520
Kazi zinaongea 👇👇

View: https://twitter.com/Nipashetz/status/1788512284093915444?t=WsOffawQI0odDoVEC7IJHw&s=19
 
Morogoro hapo wanapita kila siku lakini maji ya manati
Morogoro Kuna mradi mkubwa wa mabilioni unaendelea ukikamilika maji bwerere.

Hivi inakuaje sisi wa mbali tunajua kinachoendelea jikoni kwenu then nyie wa hapo hapo hakuna mnachojua? Mbona sielewi hii? 😄😄
 
NDANI YA MIAKA 3 YA RAIS SAMIA HUDUMA YA MAJI SAFI NA SALAMA IMEIMARIKA VIJIJINI NA MIJINI - WAZIRI AWESO

Asema Vijijini huduma imeimarika kutoka wastani wa 77% Desemba 2022 hadi 79.6 Desemba, 2023

Mijini kutoka wastani wa 88% Desemba, 2022 hadi 90% Desemba, 2023

Waziri wa Maji Nchini Mhe. Juma Aweso amesema katika kipindi cha miaka 3 ya uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, huduma za maji safi na salama zimeimarika kwa kiasi kikubwa kuanzia vijijini na mijini na watanzania wamekuwa mashaidi kwa kunufaika na huduma hiyo.

Akizungumza katika uwasilishaji wa makadirio ya bajeti ya wizara ya maji kwa mwaka wa fedha wa 2024/2025 , Waziri Aweso amesema Chanzo kipya cha fedha kupitia Hatifungani ambapo Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Tanga imekuwa Mamlaka ya kwanza kuzindua uuzaji wa Hatifungani ya Kijani yenye thamani ya Shilingi bilioni 53.12.

Waziri Aweso ameongeza kuwa Hadi mwezi Februari 2024, Shilingi bilioni 54.72 sawa na asilimia 103 zimekusanywa na fedha hizo zitatumika kuboresha miundombinu ya usambazaji maji na utunzaji wa mazingira katika Jiji la Tanga pamoja na miji ya Muheza, Pangani na Mkinga.

Pia, Wizara ya Maji imefanikisha malengo ya programu ya P for R (Lipa kwa Matokeo) kwa muda uliopangwa kwa kuvuka lengo la idadi ya wanufaika kutoka watu milioni 3 hadi milioni 4.07.

Ssmbamba na hayo, Waziri Aweso amesema Benki ya Dunia imeitambua Tanzania kuwa ya nchi ya kwanza kati ya nchi zaidi ya 50 duniani zilizofanya vizuri katika utekelezaji wa Programu ya P for R kwa kipindi cha miaka miwili mfululizo na kuongeza kuwa Mafaniko hayo yamesaidia kuongezeka kwa fedha za utekelezaji wa programu kutoka Dola za Marekani milioni 350 hadi Dola za Marekani milioni 654 na kuongeza mikoa inayonufaika kutoka 17 hadi 25 na Halmashauri kutoka 86 hadi 137.

UwasilishajiMakadirioYaBajeti
WizaraYaMaji2024/2025
KaziIendelee
View attachment 2985520

Waziri Aweso: fika na utembelee vijiji vyote vya Kata ya Matundasi, especially Kijiji cha Itumbi, iliyopo wilaya ya Chunya, ukipata maji safi na salama, peleka kwako ukayatumie.​

Back
Top Bottom