Igweeeeeee!!!! Habari zisizo rasmi ila zipo rasmi kwa manabii nikuwa kesho tarehe Nne mwezi wa Tisa huko Kenya Mungu anaenda pinduwa meza kama alivyo fanya kwa mzaliwa wa kwanza Esau...
Nihivi...
Habari wadau
Kenya wameachana na mitihani wa Taifa mmoja kwa ajili ya kumpima mwanafunzi pale anapomaliza elimu yake ya msingi. Mtihani wa taifa umefutwa.
Mwanafunzi atakuwa anapimwa kwa uwezo...
Maoifisa wa benki ya Equity Tanzania wanadaiwa kutoa siri za wateja kuhusu kiwango cha pesa walichonacho kwenye akaunti zao.
Hili ni kosa kwa mujibu wa sheria ya Benki Kuu ya Tanzania(BoT) lakini...
Fursa nyingine imeiruka Kenya ikaenda Tanzania. Siku za hivi karibuni nchi za Afrika mashariki zimekuwa zikingia kwenye deals/miungano au ushirikiano kwa mambo mbali mbali huku Kenya ikiwachwa...
Hivi sijui kama hawa watu wanajua Tz kuna ndege mpya 8.
===
The Government has announced that international flights will resume starting August 1 with China and Zimbabwe among countries...
Nakumbuka tukipigiwa makelele hapa eti Dada Silvya mulinge ni akili kubwa na anafaa kuongoza Vodacom Tz.
Bahati nzuri TISS ya tanzania ikamchunguza kwa makini na kubaini kwamba ni Mlevi, Muuaji wa...
Rais anayemaliza muda wake Nkurunzinza pamoja na mkewe wamepimwa na kukutwa na Virusi ya Corona
=======
It is now emerging that Burundi’s President Pierre Nkurunzinza could after all have...
Hilo limeamuliwa na mahakama kuu ya USA, kwamba walipwe hela ya Kenya trilioni 1.2
Aki ya nani hiyo hela ni ndefu sana....
Sijui kama majirani ambao pia waliathirika na wao watapa kitu,
The US...
Ndugu zetu na mlivyo wakaidi mumeamua kuogelea kwenye hiki kitu....
Hao wote 23 wamerudishwa kwao huko wakapambane na hali yao, aidha wajifukize kama walivyoshauriwa au watajua wenyewe....halafu...
MY TAKE
Lets see how this will end! If Raila is not smart enough, he will be left in cold again just like during Moi's handover! I won't be surprized if Raila is to end up vying in 2022 on the...
Shirika la ndege nchini Kenya Airways wanauza ndege yao Boing 777,
Hii ndege inauwezo wa kutoka nchini Kenya hadi Washington Marekani non stop ikiwa na abiria 12, huku ikiwa na free seat 239...
Wakuu..
Hivi Mikenya ina kwama wapi? Mafuta ghafi duniani sasa ni ya kumwaga..Wanunuzi wanalipwa $37 na wachimbaji agalau wawaondolee mafuta kwa matenki yao..
Nchi ya GDP wako bize kusafirisha...
Wakuu,
Kumekucha, habari ndio hio.Tanzania ndio babalao.
======
FOOD INSECURITY! Prices of commodities rise in Migori amid dwindling supply
Closure of Tanzania border means supply of rice...
Wakuu,
Mara nyingi nimesema uwazi ni jambo la muhumu sana kwa kukabiliana na majanga ya corona.
Serikali ya kikomunisti ya kenya bado inaficha idadi halisi pamoja na kutojumulisha wabunge hawa kwa...
Mkenya wa kwanza kutajwa kuwa na Corona amepona yuko freshi, hayo yametangazwa na rais Uhuru, duh ila maambukizi yanaendelea kuzagaa, wengine watatu wapatikana nacho kirusi. Hiki kitu tutapona ila...
Effects of Corona virus on economies where "Mzungu" investors own 70% of Stock Exchange
👇👇
=============
Coronavirus: Ksh.119.6B wiped out at NSE as markets tumble - Citizentv.co.ke
Wakuu,
Tunajua wenzetu hapa hujiliwaza na Ma GDP lakini kwa ground mambo ni different. Huku soko la biashara hizi zikienda kwa wazungu😂😂
======
Tuskys supermarket staff. [Jonah...
Mzee Daniel Toroitich Arap Moi ametuaga akiwa na umri wa miaka 95, Mungu amlaze pema peponi, sisi wajukuu tuendelee kuiboresha nchi.
-----------------------
His death has been confirmed by his...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.