Tanzania secures $7.6 billion financing deal from Chinese lender to build new railway
President John Magufuli with China Exim Bank president Liu Liang after holding talks at Chamwino State Lodge...
Summary:
The project will involve the following components:[2]
A port at Manda Bay, Lamu
Standard gauge (1,435 mm (4 ft 8 1⁄2 in)) railway line to Juba and Addis Ababa, the South Sudanese and...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Kamati ya Bunge la Marekani🇺🇲 kuhusu Mambo ya Nje imemuandikia barua Spika wa Bunge kuomba ridhaa yake ili Rais William Ruto ahutubie kikao cha pamoja cha Bunge hilo
Iwapo Mheshimiwa Spika...
Siyo mkenya wala sizisijui sana Siasa za Kenya.
Lakini Leo wakati namsikiliza Rais William Ruto akizungumzia mfuko wa Jimbo (CDF) nimepata hisia kwamba yeye ni bora zaidi kuliko labda Raila...
Ingekuwa ni Tanzania haki ya Mungu huyu Dereva wa hili Lori ningegawana nae Majengo ya Serikali kwani ni mpumbavu sijapata kuona.
Yaani anaona kabisa mto umefurika na watu wa pande zote mbili...
Mamlaka inayosimamia Huduma ya Umeme Nchini Kenya (The Kenya Power and Lighting Company PLC-Kenya Power) imetangaza tatizo la kukosekana kwa umeme katika maeneo mengi ya Nchi hiyo ambalo...
It is time to put things to end now, lets give an account of progress for these two projects! No more time for mere yaps...
CC: Tony254, joto la jiwe, NDINDA n eliakeem
Moderator plse pin...
Baada ya mbunge wa Kisesa mh Luhaga Mpina kuwasha moto bungeni kwamba kifo Cha Magufuli kichunguzwe, rafiki wa Magufuli naye huko Kenya amewasha moto mbele ya Rais Ruto akitaka kifo Cha CDF Ogola...
Na bahati nzuri hilo Kosa lake ameliweka Yeye mwenyewe katika Ukurasa wake wa X (zamani Twitter) nadhani akidhani kuwa alichokifanya kilikuwa ni sahihi wakati Kiuhalisia na kwa hali iliyoko na...
Generali Ogolla wa Kenya, alifariki katika mazingira ya kutatanisha. Swali linalokuja ni: Je, serikali ilihusika? Na ikiwa hapana, Je, Kenya itajikuta lini kwenye hatari ya mapinduzi ya kijeshi...
Tazama hapo kwenye video raia wanauliza kwanini umevamia gari yetu polisi hawana majibu, wanaulizwa tumefanya kosa gani hawana majibu, wanaambiwa watoe vitambulisho kuthibitisha kuwa wao ni polisi...
Wakenya hawana baba.
---
Salary Enhancement for Over 100,000 TSC Educators Effective July 2024: A Detailed Examination
The Teachers Service Commission...
Wakenya walio Somalia wanatuma wastani $500,000 kwa siku, noma sana yaani mlifikaje huko na mnavumiliaje hayo mabomu, nchi yenye misuko suko ya kidini.
=========
Somalia has emerged as a new...
Kenya Airways (KQ) has started direct flights from South Sudan capital Juba to Khartoum in Sudan as it eyes Africa expansion.
The national carrier said the new flight will originate from the Jomo...
Hapa naomba ndugu Zangu Malaria 2 FaizaFoxy na The Big Show mnipe Elimu kidogo kwanini Waislam hawavalishwi Nguo na Viatu wanapozikwa
Ni hilo tu maana mazishi ya General Ogolla yamenifunza kitu...
Serikali imeahirisha kufunguliwa kwa Shule kwa Wiki moja kutokana na mafuriko yanayoendelea ambayo hadi sasa yamesababisha vifo vya zaidi ya watu 80.
Taarifa ya Waziri wa Elimu, Ezekiel Machogu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.