Kenya 2022 Chebukati anafaa kuwa Rais wa Kenya

Kenya 2022 General Election

Valencia_UPV

JF-Expert Member
Mar 31, 2016
6,223
7,419
Dr. Chibukati kwa namna ya uongozi alioonyesha IEBC anastahili kuongoza taifa kubwa zaidi kiuchumi Afrika Mashariki.

Ikiwezekana uchaguzi wa marudio awemo ili iwe rahisi kutangaza kwa uwazi bila tashwishwi!

SWALI: Familia yake inaishi nchi gani kwa sasa?
 
Huyu huyu Chebukati aliyekuwa anatetemeka jana pale kwa jukwaa kama paka aliyenyeshewa? Ndiyo wataka atuongozee? Wacha mzaha, yakheee
 
Back
Top Bottom