Kenyan News and Politics

Serious discussions on Kenyan Politics and Latest news from Kenya

JF Prefixes:

Wizara ya afya nchini Kenya imesema watu 127 wamekutwa na maambukizi ya Covid-19 kati ya watu 763 walichukuliwa vipimo ikiwa ni asilimia 16.6 Kwenye visa hivyo, wanaume ni 61 huku wanawake wakiwa...
0 Reactions
1 Replies
292 Views
The government has reinstated the mandatory wearing of face masks in indoor settings as a containment measure to curb the spread of COVID-19 in the country. Addressing the media on Monday...
0 Reactions
1 Replies
466 Views
Watu 246 wamekutwa na maambukizi ya COVID-19 kati ya 2,484 waliofanyiwa vipimo ndani ya saa 24 zilizopita Nchini Kenya, huku Wizara ya Afya ikisema kuna ongezeko la 9.9% la maambukizi Katika...
0 Reactions
1 Replies
519 Views
Wizara ya afya nchini Kenya imetangaza kwamba muda wa matumizi wa zaidi ya dozi laki nane dhidi ya ugonjwa COVID-19 aina ya AstraZeneca umekamilika bila kutumiwa. Idadi ya watu wanaojitokeza...
0 Reactions
0 Replies
524 Views
Wizara ya Afya ya Kenya imeondoa agizo la ulazima wa nchi nzima kuvaa barakoa ikiwa ni mwongozo uliorekebishwa na kutolewa hii leo. Katika agizo hilo jipya, Kagwe amesema karantini ya lazima, na...
1 Reactions
5 Replies
675 Views
American biotechnology firm Moderna will set up a manufacturing facility in Kenya, its first in Africa, to produce messenger RNA (mRNA) vaccines, including Covid-19 shots. Moderna said it expects...
2 Reactions
18 Replies
1K Views
Effective December 21, anyone requesting in-person government services must be fully vaccinated and show proof of vaccination, Ministry of Health CS Mutahi Kagwe has said. In order to accelerate...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Shirika la kutetea haki za kibinadamu, Human Rights Watch, katika ripoti yake mpya limesema kuwa serikali ya Kenya imeshindwa kutimiza ahadi yake kuwasaidia wahudumu wa afya walio katika mstari wa...
1 Reactions
1 Replies
721 Views
President Uhuru Kenyatta on Wednesday lifted the nationwide curfew, which has been in place since March last year to curb the spread of the coronavirus. "I hereby order that the nationwide dusk...
0 Reactions
4 Replies
908 Views
COVID 19: Watu 1,045,918 wamechanjwa nchini kenya huku wizara ya Afya imetangaza visa vipya 159 nchini kenya kutoka kwa sampuli ya watu 4,406 ambao wamepimwa ndani ya masaa 24
1 Reactions
4 Replies
530 Views
The government has extended the nationwide curfew by 30 more days as part of measures to combat the COVID-19 pandemic. Making the announcement on Monday, Health Cabinet Secretary Mutahi Kagwe...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Ukuaji wa uchumi Kenya umeshuka kwa kiwango cha asilimia 0.3 mwaka 2020 kutokana na athari za janga la virusi vya corona, licha ya uchumi huko kukua kwa asilimia 5 mwaka 2019. Kwa mujibu wa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kenya imepokea dozi nyingine 880,320 za chanjo ya Moderna. Hii ni awamu ya pili ya dozi milioni 1.76 zilizotolewa na serikali ya Marekani nchini Kenya , kupitia kituo cha Covax. Chanjo hizo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kenya has recorded 565 new COVID-19 cases from a sample size of 4,494 tested in the last 24 hours, marking a positivity rate of 12.6%. In a statement issued on Tuesday, the Ministry of Health...
0 Reactions
0 Replies
704 Views
Marekani imeipa Kenya jumla ya dozi 880,000 za Moderna ambazo zimepokelewa leo, Agosti 22, 2021 asubuhi Kenya imepanga kuwachanja watu milioni 10 hadi kufikia Desemba 2021 ambapo hadi sasa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Jaji wa Mahakama kuu ya Kenya Anthony Mrima amefuta maagizo yaliyotolewa na Kamati ya Ushauri ya Usalama wa Kitaifa(NSAC) iliyopiga marufuku mikutano ya umma na ya kisiasa nchini humo katika...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Uingereza imeipa Kenya jumla ya dozi 407,000 za Chanjo ya COVID19 ya AstraZeneca ambazo ni awamu ya pili kupitia Mpango wa COVAX Dozi zilizotolewa ni sehemu ya dozi milioni 100 ambazo Uingereza...
0 Reactions
0 Replies
985 Views
Kuwa na dhamana ya maisha ya watu ni pamoja na kuwajibika zaidi hata dhidi ya ujinga wao. Babu wa Loliondo angekuwa hai Kenya lakini si Tanzania. Heko rais Kenyatta kwa maana heri lawama...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
All civil servants must now get a COVID-19 vaccine or face disciplinary action. According to a statement from the Head of Public Service Joseph Kinyua, civil servants will now be required to get...
0 Reactions
0 Replies
22K Views
Baadhi ya Waafrika ni viumbe vya ajabu sana, unapiga piga makelele dhidi ya mambo ya kisayansi wakati mwenyewe kwako huna hata kiwanda cha sindano, kila kitu unaagiza kutoka nje halafu unabwabwaja...
2 Reactions
6 Replies
748 Views
Back
Top Bottom