Kenya inatarajia kuwa imewapa chanjo watu milioni 26 ifikapo mwaka 2022, hadi sasa ni watu milioni 1.04 waliopata dozi ya kwanza ya Astrazeneca
Waliopata dozi ya pili ni 633,000 huku kutokana na...
Maambukizi ya COVID-19 yamezidi kuongezeka nchini Kenya baada ya kutangaza maambukizi mapya 1,006 yaliyorekodiwa saa 24 zilizopita na kufanya jumla ya maambukizi kuwa 199,941
Aidha wameripoti...
Watu 15 wameripotiwa kufariki kwa #COVID19 siku ya Jumapili na kufanya idadi ya waliokufa kwa virusi vya corona kufikia 3775
Hadi sasa kenya imepima watu 2,053,912 ambapo watu 192,758 walikutwa...
Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta ametangaza kuwa mtu wa kwanza amepona kabisa ugonjwa wa corona.
''Hii inamaanisha kuwa ugonjwa huu unaweza kukabiliwa''alisema rais Kenyatta katika hotiba yake kwa...
Kenya has recorded 400 new COVID-19 cases from a sample size of 5,068 tested in the last 24 hours, marking a positivity rate of 7.9%.
In a statement issued on Tuesday, the Ministry of Health said...
Hizi ni Takwimu za bara Africa kufikia jana/leo
Source: https://www.worldometers.info/coronavirus/
Nimejaribu ku highlight nchi za Mashariki mwa Africa
Hapa ni ranking ya cumulative cases za...
Kenya imerekodi maambukizi mapya 148 ya Corona na kufanya kuwa na jumla ya maambukizi 172,639 tangu kuripotiwa COVID19 nchini Kenya.
Ndani ya Saa 24 zilizopita watu 21 wamefariki kwa COVID19 na...
The government has reviewed COVID-19 containment measures in 13 counties within the Lake Basin region following a spike in the infection rate in the area.
In a statement issued on Thursday...
RESEARCH in the employment of rats to sniff landmines, TB bacteria and other hidden pathogens will soon enable the Sokoine
University of Agriculture (SUA) to field the rats to detect coronavirus...
May 10, 2021
Education Ministry Cabinet Secretary Prof. George Magoha has maintained that schools shall reopen on May 10, 2021 as earlier planned.
The CS dispelled rumours that opening dates for...
- Mengi yanaendelea kuhusu chanjo ya covid ambayo ilitolewa ndan ya miezi michache tu na tukalazimishwa kuchanjwa wote bila kuuliza maswali, sasa taarifa nnayotoka kuskiliza apa ni kwamba achana...
Watu 177 ndani ya jiji la Nairobi wamekamatwa kwa kukiuka hatua za afya za kujikinga dhidi ya #COVID19 siku ya sikukuu ya Pasaka.
Polisi wamesema wengi wao walikuwa katika maeneo ya kunywa pombe...
Rais wa Kenya na mke wake wamekuwa miongoni mwa Wakenya wa mwanzo kabisa kujipatia chanjo ya Corona
Hii ita motivate Wakenya wengi kupata chanjo na hatimaye kumaliza tatizo la corona nchini mwao...
Hii ishakua taabu. Phase 3 ya covid-19 imezua mtata sasa baada ya Rais Kenyatta kuagiza kufungwa(Partial Lockdown) kwa miji/mikoa hii;Nairobi,Machakos, Nakuru, Kajiado na Kiambu, kutokana na...
Kiongozi wa Upinzani nchini Kenya, Raila Odinga amekutwa na maambukizi ya #COVID19 lakini anaendelea vizuri katika hospitali ya Nairobi ambako amelazwa
Odinga alilazwa tangu March 9 baada ya kuwa...
Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki la Kenya limeitaka serikali ya Kenya kukubali na kuruhusu kuruhusu chanjo zote halali za COVID-19.
Kwamba kanisa katoliki limeruhusu mtandao wa hospitali...
Cement sales in Kenya hit a four-year high despite the Covid-19 lockdown that took a toll on the local economy. According to data from the Kenya National Bureau of Statistics (KNBS), cement...
Zanzibar’s First Vice President Maalim Seif Sharif Hamad has died at the age of 77, less than a month after being hospitalized with COVID-19.
Zanzibar President Hussein Mwinyi made the...
Sekta ya afya nchini Kenya inakabiliwa na msukusuko kutokana na mfululizo wa migomo ya wahudumu wa afya katikati ya janga la virusi vya corona.
Muungano wa wahudumu wa maabara nchini Kenya...
Ofisi ya Uratibu wa Masuala ya Kibinadamu ya Umoja wa Mataifa (OCHA) hivi karibuni ilitoa ripoti kuwa, mamilioni ya Wakenya wanakabiliwa na uhaba mkubwa wa chakula.
Kutokana na ripoti hiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.