Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Feb 4, 2009 75,016 156,398 Sep 13, 2022 #2 Mkono wa Bwana umfunike Ruto, apate kuongoza kwa haki, usawa na weledi huku akimtanguliza Mungu kwenye mambo yake yote
Mkono wa Bwana umfunike Ruto, apate kuongoza kwa haki, usawa na weledi huku akimtanguliza Mungu kwenye mambo yake yote
Majan JF-Expert Member Jul 2, 2015 1,176 1,524 Sep 13, 2022 #3 Huu wimbo umepigwa kwa malengo mawili moja kumtukuza bwana, pili nikama kakijembe kwa mtangulizi
S Superb2014 JF-Expert Member Jul 29, 2017 8,524 6,572 Sep 13, 2022 #4 Mungu azidi kumsaidia Ruto na Kenya yote kwa ujumla.
Haifungiki JF-Expert Member Jun 26, 2018 3,076 14,775 Sep 13, 2022 #5 Akina diamond hawakupata chance
Waterloo JF-Expert Member Nov 30, 2010 25,360 38,876 Sep 15, 2022 #6 Haifungiki said: Akina diamond hawakupata chance Click to expand... Wapo kambj ya pili iliyopigwa chini
Haifungiki said: Akina diamond hawakupata chance Click to expand... Wapo kambj ya pili iliyopigwa chini