Kenya 2022 Rais ajaye wa Kenya ni Raila Amolo Odinga

Kenya 2022 General Election

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
9,073
18,104
Mshindi wa kiti cha Urais kenya atakua Raila Odinga na Martha Karua......Rutto na ushawishi wake na nguvu yake kamwe hawezi kuwa rais kamwe. Kwa mara ya kwanza Kenya historia inaenda kuandikwa leo tarehe 09 ni siku ya kura

Raila anachukua ushindi mapemaaa

Ruto hapati urais safari hii ruto hawezi ukwaa urais ana scandals chafu sana

Odinga will win last time alipata 47 nchi nzma sasa hapo wakikuyu wakimpa sijui itakuaje

Safari hii ana sapoti ya wakikuyu imagine wakikuyu milioni 10 hata apate voters milioni 4 tu kutoka kwa wakikuyu wa central kenya anashinda, msisahau Raila pia anakubalika sana Pwani, Nairobi, bado magharibi ambapo ni kwao.

Raila n msafi hana scandal

Martha ni msafi pia

Nawaambia ukweli ni kuwa raila atawin huu uchaguzi dhidi ya ruto
 
Mshindi wa kiti cha Urais kenya atakua Raila Odinga na Martha Karua......Rutto na ushawishi wake na nguvu yake kamwe hawezi kuwa rais kamwe.....Kwa mara ya kwanza Kenya historia inaenda kuandikwa leo tarehe 09 ni siku ya kura

Raila anachukua ushindi mapemaaa

Ruto hapati urais safari hii ruto hawezi ukwaa urais ana scandals chafu sana
kims mbona unaandika kama hujaenda shule? sikujui, si ajabu na wewe ni lumpen! samahani.. humu hatujuani lakini one can figure out somebody's status through presentation on JF writings
 
Raila Odinga atachukua nchi kwa manufaa ya uma, mkikuyu anamwachia mjaluo ikulu na hii siyo bahati mbaya wala kwa utashi wa Uhuru Kinyata bali mazingira na hali iliyopo ni nafuu iwe hivyo.

Kihistoria Odinga baba yake Raila ndiye alipaswa kupewa nchi na wakoloni aliambiwa aapishwe na kuwa waziri mkuu wa kwanza Kenya lakini alikataa?? Sio kwa kupenda bali ilimpasa kufanya hivyo kwa maslahi ya nchi!! Kwanza wapiganaji wengi wa Uhuru wa Kenya walikuwa ni wakikuyu na wakikuyu wengi sana waliuwawa kwenye harakati za ukombozi.

Kitendo cha yeye kukubali kuapishwa kuwa waziri mkuu ilihali kabila lake halikuwa mstari wa mbele kwenye ukombozi kingezua mapigano ya kikabila na wajaluo wengi wangepoteza maisha. Mzee Odinga akatumia busara na kuivusha Kenya salama?

Ndio sababu mwanae akawa mfanya biashara mkubwa na fisadi asiyegusika by the way kinachoenda kutokea leo hii 9/8/2022 kwenye debe ama sanduku la wapiga kura ni raisi Uhuru Kinyata kufanya kama alivyofanya baba yake Raila Odinga kwa manufaa ya una.

Je ukabila Kenya utakwenda kuisha!!!!! William Ruto kwa sasa ana miaka 56 je ataweza kufikia miaka 60-64-68??? Africa ni tajiri sana ila watu wake ni masikini sana sababu ya kuwa na taasisi mbovu viongozi wabovu
 
Back
Top Bottom