Kenyan News and Politics

Serious discussions on Kenyan Politics and Latest news from Kenya

JF Prefixes:

MONDAY 15TH AUGUST 1640Hrs We have intelligence reports that their system was penetrated and hacked and that some of the IEBC officials actually committed electoral offences and some of them...
10 Reactions
4K Replies
292K Views
Binadamu tunatakiwa kujifunza na kukumbuka kwamba HAKUNA MAHALI POPOTE KATIKA DUNIA HII AMBAPO SHETANI ALIWAHI KUMSHINDA MUNGU Kilichomkuta Raila Odinga kiwe fundisho kwa Wanadamu wengine...
18 Reactions
83 Replies
4K Views
Kitengo cha ulinzi kinachomlinda Rais Mteule wa Kenya, Dkt. William Ruto kimeimarishwa tangu alipotangazwa kuwa mshindi katika Uchaguzi Mkuu wa Urais, Agosti 15, 2022. Kitengo cha Ulinzi cha...
0 Reactions
9 Replies
957 Views
Piga ua Kibera tumeamua kwenda na Dr Ruto huyo nyanya akalee wajukuu
5 Reactions
27 Replies
4K Views
Mwaka huu kenya moto utawaka moto kati ya wapinzan wawil wakubwa Luto na Odinga huku Odinga akiungwa mkono na Rais aliepo madarakani. Kinachonogesha siasa za safar hii ni kitendo cha rais na...
3 Reactions
115 Replies
10K Views
System ya Tanzania ilishausoma mapema Mchezo na kujua kuwa Ruto ataenda (na mpaka sasa GENTAMYCINE nasema ameshashinda) na Kumshauri Mama kutoonyesha Upande wake Wowote kati ya Ruto na Odinga...
5 Reactions
40 Replies
4K Views
Hongera sana wana Kenya kwa uchaguzi uliokuwa wa uwazi mkubwa. Katika Afrika bado sijaona uchaguzi ulioendeshwa vizuri kuliko huu wa Kenya. Ukweli mchungu Uchaguzi Tanzania ni sehemu ya...
6 Reactions
46 Replies
2K Views
Dr. Chibukati kwa namna ya uongozi alioonyesha IEBC anastahili kuongoza taifa kubwa zaidi kiuchumi Afrika Mashariki. Ikiwezekana uchaguzi wa marudio awemo ili iwe rahisi kutangaza kwa uwazi bila...
1 Reactions
4 Replies
486 Views
Huyu mwamba Hana cha kupoteza, asipodhibitiwa tutaanza kutafuta wasuluhishi wa kimataifa kusuluhisha Mgogoro. Awekwe chini ya ulinzi mkali akubali kushindwa na kumpongeza Mheshimiwa Dr. Ruto...
8 Reactions
32 Replies
3K Views
Kwenye Uchaguzi unaoendelea Nchini Kenya kuna jambo la kujifunza, kila mwenye haki ya kugombea na aliyetimiza vigezo ameachwa agombee , ashinde ama ashindwe mwenyewe. Mpaka sasa sijasikia mgombea...
39 Reactions
84 Replies
5K Views
Mshindi wa kiti cha Urais kenya atakua Raila Odinga na Martha Karua......Rutto na ushawishi wake na nguvu yake kamwe hawezi kuwa rais kamwe. Kwa mara ya kwanza Kenya historia inaenda kuandikwa leo...
13 Reactions
168 Replies
11K Views
Nilitegemea Lissu kusema neno dhuluma ya wazi ya uchaguzi nchi jirani. Badala yake kakaa kimya akiendelea kulamba asali ulaya.
1 Reactions
40 Replies
3K Views
Mgombea wa Urais Nchini Kenya, William Ruto ameahidi kuwafukuza Wachina wote wanaofanya kazi zinazoweza kufanywa na wazawa, iwapo atashinda uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Agosti 9, 2022...
3 Reactions
21 Replies
3K Views
Japo sikukupigia kura, na binafsi haujanishawishi ila Wakenya walio wengi walifaulu kukuchagua, inabidi tukubali maamuzi ya wengi ila tulio wachache tusiklizwe pia. Nakumbuka kitambo nikiwa...
15 Reactions
52 Replies
3K Views
Kiongozi wa muungano wa Azimio La Umoja Raila Odinga hatahudhuria hafla ya kuapishwa kwa Rais mteule William Ruto siku ya Jumanne. Katika taarifa yake siku ya Jumatatu, Odinga alikiri kuwa Ruto...
2 Reactions
20 Replies
3K Views
Timu ya Mawasialiano ya Rais Mteule imezuia vyombo vya habari vya nchini humo kurusha hafla ya kuapishwa kwa William Ruto na kutoa haki za kipekee za utangazaji kwa Multichoice Kenya Ltd. Tangazo...
11 Reactions
54 Replies
4K Views
Hatimaye Rais anayeondoka Uhuru Kenyatta amempongeza Rais Mteule William Ruto, baada ya mkutano wao Ikulu. Wawili hao walikutana alasiri ya Jumatatu, Septemba 12, saa chache tu kabla ya hafla ya...
0 Reactions
5 Replies
883 Views
Raila Says Azimio Gov’t Will Not Ban Mitumba Trade Raila spoke when he met the representatives from Gikomba market on Friday. He said the Azimio government will work hand-in-hand with traders to...
0 Reactions
2 Replies
459 Views
Mgombea Mwenza wa Raila Odinga, Martha Karua amegusia uamuzi wa kuhamishia Pingamizi la Urais nchini Tanzania ili kupinga uamuzi wa Mahakama ya Juu ulioidhinisha ushindi wa Rais Mteule William...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Back
Top Bottom