#COVID19 Nationwide curfew extended by 30 more days

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
The government has extended the nationwide curfew by 30 more days as part of measures to combat the COVID-19 pandemic.

Making the announcement on Monday, Health Cabinet Secretary Mutahi Kagwe said the positivity rate still remains high, hence the need to extend the containment measures.

The curfew hours remain 10pm-4am.

Other containment measures including operation hours for bars and restaurants as well as the ban on gatherings remain as previously announced.

On Sunday, 91 new infections were confirmed from a sample size of 3,435 tested in the last 24 hours, pushing the total confirmed positive cases to 250,114.

The CS was speaking during the launch of the COVID-19 Online Information Portal for media professionals in Kenya.

Supported by UNESCO, through the European Union (EU) funded project #coronavirusfacts, the portal will provide media professionals with a one -stop shop on factual, verifiable, and credible information on the pandemic in Kenya.

Source: Citizen TV
 
Nyie watu huko ni Kama misukule.badala ya kila mwezi kuweka hiyo curfew kwa nini msiweke tu mwaka mzima?
 
Kwa sasa huu ndio wimbo pendwa wa viongozi wetu. Uliimbwa pia UNGA na Mama.

Lakini Je, ni kweli wanafuata taratibu zote kukabiliana na hili janga au wanapenda kuonekana wanachukua hatua kwa ajili ya kupiga mpunga?
 
Rais Kenyatta ni kiongozi wa ajabu sana. Anawafungia wananchi huku akiwaibia. Mungu anamuona huyu jamaa.
Hizi hela za mabeberu zitawauwa hawa jirani zetu aisee,duuuih,hali haipungui tu pamoja na tahadhari zote wanazojifanya kuchukua?
 
Hivi bado corona ipo?
Huku Tz hata mochwari wanalalamika wakipata mwili wa kuhifadhi jua ni accident huku Mungu ametupa kutulia kabisa
Sasa Hawa viongozi wa Kenya wanataka waendelee kuchukua zile pesa za mabeberu huku Wananchi wakishindwa kutoka kutafuta riziki jameni
 
Aisee Uhuru bado anaendelea kufura tu🤣
fotor_1633684549331.jpg
 
Back
Top Bottom